Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wanasheria kuboreshewa maslahi

SERIKALI inaangalia uwezekano wa kuboresha maslahi kwa wanasheria wa Serikali, ili ofisi ya Mwanasheria Mkuu na Mwendesha Mashitaka zitekeleze majukumu yao ipasavyo. Rais Jakaya Kikwete alisema hayo jana, wakati wa Siku ya Sheria nchini, ambayo huadhimishwa kuashiria kuanza kwa shughuli za mahakama kila mwaka.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

Wanasheria 200 kukutana

ZAIDI ya wajumbe 200 wa kada ya sheria kutoka nchi mbalimbali za Afrika wanatarajia kuhudhuria mkutano wa siku tatu wa majadiliano kuhusu masuala ya sheria barani Afrika unaoanza keshokutwa mjini hapa.

 

10 years ago

Vijimambo

Wanasheria naombeni msaada

Nafikiri wote tumesikia na kusoma kwenye mitandao mbali mbali kuhusu ndoa ya Mwenyekiti Mtendaji wa IPP Dr. Reginald  Mengi na former Bongo Flava Artist Jacqueline Ntuyabaliwe (K-Lynn). Ndoa hiyo amabayo inasemekana kufungwa katika visiwa vya Mauritius na watu wachache sana wameweza kuhudhuria tukio hilo; katika hao watu wachache inasemekana hakuna mtoto wake hata mmoja (kutoka kwa ndoa yake na mke mkubwa) ambaye alikuwa hapo kushuhudia tukio hilo. Pia vile vile hakuna ndugu wala...

 

10 years ago

Mwananchi

Viongozi SMZ, wanasheria wagawanyika

>VIongozi  wa kisiasa na wanasheria wamegawanyika visiwani Zanzibar kufuatia uamuzi wa Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar(SMZ), Othman Masoud Othman kuamua kujiuzulu katika kamati ya kuandika Katiba Mpya  ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

 

10 years ago

Mwananchi

‘Wanasheria EAC jijengeeni uwezo’

vWanasheria wa Serikali katika nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) wameshauriwa kujiongezea uwezo kabla ya kusaini mikataba ya uchimbaji wa madini kwa manufaa ya wananchi.

 

9 years ago

Mwananchi

Wanasheria wataka Jecha achunguzwe

Chama cha Wanasheria Zanzibar (ZLS) kimetaka iundwe tume huru ya kuchunguza jinsi mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), Salim Jecha Salum alivyofikia uamuzi wa kufuta matokeo na akithibitika kuwa alishinikizwa, afukuzwe kazi.

 

11 years ago

Mwananchi

Wanasheria wasisitiza kura ya siri

Wanasheria mbalimbali nchini wamesisitiza kutumika kwa kura ya siri kama ilivyopendekezwa kwenye kanuni za Bunge la Katiba ili kuwapatia uhuru zaidi wajumbe hao na kuepuka misimamo inayowabana kutoka ndani ya makundi yao.

 

10 years ago

Mwananchi

‘Wanasheria kuweni makini na mikataba’

Wanasheria wa Serikali wametakiwa kutetea masilahi ya umma wakati wa kusaini mikataba na wawekezaji katika sekta ya gesi na mafuta.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wanasheria wanauza kesi za Serikali — DC

MKUU wa Wilaya (DC) ya Nkasi, mkoani Rukwa, Iddy Kimanta, amewaonya wanasheria wa halmashauri za serikali za mitaa kuwa hawaisaidii serikali na ndiyo sababu ya kushindwa kwa kesi nyingi zinazofunguliwa...

 

10 years ago

BBCSwahili

Saudi Arabia yawahukumu wanasheria

Mahakama nchini Saudi Arabia imetoa hukumu ya kifungo cha miaka mitano mpaka nane kwa wanasheria wa tatu nchini humo

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani