Sekta ya Uvuvi inakua kwa kasi- Ulega.
Naibu waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Abdallah Ulega akizungumza mbele ya Wadau wanaokusudia kuwekeza kwenye sekta ya Mifugo na Uvuvi wakati wa kufungua kituo cha ufugaji wa samaki kwa njia za kisasa kinachojulikana kama “Big Fish” kilichopo Wilaya ya Kigamboni jijini Dar-es-salaam.
********************************
Naibu waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Abdallah Ulega amewahakikishia wadau wote wanaokusudia kuwekeza kwenye sekta ya Mifugo na Uvuvi kuwa Serikali ya awamu ya tano ipo tayari...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
MichuziNAIBU WAZIRI ULEGA AWATAKA MAAFISA UVUVI KUSIMAMIA SHERIA, KANUNI NA TARATIBU ZA SEKTA YA UVUVI
Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Abdallah Ulega (kulia) akisikiliza hoja na malalamiko kutoka kwa mmoja wadau wa sekta ya uvuvi katika Kijiji cha Kigombe Wilaya ya Muheza Mkoani Tanga.Mbunge wa Jimbo la Pangani Mhe. Jumaa Aweso ( wa kwanza kutoka kulia) akifuatiwa na Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Abdallah Ulega wakikagua punda...
10 years ago
Mwananchi06 Sep
Diamond Platnumz: Bongofleva inakua kwa kasi kimataifa
11 years ago
Habarileo17 Feb
Mama Pinda asema Vicoba inakua kwa kasi
MKE wa Waziri Mkuu, Tunu Pinda amesema miongoni mwa mifumo ya fedha inayokuwa kwa kasi nchini ni Benki za Vijijini (Vicoba). Alisema hayo juzi Kimanga, Dar es Salaam alipokuwa akizindua rasmi muungano wa Vicoba wenye vikundi 71 vyenye wanachama 600, ambao ndio waliopo katika mchakato wa Muungano huo.
10 years ago
Mwananchi16 Oct
Uvuvi haramu unazorotesha sekta ya uvuvi ziwa Nyasa
5 years ago
MichuziNAIBU WAZIRI WA UVUVI NA MIFUGO ULEGA AFUNGUA SHAMBA LA MAFUNZO NA UFUGAJI WA SAMAKI 'BIG FISH FARM' JIJINI DAR
9 years ago
Dewji Blog21 Aug
Tanzania na miaka 10 ya ukuaji wa kasi na kuimarika kwa sekta ya Mawasiliano
TCRA , MIAKA 10 YA UKUWAJI WA SEKTA YA MAWASILIANO, TANZANIA.doc
10 years ago
Tanzania Daima19 Nov
Sekta ya uvuvi yapigiwa chapuo
NCHI za Afrika zimekubaliana kufanya kazi kwa pamoja ili kuhakikisha sekta ya uvuvi inakuwa na mchango mkubwa wa kukuza uchumi katika nchi hizo. Akizungumza katika semina iliyoandaliwa na Umoja wa...
10 years ago
Tanzania Daima20 Nov
Nchi za Afrika kukuza sekta ya uvuvi
NCHI za Afrika zimekubaliana kufanya kazi kwa pamoja ili kuhakikisha sekta ya uvuvi inakuwa na mchango mkubwa katika kukuza uchumi kwenye nchi hizo. Akizungumza katika semina iliyoandaliwa na Umoja wa...