MAMBO HADHARANI

Stori: Hami da Hassan na Haruni Sanchawa KIFO cha tajiri maarufu mjini Bukoba, Leonard Mtensa (50) ambacho kimetingisha kanda nzima ya ziwa, kilichotokea dakika chache baada ya marehemu kudaiwa kufanya mapenzi ndani ya gari lake, sasa mambo hadharani juu ya kila kitu kilichotokea, Risasi Jumamosi linakupa mkanda mzima. Tajiri maarufu mjini Bukoba, Leonard Mtensa akichunguzwa na daktari. Tukio hilo lililozua gumzo mjini...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Uhuru Newspaper
Dk. Mwakyembe kuweka mambo hadharani leo
Na mwandishi wetu
WAZIRI wa Uchukuzi, Dk. Harrison Mwakyembe, ameahidi kuwataja hadharani baadhi ya watumishi na watendaji wanaofanya vitendo vya uhalifu katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere.

Awali, Dk. Mwakyembe, alikuwa akutane na waandishi wa habari ofisini kwake jana, lakini alishindwa kufanya hivyo baada ya kuitwa Ikulu kwa majukumu mengine ya kikazi.
Hatua ya kuwekwa hadharani mtandao huo hatari unaohusisha watumishi wa idara mbalimbali, inafuatia agizo lake alilitoa...
11 years ago
GPL
LULU, NANDO WA BBA MAMBO HADHARANI
9 years ago
Bongo526 Dec
Ridhiwan aweka mambo hadharani, soma alichojibu kuhusiana na shutuma za ufisadi dhidi yake

Soma kile alichoandika Ridhiwan Kikwete kujibu tuhuma mbalimbali za ufisadi zilizomwandama kwa miaka mingi.
Ndugu zangu waandishi wa habari, nimeamua kuwaita ili kuzungumza nanyi kuhusu baadhi ya mambo yaliyokuwa yanasemwa katika vyombo vya habari kuhusu mimi.
Awali ya yote napenda kusema kuwa habari hizo ni UONGO mtupu, ni mambo yanayozushwa na waandishi wa habari hizo kwa nia ya kuchafua jina langu kwa sababu wanazozijua wanaoandika. UKWELI ni kwamba haya ni mambo yenye kufanywa kwa nia...
10 years ago
Mwananchi06 May
Bernard Kamillius Membe: Waziri wa Mambo wa mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa
10 years ago
VijimamboWAZIRI WA MAMBO YA NJE WA MUUNGANO WA VISIWA VYA COMORO ATEMBELEA WIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA MATAIFA
9 years ago
MichuziKATIBU MKUU MAMBO YA NDANI AFUNGUA KIKAO CHA BARAZA LA WAFANYAKAZI WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI
10 years ago
Michuzikatibu mkuu wizara ya mambo ya ndani awatembelea wajumbe wa kikao kazi cha mambo ya ndani mjini morogoro
5 years ago
Michuzi
KAMATI YA BUNGE YA MAMBO YA NJE, ULINZI NA USALAMA YAPITIA MAPENDEKEZO YA BAJETI YA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI KWA MWAKA WA FEDHA 2020/21 KILICHOFANYIKA JIJINI DODOMA LEO

Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (Katikati), Katibu Mkuu, Christopher Kadio (Kulia) na Naibu klatibu Mkuu, Ramadhani Kailima (Kushoto) wakizungumza kabla ya kuanza Kikao Cha Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama. Wizara hii imewasilisha Taarifa ya Utekelezaji wa Bajeti ya Mwaka wa Fedha 2020/21 katika Kikao kilichofanyika Jijini Dodoma leo.

Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (Kushoto), Katibu Mkuu, Christopher Kadio...
10 years ago
Dewji Blog22 Jan
Mkoa wa Mbeya waiomba idara ya mambo ya kale kuwakabidhi makumbusho ya mambo ya kale ya KIMONDO