Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wanasheria: Viongozi wenye kauli za kuudhi wawajibishwe

 Mkurugenzi wa Ujengaji Uwezo na Uwajibikaji wa LHRC, Imelda UrioKITUO cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimesema ipo haja ya sheria ya maadili ya viongozi wa umma kutekelezwa kama ilivyoainishwa na sekretarieti na endapo wapo viongozi wanaotoa kauli zenye kuudhi wawajibishwe.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Wasomi wamshukia Mkapa kwa kauli za kuudhi

Siku moja baada ya ufunguzi wa kampeni za CCM, wasomi na wananchi wamesema kauli ya Rais mstaafu, Benjamin Mkapa kuwa wanaosema wanataka kuikomboa Tanzania ni “wapumbavu na malofa” haikustahili kutolewa na kiongozi huyo.

 

11 years ago

Mwananchi

Viongozi SMZ, wanasheria wagawanyika

>VIongozi  wa kisiasa na wanasheria wamegawanyika visiwani Zanzibar kufuatia uamuzi wa Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar(SMZ), Othman Masoud Othman kuamua kujiuzulu katika kamati ya kuandika Katiba Mpya  ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

 

11 years ago

Michuzi

KINANA ATINGA BUMBULI, ANG'AKA KIWANDA CHA CHAI KUFA MPONDE, ATAKA VIONGOZI WALIOHUSIKA WAWAJIBISHWE.













Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia wananchi katika kata ya Mponde, akiwa katika ziara ya kukagua na kusimamia utekelezaji wa ilani ya CCM, kusikiliza kero za wananchi na kujadiliana nao njia ya kuzitatua, katika jimbo la Bumbuli, wilayani Lushoto mkoani Tanga,  Septemba 29, 2014.      Akizungumza na mamia ya wananchi waliofurika kwenye viwanja vya Kijiji cha Mponde, Kinana ameitaka serikali kuwachukulia hatua za kisheria viongozi wote waliohusika kwa namna moja au nyingine...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kauli za viongozi zinashangaza

KAULI za baadhi ya wanasiasa nchini, wakiwemo wale tunaowaita wasomi, hunishangaza na kunilazimisha kujiuliza: Hivyo watu hawa wanaelewa maana, tafsiri, athari na hatari ya wanayotamka au jazba za kisiasa ndizo...

 

9 years ago

Michuzi

AZIMIO KUHUSU WATU WENYE UALIBINO LAPITISHWA KWA KAULI MOJA

Na Mwandishi Maalum, New York
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imewashukuru wajumbe wa Kamati ya Tatu ya Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kwa kupitisha kwa kauli moja Azimio linalotaka pamoja na mambo mengine Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kuwasilisha taarifa kuhusu watu wenye ualibino.
Azimio hilo na ambalo liliandaliwa kwa pamoja kati ya Wakilishi za Kudumu za Tanzania na Malawi katika Umoja wa Mataifa, limepitishwa siku ya Jumanne baada ya majadiliano ya kina na jumuishi...

 

10 years ago

Mwananchi

Kauli za viongozi zatikisa nchi

>Kauli kama “kutumia Sh10 milioni kununulia mboga” na ile maarufu ya “vijisenti”, zimetikisa nchi katika siku za karibuni na kuibua hisia tofauti, lakini waliotoa kauli hizo ni sehemu tu ya orodha ndefu ya viongozi wa umma waliowahi kutoa maneno yaliyoibua maoni tofauti.

 

11 years ago

Mwananchi

Waunga mkono kauli za viongozi wa dini

Wanazuoni na wananchi mbalimbali wameunga mkono ushauri wa viongozi wa dini wa kuwataka wajumbe wa Bunge la Katiba kuacha kuwatusi waliokuwa wajumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba.

 

10 years ago

Habarileo

Shein akumbusha viongozi kuchunga kauli zao

Rais wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein.MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar (CCM) Dk Ali Mohamed Shein amesema Serikali ya Umoja wa Kitaifa inaongozwa kwa mujibu wa Katiba na Sheria na si kwa matakwa binafsi ya baadhi ya wanasiasa.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kauli za viongozi wa dini kwa UKAWA zina kasoro

MATAMKO mengi yaliyotolewa na viongozi wa dini dhidi ya Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), yakiwakejeli na kuwataka warudi kwenye majadiliano ya katiba mpya katika Bunge Maalum baada ya kuisusia...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani