Kauli za viongozi zatikisa nchi
>Kauli kama “kutumia Sh10 milioni kununulia mboga†na ile maarufu ya “vijisentiâ€, zimetikisa nchi katika siku za karibuni na kuibua hisia tofauti, lakini waliotoa kauli hizo ni sehemu tu ya orodha ndefu ya viongozi wa umma waliowahi kutoa maneno yaliyoibua maoni tofauti.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima09 Apr
Kauli za viongozi zinashangaza
KAULI za baadhi ya wanasiasa nchini, wakiwemo wale tunaowaita wasomi, hunishangaza na kunilazimisha kujiuliza: Hivyo watu hawa wanaelewa maana, tafsiri, athari na hatari ya wanayotamka au jazba za kisiasa ndizo...
11 years ago
Mwananchi22 Apr
Waunga mkono kauli za viongozi wa dini
10 years ago
Habarileo20 Mar
Wanasheria: Viongozi wenye kauli za kuudhi wawajibishwe
KITUO cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimesema ipo haja ya sheria ya maadili ya viongozi wa umma kutekelezwa kama ilivyoainishwa na sekretarieti na endapo wapo viongozi wanaotoa kauli zenye kuudhi wawajibishwe.
10 years ago
Habarileo30 Nov
Shein akumbusha viongozi kuchunga kauli zao
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar (CCM) Dk Ali Mohamed Shein amesema Serikali ya Umoja wa Kitaifa inaongozwa kwa mujibu wa Katiba na Sheria na si kwa matakwa binafsi ya baadhi ya wanasiasa.
10 years ago
Mwananchi11 Dec
Mrwanda: Sikutaka longolongo na mali kauli za viongozi wa Simba
11 years ago
Tanzania Daima03 Aug
Kauli za viongozi wa dini kwa UKAWA zina kasoro
MATAMKO mengi yaliyotolewa na viongozi wa dini dhidi ya Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), yakiwakejeli na kuwataka warudi kwenye majadiliano ya katiba mpya katika Bunge Maalum baada ya kuisusia...
10 years ago
Mwananchi26 Aug
Kauli ya ‘Zanzibar siyo nchi’ yamponza Waziri Mkuu Pinda
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-lvftgMLRFhc/Vg4v_EAaHkI/AAAAAAAH8RI/-T5VaFMJOmg/s72-c/New%2BPicture.png)
NAIBU WAZIRI MAMBO YA NJE ATAKA NCHI ZILIZONYUMA KIMAENDELEO KUZUNGUMZA KWA KAULI MOJA
![](http://3.bp.blogspot.com/-lvftgMLRFhc/Vg4v_EAaHkI/AAAAAAAH8RI/-T5VaFMJOmg/s640/New%2BPicture.png)
Na Mwandishi Maalum, New York WAKATI kila Nchi mwanachama wa Umoja wa...
9 years ago
Global Publishers21 Dec
Picha za x zatikisa ndoa ya kigogo!
Aibu ilioje! Picha chafu za ngono ‘X’ za mrembo aliyetajwa kwa jina moja la Mariam, mkazi wa Kinondoni jijini Dar, zinadaiwa kuitikisha ndoa ya kigogo wa sekta nyeti ya fedha baada ya kunaswa kwenye simu yake na mkewe aliyetambulika kwa jina moja la Aneth, wote wakazi wa jijini Arusha.
Kwa mujibu wa Aneth, picha hizo zimeacha mpasuko mkubwa kwenye ndoa yao kwa kuwa mara nyingi amekuwa akimhisi mumewe kutokuwa mwaminifu huku safari za Dar zikiwa hazikauki.
Alisema kuwa, amekuwa akifuma...