Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JK ATUNUKIWA TUZO NYINGINE YA KIMATAIFA, NI YA KUWA NYOTA WA DEMOKRASIA AFRIKA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete kwa mara nyingine ametunukiwa tuzo la kimataifa – zamu hii kwa kuwa mshindi waTuzo la Nyota wa Demokrasia Afrika  2014 – Icon of Democracy Award Winner for 2014 in Africa. Kwa mujibu wa barua aliyoandikiwa Rais Kikwete na kupokelewa Ikulu, Dar Es Salaam, Rais...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

JK atunukiwa Tuzo jingine la kimataifa, safari hii ni la kuwa Nyota wa Demokrasia Afrika

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete 

 

11 years ago

Habarileo

JK atunukiwa tuzo nyingine ya kimataifa

Rais Jakaya KikweteRAIS Jakaya Kikwete kwa mara nyingine ametunukiwa Tuzo ya Kimataifa, kwa kuwa mshindi wa Tuzo ya Nyota wa Demokrasia Afrika 2014.

 

11 years ago

Habarileo

Rais Kikwete atunukiwa tuzo nyingine ya kimataifa

RAIS Jakaya Kikwete kwa mara nyingine ametunukiwa Tuzo ya Kimataifa, kwa kuwa mshindi wa Tuzo ya Nyota wa Demokrasia Afrika 2014.

 

9 years ago

Vijimambo

JK AAGANA NA WAFANYAKAZI WA MAHAKAMA YA AFRIKA, ATUNUKIWA TUZO NYINGINE YA UONGOZI WENYEMAFANIKIO, IJULIKANAYO KAMA "AFRICA ACHIEVING'S AWARD"

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na Rais Wa Mahakama ya Afrika ya Haki za binadamu Jaji Agustino Ramadhani wakizindua kitabu cha taarifa za msingi kuhusu mahakama hiyo kwenye Ukumbi wa Kibo kwenye majengo ya Mahakama hiyo mjini Arusha leo Septemba 10, 2015. Rais Kikwete alitumia fursa hiyo kuagana na viongozi na wafanyakazi wa mahakama hiyo, awali Rais Kikwete, alitunukiwa tuzo ya uongozi bora Ikulu jijini Dar es Salaam leo Septemba 10, 2015. Tuzo hiyo aliyotunukiwa nchini Afrika Kusini hivi...

 

11 years ago

Mtanzania

Rais Kikwete atunukiwa tuzo ya demokrasia

Jakaya Kikwete

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete

RAIS Jakaya Kikwete ametunukiwa tuzo ya kimataifa ya Nyota wa Demokrasia Afrika 2014.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais Ikulu jana, Rais Kikwete aliandikiwa barua ya kuwa mshindi wa kwanza katika mchuano huo uliohusisha marais watatu wa Afrika ambao waliingia katika tatu bora.

“Katika barua hiyo, Mchapishaji na Mhariri Mkuu wa Jarida hilo, Pastor Elvis Iruh, akizungumza kwa niaba ya Kamati ya Tuzo...

 

10 years ago

Michuzi

MKURUGENZI MAMBO YA KALE ATUNUKIWA TUZO YA KIMATAIFA


Mkurugenzi wa Mambo ya Kale katika Wizara ya Maliasili na Utalii, Bw. Donatius M.K. Kamamba (pichani) ametunukiwa tuzo ya kimataifa ya “The knight Cross in the Order of Arts and Letters” na Serikali ya Ufaransa.

Hatua hiyo imetokana na mchango mkubwa alioutoa Bw. Kamamba katika kulinda na kuendeleza Urithi wa Utamaduni hapa nchini na duniani kwa ujumla katika kipindi cha miaka 33 aliyoitumikia sekta ya malikale ndani na nje ya nchi.

Katika barua aliyoandikiwa Mkurugenzi huyo na...

 

11 years ago

Dewji Blog

Rais Kikwete atunukiwa Tuzo jingine la kimataifa

Jakaya-Kikwete

Rais – Voice – Award by moblog

 

10 years ago

Mwananchi

Dewji atunukiwa tuzo uongozi bora Afrika

Mbunge wa Singida Mjini (CCM) na mfanyabiashara maarufu nchini, Mohammed Dewji ameshinda tuzo ya kiongozi bora aliyejitolea kwa kiasi kikubwa katika jamii na kuleta mabadiliko Afrika kwa mwaka 2014.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani