Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Viongozi SMZ, wanasheria wagawanyika

>VIongozi  wa kisiasa na wanasheria wamegawanyika visiwani Zanzibar kufuatia uamuzi wa Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar(SMZ), Othman Masoud Othman kuamua kujiuzulu katika kamati ya kuandika Katiba Mpya  ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Wanasheria: Viongozi wenye kauli za kuudhi wawajibishwe

 Mkurugenzi wa Ujengaji Uwezo na Uwajibikaji wa LHRC, Imelda UrioKITUO cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimesema ipo haja ya sheria ya maadili ya viongozi wa umma kutekelezwa kama ilivyoainishwa na sekretarieti na endapo wapo viongozi wanaotoa kauli zenye kuudhi wawajibishwe.

 

11 years ago

Mwananchi

Rasimu ya Katiba inavyowagawa viongozi SMZ

Tangu kutoka bungeni kwa Kundi la Wajumbe wa Umoja wa Katiba ya Wananachi (Ukawa) kwenye Bunge la Katiba kwa madai ya kuchoshwa kwao na matusi, kejeli na ubaguzi, kumeibuka mijadala mikali, huku mawaziri na wajumbe wa Baraza la Wawakilishi wa chama tawala CCM, wakivunja ukimya na kuamua kupambana na umoja huo kwa hoja kwenye hadhara.

 

11 years ago

Habarileo

SMZ:Hotuba za viongozi zinahifadhiwa vyema

WAZIRI wa Habari Utangazaji Utalii na Michezo Said Ali Mbarouk amesema hotuba za viongozi na waasisi wakuu wa nchi akiwemo Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere na Rais wa Kwanza wa Zanzibar hayati Abeid Amaan Karume zinarushwa hewani mara kwa mara kwa ajili ya wananchi kupata wosia wa viongozi hao.

 

10 years ago

Mwananchi

Wafanyabiashara wagawanyika

Wauzaji na wamiliki wa maduka maeneo ya Mwanjelwa, Uhindini na Sido mkoani Mbeya jana waliwalaumu viongozi wao kwa kuwashinikiza kuyafunga maduka bila kutoa sababu za msingi na kuwasababishia hasara.

 

10 years ago

Mwananchi

Escrow Njiapanda, wabunge wagawanyika

Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo jana alipangua hoja zilizotolewa na Kamati ya Hesabu za Serikali (PAC), kuhusu ufisadi uliofanyika katika Akaunti ya Tegeta Escrow na kuacha wananchi njia panda kwa kutokuelewa nani anasema ukweli kati yake na kamati hiyo, inayoongozwa na Zitto Kabwe.

 

11 years ago

Mwananchi

Wasomi wagawanyika kuhusu Serikali Tatu

Pendekezo la muundo wa Serikali Tatu lililomo katika Rasimu ya Pili ya Katiba, limewagawa wasomi na wanazuoni katika vyuo vikuu na taasisi mbalimbali za elimu ya juu nchini.

 

10 years ago

Vijimambo

Wanasheria naombeni msaada

Nafikiri wote tumesikia na kusoma kwenye mitandao mbali mbali kuhusu ndoa ya Mwenyekiti Mtendaji wa IPP Dr. Reginald  Mengi na former Bongo Flava Artist Jacqueline Ntuyabaliwe (K-Lynn). Ndoa hiyo amabayo inasemekana kufungwa katika visiwa vya Mauritius na watu wachache sana wameweza kuhudhuria tukio hilo; katika hao watu wachache inasemekana hakuna mtoto wake hata mmoja (kutoka kwa ndoa yake na mke mkubwa) ambaye alikuwa hapo kushuhudia tukio hilo. Pia vile vile hakuna ndugu wala...

 

9 years ago

Habarileo

Wanasheria 200 kukutana

ZAIDI ya wajumbe 200 wa kada ya sheria kutoka nchi mbalimbali za Afrika wanatarajia kuhudhuria mkutano wa siku tatu wa majadiliano kuhusu masuala ya sheria barani Afrika unaoanza keshokutwa mjini hapa.

 

11 years ago

Habarileo

Wanasheria kuboreshewa maslahi

SERIKALI inaangalia uwezekano wa kuboresha maslahi kwa wanasheria wa Serikali, ili ofisi ya Mwanasheria Mkuu na Mwendesha Mashitaka zitekeleze majukumu yao ipasavyo. Rais Jakaya Kikwete alisema hayo jana, wakati wa Siku ya Sheria nchini, ambayo huadhimishwa kuashiria kuanza kwa shughuli za mahakama kila mwaka.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani