Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DIAMOND PLATNUMZ KWENYE KAMPENI NYINGINE ZA KIMATAIFA, PICHA, VIDEO NA STORY ZIPO HAPA

DiamondNi siku moja imebaki ili tuzishuhudie sherehe kubwa za utoaji wa tuzo za CHOAMVA Afrika Kusini, mshiriki pekee wa Tanzania Diamond Platnumz kupitia muziki wake kuna vingi ambavyo vinaendelea kutokea na amekuwa mjumbe wa kuiwakilisha Tanzania katika ishu mbalimbali kupitia muziki huohuo anaoufanya.

Jana Novemba 27 alikuwa ndani ya Jumba la BBA Afrika Kusini na mwanamuziki Fally Ipupa wakiwa na ujumbe wa ONE Campaign kuhimiza kilimo, leo taarifa ninayokupa ni kuwa amekuwa mmoja ya wasanii ambao...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

VIDEO: DIAMOND PLATNUMZ ATWAA TUZO NYINGINE YA AFRIKA

Wiki moja tu baada ya kushinda tuzo ya mtumbuizaji bora wa Afrika kwenye MTV MAMA, Diamond Platnumz ameshinda tuzo nyingine kubwa ya Afrika.Usiku wa jana, Diamond alishinda tuzo ya Msanii wa Afrika wa Mwaka kwenye hafla ya tuzo za African Achievers Awards 2015 zilizofanyika Afrika Kusini.10844180_822164274545595_1778078662_n“Thanks God for keep Blessing my Hustle….AFRICAN ARTISTE OF THE YEAR #AfricanAchieversAwards2015 (Shukran Nyingi ziwafikie Uongozi wangu kwa kuhakikisha unanisimamia ipaswavyo, Mama yangu kipenzi Sandrah, My...

 

10 years ago

Bongo5

Diamond Platnumz kuingia kwenye jumba la BBA Hotshots leo (Nov 27) kupiga story na washiriki

Diamond Platnumz tayari ametua jijini Johannesburg, Afrika Kusini toka jana, tayari kuhudhuria tuzo za Channel O (CHOAMVA) zinazotarajiwa kutolewa siku ya Jumamosi Nov.29 akiwa anawania vipengele vinne. Staa huyo ambaye ameachia ngoma mpya siku chache zilizopita ‘Ntampata wapi’, ameandika kupitia akaunti zake za mitandao ya kijamaii kuwa pia leo Alhamisi Nov.27 atapata nafasi ya kuingia […]

 

9 years ago

MillardAyo

Jina la Diamond Platnumz kwenye list ya washindi wa Tuzo nyingine Nigeria mapema kabisa 2016..

2016 mwaka mwingine unaoanza vizuri kwa muziki wa Bongofleva wenye mizizi yake Tanzania ambapo usiku wa January 01 2016 zimetolewa Tuzo za HEADIES Awards ndani ya Lagos Nigeria. List kamili ya washindi imetoka ambapo kati yao staa wa muziki anayewakilisha Bongo 255, Diamond Platnumznae yumo… Tuzo hizi zinawahusu mastaa wa Nigeria lakini kuna category moja […]

The post Jina la Diamond Platnumz kwenye list ya washindi wa Tuzo nyingine Nigeria mapema kabisa 2016.. appeared first on...

 

9 years ago

MillardAyo

Ni headlines za Diamond Platnumz Dec 25 kwenye show ya Funga Mwaka Dar Live…..(+Picha)

Christmas ya mwaka 2015 itabakia kuwa na historia kubwa kwenye dunia ya burudani, 88.5 usiku wa Dec 25 wamepokea shangwe za burudani kutoka kwa Naseeb Abdul aka Diamond Platnumz kwenye  viwanja vya Dar Live, Mbagala Dar es Salaam. Hapa nimekusogezea picha 20 uone jinsi kilivyohappen Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na […]

The post Ni headlines za Diamond Platnumz Dec 25 kwenye show ya Funga Mwaka Dar Live…..(+Picha) appeared first on...

 

10 years ago

Vijimambo

Maneno ya Zari Hassan kwa picha inayo muonyesha Diamond Platnumz akichungulia anacho kifanya kwenye simu

Mwimbaji Lady JayDee alisha imba kuwa "Wivu unahusika kwenye mapenzi ya kweli". Ukiona upo na mpenzi na yeye hana wivu kwako basi hana mapenzi ya kweli kwako.Picha inayo muonyesha Nasib Abdul aka Diamond Platnumz akichungulia kwenye simu ya mpenzi wake 'Zari Hassan' ime make headline kwenye mitandao ya kijamii.Lakini lakufurahisha ni maneno aliyo yaandika mama huyo kuhusiana na picha hiyo kuwa alizani ni yeye tu huwa anatabia ya kuchungulia nini Diamond anachokifanya kwenye simu kumbe hata...

 

10 years ago

Bongo5

Kwanini Diamond Platnumz alilia kwenye video hii?

Hakuna siri kuwa Diamond Platnumz na Yemi Alade walifanya kazi nzuri kwenye msimu wa pili wa Coke Studio Africa. Miongoni mwa nyimbo zilizofurahiwa zaidi ni Johny ya Yemi na Ukimwona ya Diamond ambazo waliziimba pamoja. Lakini kilichofurahisha zaidi na pengine ambacho watu wengi hawajakigundua ni pale Diamond alikuwa akijadiliana na producer wa video ya live […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani