JK atunukiwa Tuzo jingine la kimataifa, safari hii ni la kuwa Nyota wa Demokrasia Afrika

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL
JK ATUNUKIWA TUZO NYINGINE YA KIMATAIFA, NI YA KUWA NYOTA WA DEMOKRASIA AFRIKA
11 years ago
Dewji Blog30 Jul
11 years ago
Mtanzania31 Jul
Rais Kikwete atunukiwa tuzo ya demokrasia

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete
RAIS Jakaya Kikwete ametunukiwa tuzo ya kimataifa ya Nyota wa Demokrasia Afrika 2014.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais Ikulu jana, Rais Kikwete aliandikiwa barua ya kuwa mshindi wa kwanza katika mchuano huo uliohusisha marais watatu wa Afrika ambao waliingia katika tatu bora.
“Katika barua hiyo, Mchapishaji na Mhariri Mkuu wa Jarida hilo, Pastor Elvis Iruh, akizungumza kwa niaba ya Kamati ya Tuzo...
11 years ago
Habarileo31 Jul
JK atunukiwa tuzo nyingine ya kimataifa
RAIS Jakaya Kikwete kwa mara nyingine ametunukiwa Tuzo ya Kimataifa, kwa kuwa mshindi wa Tuzo ya Nyota wa Demokrasia Afrika 2014.
11 years ago
Michuzi.jpg)
MKURUGENZI MAMBO YA KALE ATUNUKIWA TUZO YA KIMATAIFA
.jpg)
Mkurugenzi wa Mambo ya Kale katika Wizara ya Maliasili na Utalii, Bw. Donatius M.K. Kamamba (pichani) ametunukiwa tuzo ya kimataifa ya “The knight Cross in the Order of Arts and Letters” na Serikali ya Ufaransa.
Hatua hiyo imetokana na mchango mkubwa alioutoa Bw. Kamamba katika kulinda na kuendeleza Urithi wa Utamaduni hapa nchini na duniani kwa ujumla katika kipindi cha miaka 33 aliyoitumikia sekta ya malikale ndani na nje ya nchi.
Katika barua aliyoandikiwa Mkurugenzi huyo na...
11 years ago
Habarileo31 Jul
Rais Kikwete atunukiwa tuzo nyingine ya kimataifa
RAIS Jakaya Kikwete kwa mara nyingine ametunukiwa Tuzo ya Kimataifa, kwa kuwa mshindi wa Tuzo ya Nyota wa Demokrasia Afrika 2014.
10 years ago
Mwananchi26 Dec
Dewji atunukiwa tuzo uongozi bora Afrika
10 years ago
Michuzi
PROFESA NDULU, ATUNUKIWA TUZO YA GAVANA BORA AFRIKA 2015

Tuzo hiyo inayojulikana kama ‘Central Bank Governor of the Year’ ilitolewa na taasisi ya Africa Investor (Ai) jijini New York, Marekani hivi karibuni katika mkutano wake wa nane uliohudhuriwa na zaidi watu 250 maarufu katika biashara, serikali, maendeleo, sekta ya fedha na wakuu wa nchi tano za Afrika.
Prof. Ndulu aliibuka kidedea kwa kuwashinda magavana wa benki...
10 years ago
Dewji Blog25 Jul
Rais Kikwete atunukiwa Tuzo ya Kudumisha Utawala Bora Barani Afrika
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete.
Jitihada za muongo mzima wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete kuimarisha na kudumisha Utawala Bora katika Tanzania zimetambuliwa kimataifa kwa Rais kutunukiwa Tuzo la Utawala Bora Barani Afrika mwaka 2015 (Good Governance in Africa.)
Rais Kikwete ametunukiwa Tuzo hiyo na Taasisi ya African Achievers Awards yenye makao yake makuu katika Afrika Kusini kutokana na kutambua mchango...