Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tanzania kuwa mwenyeji Tamasha la Kimataifa la Lugha na Utamaduni

Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Mhe. Dkt. Fenella Mukangara akizungumza na wageni waliofika ofisini kwake kumjulisha kuhusu Tamasha la Kimataifa la Lugha na Utamaduni lililoandaliwa na Kilimanjaro Dialogue Institute litakalofanyika nchini Tanzania na kuhusisha nchi 18 tarehe 21 na 22 Machi mwaka huu. Kushoto ni Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel, wakwanza kulia ni Bw. Ramadhani Madabida na anayefuata ni Rais wa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Nchi 19 zashiriki Tamasha la Kimataifa la Lugha na Utamaduni nchini

Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Mhe. Dkt. Fenella Mukangara akiwahutubia washiriki wa Tamasha la Kimatafa la Lugha na Utamaduni lililoandaliwa na Kilimanjaro Dialogue Institute na kufanyika katika Ukumbi wa Mwalimu Nyerere jana Jijini Dar es Salaam na kuhusisha washiriki kutoka nchi 19 wakiwa na lengo la kuhamasisha matumizi ya lugha ya kiswahili.Rais wa Kilimanjaro Dialogue Institute Bw. Ali Akkiz akizungumza na washiriki wa Tamasha la Kimataifa la Lugha na Utamaduni jana...

 

10 years ago

Mwananchi

Tamasha la 13 la Lugha na Utamaduni

Tamasha la 13 la Lugha na Utamaduni limefanyika Dar es Salaam tarehe 22 Machi 2015 katika Ukumbi wa Mikutano ya Kimataifa wa Mwalimu Nyerere.

 

10 years ago

Mwananchi

Tamasha la 13 la Lugha na Utamaduni (B)

Katika tamasha la 13 la lugha na utamaduni lililofanyika jijini Dar es Salaam tarehe 22 Machi 20015 suala la lugha ya Kiswahili lilitiliwa mkazo sana. Waziri wa Utamaduni, Habari, Vijana na Michezo, Mhe Dr P. Mukangara aliwapongeza wazazi waliowaruhusu watoto wao kuhudhuria hafla hii.

 

9 years ago

Dewji Blog

TaSUBa watambulisha rasmi Tamasha la 34 la Kimataifa la Sanaa na Utamaduni Bagamoyo

DSC_0016Mwenyekiti wa Kamati kuu wa tamasha  la 34 la Sanaa na Utamaduni Bagamoyo, Bw. John Mponda (katikati) akizungumza na waandishi wa habari (Hawapo pichani) katika ukumbi wa MAELEZO mapema leo 8.14.2015. Wengine ni Mwalimu Christa Kombo ambaye ni Mwenyekiti wa Maonyesho (kulia) na kushoto ni Bw. Frank Sika ambaye ni Mwenyekiti wa Kamati ya Majukwaa na Ufundi wa tamasha hilo ambalo linatarajia kufanyika mwishoni mwa mwezi Septemba  mwaka huu (Picha zote na Andrew Chale wa modewjiblog)

TAASISI...

 

9 years ago

Dewji Blog

Kumekucha tamasha la 34 la Kimataifa la Sanaa na Utamaduni Bagamoyo kufanyika Sept 21-27

1

Mwenyekiti wa Tamasha la 34 la Kimataifa la Sanaa na Utamaduni, John Mponda (katikati), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam  kuhusu tamasha hilo litakalofanyika kuanzia tarehe 21 hadi 27, 2015 katika Kumbi na Viunga vya Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBa), mkoani Pwani. Kulia ni Katibu wa Tamasha hilo na Ofisa Biashara, Benjamini Malimbali na Ofisa Habari, Sophia Mtakajimbo. 2  Hapa Mwenyekiti wa Tamasha hilo, John Mponda (kulia) akisisitiza jambo...

 

9 years ago

Dewji Blog

Tamasha la 34 la Kimataifa la Sanaa na Utamaduni Bagamoyo kuanza rasmi leo

festival

 

Ratiba Ya Ufunguzi Wa Tamasha 2015 by andrewchale

 

9 years ago

Michuzi

TAMASHA LA KIMATAIFA LA SANAA NA UTAMADUNI KUFANYIKA SEPTEMBA 21-27, 2015 WILAYANI BAGAMOYO

 Mwenyekiti wa Tamasha la Kimataifa la Sanaa na Utamaduni Bagamoyo, John Mponda (katikati), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, kuhusu tamasha hilo litakalofanyika kwa mara ya 34 kuanzia tarehe 21-27 Septemba katika ukumbi na viunga vya Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo ambao ndio wenyeji na waandaaji wa tamasha hilo kongwe Tanzania. Kulia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Maonyesho ya tamasha hilo, Christa Komba na kushoto ni Mwenyekiti wa Kamati ya Ufundi na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani