Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Diamond Platnumz: Bila Kiingereza huwezi kuwa wa kimataifa

diamondNA CHRISTOPHER MSEKENA

MSANII wa muziki wa kizazi kipya nchini, Naseeb Abdul ‘Diamond Platnumz’, amesema kuwa lugha ya Kiingereza ni lazima kwa msanii anayetaka kuwa wa kimataifa.
Diamond alipokuwa kwenye mahafali ya darasa la saba Shule ya Rightway, Mbezi Beach jijini Dar es Salaam, alisema
lugha hiyo ilimpa hofu wakati alipokuwa akitaka kufikia soko la kimataifa.

“Mwaka jana nilipata mwaliko wa kutumbuiza kwenye jumba la Big Brother, Babu Tale, akaniambia baada ya onyesho nitafanyiwa...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Msanii anayetaka kuwa wa kimataifa ni lazima ajue kiingereza — Diamond

Naseeb ‘Diamond Platnumz’ Abdul amesema kuwa lugha ya Kiingereza ni lazima kwa msanii yeyote anayetaka kuwa wa kimataifa, kwasababu ndio kiungo kikubwa na muhimu kati ya msanii na wadau muhimu wa nje. Diamond amesimulia jinsi ambavyo kiingereza kilimpa changamoto wakati alipoanza kulitafuta soko la kimataifa na kumsababisha afanye juhudi binafsi za kujifunza. “Mwaka jana nilipata […]

 

11 years ago

Mwananchi

Jhikoman: Bila kujua kupiga ala, huwezi kuwa msanii kamili

>Jhikolabwino Manyika maarufu Jhikoman, ni kati ya wasanii 200 kutoka nchi tofauti, watakaotumbuiza tamasha la Sauti za Busara msimu wa 11, tamasha linalotarajiwa kufanyika Februari 13 hadi 16 mwaka huu.

 

10 years ago

Mwananchi

Diamond Platnumz: Bongofleva inakua kwa kasi kimataifa

Huenda akizungumza unaweza usimwelewe, lakini Diamond Platnumz aliamua kufikiri nje ya boksi na kufanikiwa kufanya kile alichokuwa akikikusudia, leo hii tayari makumi ya wasanii wameanza kutembea katika nyayo zake.

 

10 years ago

Dewji Blog

Tigo yampongeza msanii Diamond Platnumz kwa kushinda tuzo ya Kimataifa

DSC_0048

Meneja wa huduma ya Tigo music, Balla Shareeph akiongea na waandishi wa habari kwenye mkutano wa kumpongeza msanii Nasibu Abdul maarufu ‘Diamond Platnumz’ kwa kupata tuzo ya msanii bora wa Afrika za MTV 2015 zilizofanyika mjini Durban, Afrika Kusini, Kampuni ya Tigo ilidhamini tukio hilo jana jijini Dar Es Salaam.

DSC_0105

Msanii Nasibu Abdul maarufu ‘Diamond Platnumz’ akiongea na waandishi wa habari kwenye mkutano wa kumpongeza kushinda tuzo ya msanii bora wa Afrika za MTV 2015 zilizofanyika mjini...

 

10 years ago

Vijimambo

DIAMOND PLATNUMZ KWENYE KAMPENI NYINGINE ZA KIMATAIFA, PICHA, VIDEO NA STORY ZIPO HAPA

DiamondNi siku moja imebaki ili tuzishuhudie sherehe kubwa za utoaji wa tuzo za CHOAMVA Afrika Kusini, mshiriki pekee wa Tanzania Diamond Platnumz kupitia muziki wake kuna vingi ambavyo vinaendelea kutokea na amekuwa mjumbe wa kuiwakilisha Tanzania katika ishu mbalimbali kupitia muziki huohuo anaoufanya.

Jana Novemba 27 alikuwa ndani ya Jumba la BBA Afrika Kusini na mwanamuziki Fally Ipupa wakiwa na ujumbe wa ONE Campaign kuhimiza kilimo, leo taarifa ninayokupa ni kuwa amekuwa mmoja ya wasanii ambao...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani