Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kwanini Diamond Platnumz alilia kwenye video hii?

Hakuna siri kuwa Diamond Platnumz na Yemi Alade walifanya kazi nzuri kwenye msimu wa pili wa Coke Studio Africa. Miongoni mwa nyimbo zilizofurahiwa zaidi ni Johny ya Yemi na Ukimwona ya Diamond ambazo waliziimba pamoja. Lakini kilichofurahisha zaidi na pengine ambacho watu wengi hawajakigundua ni pale Diamond alikuwa akijadiliana na producer wa video ya live […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

MillardAyo

Full Interview ya Diamond Platnumz: Kwanini hakutokea White party Uganda, video ya Wema Sepetu, scene iliyomuhuzunisha na mengine

Ni Interview ambayo mwimbaji Diamond Platnumz alihojiwa CloudsFM kwenye LeoTENA December 22 2015 ambapo ndani yake alizungumzia kutokutokea kwenye show ya Zari All White Party Uganda, video ya Wema Sepetu iliyosambaa akiimba wimbo wa Diamond na mengine mengi. Ukibonyeza play kwenye hii video hapa chini utasikia yote aliyosema Diamond ikiwemo ya Mama yake alivyoigiza kwenye […]

The post Full Interview ya Diamond Platnumz: Kwanini hakutokea White party Uganda, video ya Wema Sepetu, scene...

 

10 years ago

CloudsFM

Diamond Platnumz kuzindua Tv yake kwenye Zari White Party,Mlimani City,Ijumaa hii

Staa wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz anatarajia kuzindua tv yake kwenye Zari White Party itakayofanyika Ijumaa hii pande za Mlimani City,Mwenge,jijini Dar.

Pamoja na vitu vingi vitakavyokuwepo siku hiyo mashabiki watashuhudia uzinduzi wa tv hiyo kwa mara ya kwanza ambapo Diamond atataja rasmi jina la tv hiyo. ZARI ALL WHITE PARTY ,performance kutoka kwa @diamondplatnumz akisindikizwa na @shettatz pamoja na @akaworldwide kwa mtonyo wa Tsh 50,000/= na VIP ni Tsh 100,000/= Utakosa...

 

9 years ago

MillardAyo

Diamond Platnumz alivyowapagawisha wakazi wa Dar kwa hii burudani…. (+Video)

Dec 25 2015 Msanii Diamond Platnumz kutokea Wasafi Classic Baby (WCB) aliandika historia kubwa kwenye dunia ya burudani 88.5, kwa kutoa shangwe za burudani kwenye viwanja vya Dar Live Mbagala Dar es Salaam. Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK […]

The post Diamond Platnumz alivyowapagawisha wakazi wa Dar kwa hii burudani…. (+Video) appeared first on...

 

10 years ago

Vijimambo

HII NDIO VIDEO MPYA KUTOKA KWA DIAMOND PLATNUMZ AFANYA NA HANSCANA

Maneno yaliyosemwa na director mkenya Kevin Bosco mwanzoni mwa mwaka huu (Hanscana is the director to watch) kuhusu director mpya anayekuja juu kwa sasa, Hanscana yanazidi kutimia.Baada ya kutisha kwenye video mpya ya Barnaba & Vanessa Mdee, sasa Hanscana amepata shavu la kushoot video mpya ya Diamond Platnumz.Kupitia kipindi cha ‘Clouds e’ cha Clouds TV, kimeoneshwa kipande kidogo cha wakati wa utengenezwaji wa video (BTS) ya wimbo mpya wa Diamond na Khadija Kopa ambayo kwa mujibu wa chanzo...

 

10 years ago

Bongo5

Joell Ortiz anatuasa kwanini ni vibaya kukagua simu ya mpenzi wako kwenye video hii kali

Unatabia ya kukagua simu ya mpenzi wako na kusoma meseji anazotumiwa na kutuma? Joell Ortiz anatueleza kwenye video ya ngoma yake ‘Phone’ kwanini si kitu kizuri.

 

10 years ago

Vijimambo

DIAMOND PLATNUMZ KWENYE KAMPENI NYINGINE ZA KIMATAIFA, PICHA, VIDEO NA STORY ZIPO HAPA

DiamondNi siku moja imebaki ili tuzishuhudie sherehe kubwa za utoaji wa tuzo za CHOAMVA Afrika Kusini, mshiriki pekee wa Tanzania Diamond Platnumz kupitia muziki wake kuna vingi ambavyo vinaendelea kutokea na amekuwa mjumbe wa kuiwakilisha Tanzania katika ishu mbalimbali kupitia muziki huohuo anaoufanya.

Jana Novemba 27 alikuwa ndani ya Jumba la BBA Afrika Kusini na mwanamuziki Fally Ipupa wakiwa na ujumbe wa ONE Campaign kuhimiza kilimo, leo taarifa ninayokupa ni kuwa amekuwa mmoja ya wasanii ambao...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani