Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Diamond Platnumz: Bongofleva inakua kwa kasi kimataifa

Huenda akizungumza unaweza usimwelewe, lakini Diamond Platnumz aliamua kufikiri nje ya boksi na kufanikiwa kufanya kile alichokuwa akikikusudia, leo hii tayari makumi ya wasanii wameanza kutembea katika nyayo zake.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

Sekta ya Uvuvi inakua kwa kasi- Ulega.

Naibu waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Abdallah Ulega akizungumza mbele ya Wadau  wanaokusudia kuwekeza kwenye sekta ya Mifugo na Uvuvi wakati wa kufungua kituo cha ufugaji wa samaki kwa njia za kisasa kinachojulikana kama “Big Fish” kilichopo Wilaya ya Kigamboni jijini Dar-es-salaam.

********************************

Naibu waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Abdallah Ulega amewahakikishia wadau wote wanaokusudia kuwekeza kwenye sekta ya Mifugo na Uvuvi kuwa Serikali ya awamu ya tano ipo tayari...

 

11 years ago

Habarileo

Mama Pinda asema Vicoba inakua kwa kasi

MKE wa Waziri Mkuu, Tunu Pinda amesema miongoni mwa mifumo ya fedha inayokuwa kwa kasi nchini ni Benki za Vijijini (Vicoba). Alisema hayo juzi Kimanga, Dar es Salaam alipokuwa akizindua rasmi muungano wa Vicoba wenye vikundi 71 vyenye wanachama 600, ambao ndio waliopo katika mchakato wa Muungano huo.

 

10 years ago

Dewji Blog

Tigo yampongeza msanii Diamond Platnumz kwa kushinda tuzo ya Kimataifa

DSC_0048

Meneja wa huduma ya Tigo music, Balla Shareeph akiongea na waandishi wa habari kwenye mkutano wa kumpongeza msanii Nasibu Abdul maarufu ‘Diamond Platnumz’ kwa kupata tuzo ya msanii bora wa Afrika za MTV 2015 zilizofanyika mjini Durban, Afrika Kusini, Kampuni ya Tigo ilidhamini tukio hilo jana jijini Dar Es Salaam.

DSC_0105

Msanii Nasibu Abdul maarufu ‘Diamond Platnumz’ akiongea na waandishi wa habari kwenye mkutano wa kumpongeza kushinda tuzo ya msanii bora wa Afrika za MTV 2015 zilizofanyika mjini...

 

9 years ago

Mtanzania

Diamond Platnumz: Bila Kiingereza huwezi kuwa wa kimataifa

diamondNA CHRISTOPHER MSEKENA

MSANII wa muziki wa kizazi kipya nchini, Naseeb Abdul ‘Diamond Platnumz’, amesema kuwa lugha ya Kiingereza ni lazima kwa msanii anayetaka kuwa wa kimataifa.
Diamond alipokuwa kwenye mahafali ya darasa la saba Shule ya Rightway, Mbezi Beach jijini Dar es Salaam, alisema
lugha hiyo ilimpa hofu wakati alipokuwa akitaka kufikia soko la kimataifa.

“Mwaka jana nilipata mwaliko wa kutumbuiza kwenye jumba la Big Brother, Babu Tale, akaniambia baada ya onyesho nitafanyiwa...

 

10 years ago

Vijimambo

DIAMOND PLATNUMZ KWENYE KAMPENI NYINGINE ZA KIMATAIFA, PICHA, VIDEO NA STORY ZIPO HAPA

DiamondNi siku moja imebaki ili tuzishuhudie sherehe kubwa za utoaji wa tuzo za CHOAMVA Afrika Kusini, mshiriki pekee wa Tanzania Diamond Platnumz kupitia muziki wake kuna vingi ambavyo vinaendelea kutokea na amekuwa mjumbe wa kuiwakilisha Tanzania katika ishu mbalimbali kupitia muziki huohuo anaoufanya.

Jana Novemba 27 alikuwa ndani ya Jumba la BBA Afrika Kusini na mwanamuziki Fally Ipupa wakiwa na ujumbe wa ONE Campaign kuhimiza kilimo, leo taarifa ninayokupa ni kuwa amekuwa mmoja ya wasanii ambao...

 

10 years ago

GPL

DIAMOND PLATNUMZ ATUA RWANDA KWA SHANGWE

Staa wa Bongo Fleva, Naseeb Abdul 'Diamond Platnumz' akiwa na mfanyabiashara mrembo na muimbaji wa Uganda, Zarinah Hassan 'Zari'  au 'The Boss Lady' baada ya kuwasili Rwanda jana. Diamond Platnumz (katikati) akiwa kamshika mkono mpenzi wake wa sasa Zarinah Hassan 'Zari'  au 'The Boss Lady baada ya kuwasili uwanja wa…

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Je ni kwanini inakua vigumu kulinganisha viwango vya corona kimataifa?

Je unapaswa kuwa unalinganisha takwimu za Covid-19 kati ya nchi mbali mbali?

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani