Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Diamond Platnumz kuzindua Tv yake kwenye Zari White Party,Mlimani City,Ijumaa hii

Staa wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz anatarajia kuzindua tv yake kwenye Zari White Party itakayofanyika Ijumaa hii pande za Mlimani City,Mwenge,jijini Dar.

Pamoja na vitu vingi vitakavyokuwepo siku hiyo mashabiki watashuhudia uzinduzi wa tv hiyo kwa mara ya kwanza ambapo Diamond atataja rasmi jina la tv hiyo. ZARI ALL WHITE PARTY ,performance kutoka kwa @diamondplatnumz akisindikizwa na @shettatz pamoja na @akaworldwide kwa mtonyo wa Tsh 50,000/= na VIP ni Tsh 100,000/= Utakosa...

CloudsFM

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

NG'ARI NG'ARI NDANI YA ZARI & DIAMOND WHITE PART HUKO MLIMANI CITY HABARI NDIYO HII


Muonekano ndani ya Mlimani City kunako Zari & Diamond white party inalindima usiku huu Licha ya mtonyo kuwa wanguvu lakini ticket ni sold out na watu wako nje labla kuna mtu atakuwa amedondosha yake na kuiokota.

Huddah BossyLady wa Kenya ndani ya nyumba full ng'aring'ari kiroho safi

 

10 years ago

GPL

USIKU WA ZARI ALL WHITE PARTY ULIVYOFANA NDANI YA MLIMANI CITY JIJINI DAR

Diamond Platnumz akimbusu mpenzi wake Zari katika usiku wa Zari All White Party ndani ya Mlimani City usiku huu. Zari na Diamond katika pozi ndani ya Mlimani City. Zari na Diamond wakati wakiingia ukumbini usiku huu. (PICHA ZOTE NA RICHARD BUKOS /…

 

10 years ago

Africanjam.Com

TANZANIA: KUELEKEA ZARI WHITE PARTY, DIAMOND AFUNGUKA KUHUSU NDOA YAKE NA ZARI

Tweet

Diamond Platnumz ambae ni miongoni mwa wasanii wa muziki wanaofanya vizuri sana Africa amefunguka kuhusu Ndoa yake na mwanamama Zari, Diamond amesema kwamba atakuwa ndani ya ndoa kabla ya mwaka huu kuisha.Diamond alifunguka hayo asubuhi ya tar 1 May. 2015 katika kuipigia promo Event ya Zari All All White Party itakayofanyika tar 1 May. Tamasha hilo linatarajiwa kuacha historia ya kipekee kwa kua na kiingilio cha gharama kubwa zaidi kwani ticket za VIP zimeuzwa kwa Millioni tatu na mpaka...

 

10 years ago

Vijimambo

DIAMOND KUFANYA ONESHO KWENYE WHITE PARTY YA ZARI UGANDA

zari diamond4Imethibitika rasmi kwamba Diamond atafanya onesho kwenye white party ya Zari inayotegemewa kufanyika Desemba 18, 2014 jijini Kampala nchini Uganda kwa mujibu wa mtandao wa Boss Lady kwenye ukurasa wake wa facebook ameandika kwa Diamond kuwa mgeni rasmi na hiki ndicho alichoandika Zari kwenye ukurasa wake wa facebook “Proud to announce Diamond Platinumz is our official guest artist at the ‪ Zari All White Ciroc Party. White is always pure, fab & classy,”

Zari alikua na Diamond kwenye tuzo za...

 

9 years ago

Bongo Movies

Diamond Afunguka Kutotokea Kwenye Zari All White Party, Adai Hamwogopi Ivan

Diamond Platnumz alikuwepo, Kampala, Uganda usiku ambao Zari alikuwa akifanya party yake ya All White lakini hakutokea. Ex wa Zari, Ivan Ssemwanga na wapambe wake walikuwepo. Watu walihisi kuwa Diamond aliogopa kwenda kumpa kampani mama wa mtoto wake Tiffah ili kuepusha shari na kambi ya Rich Gang ya Ivan.

Diamond Akiwa na Zari

Diamond Akiwa na Zari

Hata hivyo muimbaji huyo wa Utanipenda amedai kuwa hakukacha party hiyo bali makubaliano aliyokuwa nayo na promota wa show yake ya Ijumaa (siku moja baada ya all...

 

9 years ago

Dewji Blog

Diamond Platnumz, Vanessa Mdee na Ommy Dimpoz ndani ya “Celebrity Party” Houston Texas Ijumaa hii 0ct 9

VANESSA  MDEE PERFORMING LIVE

      DIAMOND  PLATNUMZ – HOST

       OMMY DIMPOZ -HOST
KWA MARA YA KWANZA NDANI YA MAREKANI ” 3 SUPERSTARS IN ONE NIGHT                                                                      #HOUSTON TEXAS ONLY !

 

 

10 years ago

TheCitizen

When Zari-Diamond painted the city white

It was billed as the party of the year, one that brought East Africa’s power couple Zari and Diamond in the public glare for the first time.

 

10 years ago

GPL

SHOO YA ZARI ALL WHITE PARTY YANUKIA, DIAMOND AJIPINDA KUHAKIKI TIKETI

STAA wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul 'Diamond' jana ametupia picha hii mitandaoni akihakiki tiketi kwa ajili ya shoo ya mpenzi wake Zarinah Hassan 'Zari' ya ZARI ALL WHITE PARTY itakayofanyika Ijumaa ya Mei 1, mwaka huu kwenye Ukumbi wa Mlimani City, Dar. Staa huyo aliisindikiza picha hiyo kwa maneno haya:  "Sio kwa kiingilio hiki cha kuanzia Elf 50 hadi Milioni 3 eti nikajifanya naleta Uboss ... Mzigo Nausimamia mwenyeweee!!!...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani