JK atunukiwa tuzo nyingine ya kimataifa
RAIS Jakaya Kikwete kwa mara nyingine ametunukiwa Tuzo ya Kimataifa, kwa kuwa mshindi wa Tuzo ya Nyota wa Demokrasia Afrika 2014.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo31 Jul
Rais Kikwete atunukiwa tuzo nyingine ya kimataifa
RAIS Jakaya Kikwete kwa mara nyingine ametunukiwa Tuzo ya Kimataifa, kwa kuwa mshindi wa Tuzo ya Nyota wa Demokrasia Afrika 2014.
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/zR-FkEEcSb9nPGbjmZ*b-i3fojL*rmvv0Vsp*T06zX-jcNsEjzxvLdH2r4BklDvYZWe8Nua0LB2kaDLj47tJNkMjrGEvzhIM/JK.jpg?width=650)
JK ATUNUKIWA TUZO NYINGINE YA KIMATAIFA, NI YA KUWA NYOTA WA DEMOKRASIA AFRIKA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete kwa mara nyingine ametunukiwa tuzo la kimataifa – zamu hii kwa kuwa mshindi waTuzo la Nyota wa Demokrasia Afrika 2014 – Icon of Democracy Award Winner for 2014 in Africa. Kwa mujibu wa barua aliyoandikiwa Rais Kikwete na kupokelewa Ikulu, Dar Es Salaam, Rais...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-UimU0sKvhys/VAWUqjQG8_I/AAAAAAAGbJs/EZyiycD3oLs/s72-c/unnamed%2B(38).jpg)
MKURUGENZI MAMBO YA KALE ATUNUKIWA TUZO YA KIMATAIFA
![](http://4.bp.blogspot.com/-UimU0sKvhys/VAWUqjQG8_I/AAAAAAAGbJs/EZyiycD3oLs/s1600/unnamed%2B(38).jpg)
Mkurugenzi wa Mambo ya Kale katika Wizara ya Maliasili na Utalii, Bw. Donatius M.K. Kamamba (pichani) ametunukiwa tuzo ya kimataifa ya “The knight Cross in the Order of Arts and Letters” na Serikali ya Ufaransa.
Hatua hiyo imetokana na mchango mkubwa alioutoa Bw. Kamamba katika kulinda na kuendeleza Urithi wa Utamaduni hapa nchini na duniani kwa ujumla katika kipindi cha miaka 33 aliyoitumikia sekta ya malikale ndani na nje ya nchi.
Katika barua aliyoandikiwa Mkurugenzi huyo na...
11 years ago
Dewji Blog30 Jul
9 years ago
VijimamboJK AAGANA NA WAFANYAKAZI WA MAHAKAMA YA AFRIKA, ATUNUKIWA TUZO NYINGINE YA UONGOZI WENYEMAFANIKIO, IJULIKANAYO KAMA "AFRICA ACHIEVING'S AWARD"
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-ZMS1cC-CT3w/U9kYgJ9bIzI/AAAAAAAF75Y/NWtnMdkYdkM/s72-c/download.jpg)
JK atunukiwa Tuzo jingine la kimataifa, safari hii ni la kuwa Nyota wa Demokrasia Afrika
![](http://2.bp.blogspot.com/-ZMS1cC-CT3w/U9kYgJ9bIzI/AAAAAAAF75Y/NWtnMdkYdkM/s1600/download.jpg)
10 years ago
Mwananchi27 Jul
Rais Kikwete atunukiwa PHD nyingine
>Rais Jakaya Kikwete anatarajiwa kutunukiwa Shahada ya Uzamivu (PHD) ya Heshima ya Sheria (Degree of Doctors of Laws honoriscausa – honorarary LLD) katika Chuo Kikuu cha Newcastle cha nchini Australia.
10 years ago
Habarileo30 Dec
DC atunukiwa tuzo ya uongozi
VIONGOZI wa madhehebu ya dini ya Kikristo na Kiislamu mkoani Mbeya wamemtunuku Tuzo ya uongozi bora Mkuu wa wilaya ya Mbeya, Dk Norman Sigalla.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania