Wanasheria naombeni msaada
Nafikiri wote tumesikia na kusoma kwenye mitandao mbali mbali kuhusu ndoa ya Mwenyekiti Mtendaji wa IPP Dr. Reginald Mengi na former Bongo Flava Artist Jacqueline Ntuyabaliwe (K-Lynn). Ndoa hiyo amabayo inasemekana kufungwa katika visiwa vya Mauritius na watu wachache sana wameweza kuhudhuria tukio hilo; katika hao watu wachache inasemekana hakuna mtoto wake hata mmoja (kutoka kwa ndoa yake na mke mkubwa) ambaye alikuwa hapo kushuhudia tukio hilo. Pia vile vile hakuna ndugu wala...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo02 Nov
Wanasheria 200 kukutana
ZAIDI ya wajumbe 200 wa kada ya sheria kutoka nchi mbalimbali za Afrika wanatarajia kuhudhuria mkutano wa siku tatu wa majadiliano kuhusu masuala ya sheria barani Afrika unaoanza keshokutwa mjini hapa.
11 years ago
Habarileo04 Feb
Wanasheria kuboreshewa maslahi
SERIKALI inaangalia uwezekano wa kuboresha maslahi kwa wanasheria wa Serikali, ili ofisi ya Mwanasheria Mkuu na Mwendesha Mashitaka zitekeleze majukumu yao ipasavyo. Rais Jakaya Kikwete alisema hayo jana, wakati wa Siku ya Sheria nchini, ambayo huadhimishwa kuashiria kuanza kwa shughuli za mahakama kila mwaka.
11 years ago
Mwananchi21 Oct
‘Wanasheria kuweni makini na mikataba’
10 years ago
Mwananchi30 Oct
Wanasheria wataka Jecha achunguzwe
11 years ago
BBCSwahili28 Oct
Saudi Arabia yawahukumu wanasheria
11 years ago
Tanzania Daima13 Feb
Wanasheria wanauza kesi za Serikali — DC
MKUU wa Wilaya (DC) ya Nkasi, mkoani Rukwa, Iddy Kimanta, amewaonya wanasheria wa halmashauri za serikali za mitaa kuwa hawaisaidii serikali na ndiyo sababu ya kushindwa kwa kesi nyingi zinazofunguliwa...
11 years ago
Mwananchi12 Sep
‘Wanasheria EAC jijengeeni uwezo’
11 years ago
Mwananchi07 Sep
Viongozi SMZ, wanasheria wagawanyika