Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mawaziri sawa, tunataka wengine wawajibishwe

JUZI mawaziri wanne walivuliwa nyadhifa zao kwa tuhuma za kushindwa kusimamia kikamilifu wizara zao zilizoendesha Operesheni Tokomeza Ujangili, ambayo iligubikwa na ukiukwaji wa haki za binadamu. Mawaziri walioondolewa madarakani na...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

Rais Magufuli atangaza Baraza jipya la Mawaziri huku akiwaweka kiporo wengine!!

jbb1

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akitangaza baraza lake la mawaziri Ikulu jijini Dar es salaam leo Desemba 10, 2015. Kulia kwake ni Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan na kushoto ni Waziri Mkuu, Mhe. Majaliwa Kassim Majaliwa.

BARAZA LA MAWAZIRI

1.Wizara ya Ofisi ya Rais,Tamisemi, Utumishi na Utawala Bora.

Mawaziri – George Simbachawene  na Angella Kairuki

Naibu Waziri – Sumeilam Jafo. Naibu.

2.Wizara ya Ofisi ya Makamu wa Raisi, Muungano na...

 

10 years ago

Bongo5

Mashabiki walumbana kuhusu video ya Alikiba ‘Mwana’, kama ni sawa au si sawa kwa video kutofuata maudhui ya wimbo

Wiki moja baada ya video ya Alikiba ‘Mwana’ iliyofanyiika Afrika Kusini na kuongozwa na Godfather, itoke, kumekuwa na maoni tofauti kuhusiana na video hiyo. Baadhi yao wameonekana kuifurahia na wengine wameonekana kutoridhishwa na baadhi ya vitu. Baadhi ya waliotoa maoni wamesema kuwa walitegemea kuona video yenye script inayoendana na maudhui ya wimbo ili kumuwezesha hata […]

 

10 years ago

Mwananchi

Waliosababisha uchaguzi kuvurugika wawajibishwe

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliofanyika juzi nchi nzima ulikumbwa na kasoro nyingi ambazo wananchi wengi wanasema zilitokana na uzembe au hujuma kwa upande wa maofisa walioteuliwa kuuratibu na kuusimamia.

 

9 years ago

Mwananchi

Waliofumbia, kuidhinisha ujenzi holela wawajibishwe

Baada ya onyo la muda mrefu, hatimaye wiki hii Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kushirikiana na halmashauri za manispaa za Kinondoni na Temeke, zimeanza kazi ya ubomoaji nyumba zote zilizojengwa, bila kufuata utaratibu, kwenye maeneo ya wazi na hifadhi za barabara.

 

10 years ago

Vijimambo

KINANA ATAKA WATU WAWAJIBISHWE NCHINI

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana (katikati) akiongozana na Mbunge wa Jimbo la Nachingwea na Waziri wa Mambo ya Ndani Ndugu Mathias Chikawe (kulia) pamoja na Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Nachingwea Ndugu Albert Mnari kuelekea kwenye shamba la ushirika Mkotokuyana  wilaya ya Lindi Vijijini tayari kwa kushiriki shughuli za kilimo. Kikundi cha Wakulima cha Umoja Rika wakiinua majembe juu kama ishara ya kumkaribisha Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana aliyefika kwenye shamba...

 

10 years ago

Habarileo

Wanasheria: Viongozi wenye kauli za kuudhi wawajibishwe

 Mkurugenzi wa Ujengaji Uwezo na Uwajibikaji wa LHRC, Imelda UrioKITUO cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimesema ipo haja ya sheria ya maadili ya viongozi wa umma kutekelezwa kama ilivyoainishwa na sekretarieti na endapo wapo viongozi wanaotoa kauli zenye kuudhi wawajibishwe.

 

10 years ago

GPL

HOJA YA DHARURA: WABUNGE WATAKA WAZIRI MKUU NA CHIKAWE WAWAJIBISHWE

Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu. BAADHI ya wabunge waliochangia hoja ya dharura bungeni leo wamewataka Waziri Mkuu Mizengo Pinda na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe, wawajibishwe. Hayo yametolewa wakati wa kujadili Hoja ya Dharura kuhusu kupigwa kwa baadhi ya viongozi wa Chama cha Wananchi (CUF) akiwemo mwenyekiti wake, Prof. Ibrahim Lipumba na baadhi ya wanachama wake juzi huko Mtoni-Mtongani jijini...

 

10 years ago

GPL

KINANA AWATAKA WALIOSABABISHA HASARA KUFUNGWA KIWANDA CHA CHAI MPONDE, BUMBURI WAWAJIBISHWE HARAKA‏

 Katibu Mkuu wa CCM, akiwapungia wananchi mikono alipowasili kwenye mkutano wa hadhara katika Kata ya Mponde, Jimbo la Bunburi, ambapo aliwahakikishia wananchi kulitafutia ufumbuzi tatizo la kufungwa kwa kiwanda cha chai cha Mponde wilayani Lushoto,Mkoani Tanga. Kinana aliwataka viongozi wote wa CCM na Serikali waliohusika kufungwa kwa kiwanda hicho na kuwasababishia adha wananchi kuwajibika wenyewe au kuwajibishwa.…
...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani