Nchi 19 zashiriki Tamasha la Kimataifa la Lugha na Utamaduni nchini
![](http://2.bp.blogspot.com/-LosXt2TCj-4/VRAahnYsslI/AAAAAAAHMbY/C6V2uE9E1Tg/s72-c/Pix%2B1.jpg)
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Mhe. Dkt. Fenella Mukangara akiwahutubia washiriki wa Tamasha la Kimatafa la Lugha na Utamaduni lililoandaliwa na Kilimanjaro Dialogue Institute na kufanyika katika Ukumbi wa Mwalimu Nyerere jana Jijini Dar es Salaam na kuhusisha washiriki kutoka nchi 19 wakiwa na lengo la kuhamasisha matumizi ya lugha ya kiswahili.
Rais wa Kilimanjaro Dialogue Institute Bw. Ali Akkiz akizungumza na washiriki wa Tamasha la Kimataifa la Lugha na Utamaduni jana...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-iMkP_xYitWw/VQKWqX4oI-I/AAAAAAAHKBk/tjb2xOakgbE/s72-c/unnamed%2B(5).jpg)
Tanzania kuwa mwenyeji Tamasha la Kimataifa la Lugha na Utamaduni
![](http://1.bp.blogspot.com/-iMkP_xYitWw/VQKWqX4oI-I/AAAAAAAHKBk/tjb2xOakgbE/s1600/unnamed%2B(5).jpg)
10 years ago
Mwananchi23 Mar
Tamasha la 13 la Lugha na Utamaduni
10 years ago
Mwananchi23 Mar
Tamasha la 13 la Lugha na Utamaduni (B)
11 years ago
Michuzi26 Jun
9 years ago
Dewji Blog18 Sep
Kumekucha tamasha la 34 la Kimataifa la Sanaa na Utamaduni Bagamoyo kufanyika Sept 21-27
![2](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/09/26.jpg)
9 years ago
Dewji Blog14 Aug
TaSUBa watambulisha rasmi Tamasha la 34 la Kimataifa la Sanaa na Utamaduni Bagamoyo
Mwenyekiti wa Kamati kuu wa tamasha la 34 la Sanaa na Utamaduni Bagamoyo, Bw. John Mponda (katikati) akizungumza na waandishi wa habari (Hawapo pichani) katika ukumbi wa MAELEZO mapema leo 8.14.2015. Wengine ni Mwalimu Christa Kombo ambaye ni Mwenyekiti wa Maonyesho (kulia) na kushoto ni Bw. Frank Sika ambaye ni Mwenyekiti wa Kamati ya Majukwaa na Ufundi wa tamasha hilo ambalo linatarajia kufanyika mwishoni mwa mwezi Septemba mwaka huu (Picha zote na Andrew Chale wa modewjiblog)
TAASISI...
9 years ago
Dewji Blog21 Sep
Tamasha la 34 la Kimataifa la Sanaa na Utamaduni Bagamoyo kuanza rasmi leo
Ratiba Ya Ufunguzi Wa Tamasha 2015 by andrewchale
9 years ago
GPLTAMASHA LA 34 LA KIMATAIFA LA SANAA NA UTAMADUNI KUFANYIKA TAREHE 21-27, 2015, MJINI BAGAMOYO