Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mgombea Urais UKAWA Edward Lowassa asisitiza kutumia TEKNOHAMA

Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kinachoungwa mkono na  Umoja wa Katiba ya Wananchi UKAWA Edward Lowassa amesema Sera yake anayoitumia ya Elimu kwanza si kwa mfumo uliopo sasa bali atabadilisha mfumo mzima na kuufanya kuwa wa TEKNOHAMA.

Amedai teknolojia hiyo ataifanya iweze kuwafikia wananchi kwa wepesi kwa kutumia rasilimali zilizopo kama Gesi asilia, madini ,vyanzo vya utalii na fedha zilizopo kwa kuwa anaamini Serikali bado ina pesa...

StarTV

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Vijimambo

MJUE EDWARD LOWASSA MGOMBEA URAIS WA CHADEMA ANAYEBEBA BENDERA YA UKAWA

Edward Ngoyai Lowassa Alizaliwa Agosti 26, 1953,na kukulia Katika Kijiji Cha Ngarash huko Monduli,akiwa ni mtoto Mkubwa wa Kiume Kwa Mzee Ngoyai Lowassa.

Alisoma Shule Ya Msingi Ya Monduli (1967-1971), Shule ya Sekondari Arusha Kwa Kidato Kwa Kwanza hadi cha nne (1967-1971) na Shule ya Sekondari Milambo kwa kidato cha Tano Na Sita (1971-1973).

Ana Shahada ya Elimu na Sanaa kutoka Chuo Kikuu Cha Dar es
Salaam Aliyohitimu Mwaka 1977, Na Shahada ya Uzamivu Katika Maendeleo kutoka Chuo Kikuu...

 

10 years ago

Michuzi

MHE.EDWARD LOWASSA AKARIBISHWA RASMI KUJIUNGA NA UKAWA.,MGOMBEA URAIS KUTANGAZWA AGOSTI 4

 Mwenyekiti wa chama cha NCCR-Mageuzi Mhe.James Mbatia (pichani kati) akizungumza mbele ya Waandishi wa Habari mapema leo mchana kwenye makao makuu ya chama cha CUF jijini Dar,akiwa sambamba na baadhi ya viongozi wengine wanaounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA),pichani kushoto ni Mwenyekiti wa chama cha CHADEMA,Mhe,Freeman Mbowe,Mwenyekiti wa Taifa wa chama cha CUF-Prof.Ibrahim Lipumba na wa pili kulia ni Mwenyekitiwa chama cha NLD Dkt.Emmanuel Makaidi.Katika mkutano huo ulizungumzia...

 

9 years ago

Vijimambo

HOTUBA YA MGOMBEA URAIS KUPITIA CHAMA CHA CHADEMA NA UKAWA MH. EDWARD NGOYAI LOWASSA YA KUZINDUA ILANI NA KAMPENI YA UCHAGUZI MKUU

Wagombea wa UKAWA na Mwenyekiti wa UKAWA wakionyesha kitabu chao cha Ilani ya Uchaguzi wa 2015.
Hotuba ya Lowassa

Jangwani, Dar-es-Salaam, 29 AGOSTI 2015

Ndugu Wana Dar es salaam na Watanzania wenzangu

Leo ni siku ya kihistoria. Baada ya miaka ishirini na tano tangu mfumo wa vyama vingi urejeshwe, vyama vya upinzani wa CHADEMA, CUF, NCCR na NLD umeungana chini ya Umoja wa Katiba ya Wananchi kupigania uchaguzi mkuu wa mwaka huu na kuwa na mgombea mmoja katika ngazi zote.
Miaka zaidi ya hamsini ya...

 

10 years ago

Vijimambo

Mkutano Mkuu wa CHADEMA wamempitisha Edward Lowassa kama mgombea Urais na Haji Duni kama mgombea Mwenza.

Mkutano Mkuu wa CHADEMA kwa pamoja wamempitisha Edward Lowassa kama mgombea Urais na Haji Duni kama mgombea Mwenza.

 

9 years ago

Vijimambo

MGOMBEA URAIS KUPITIA CHADEMA NA UKAWA EDWARD LOWASA ALIPOWASILI UWANJA WA NDEGE WA KIMATAIFA WA KILIMANJARO KIA.

Na Dixon Busagaga

Mwenyekiti wa Chadema mkoa wa Kilimanjaro,Phlemoni Ndesamburo akisalimiana na aliyekuwa Mbunge wa jimbo la Arumeru Magharibi ,Godluck Ole Medeye walipokutana uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) kwa ajili ya mapokezi ya mgombea urais wa UKAWA na Chadema, Edward Ngoyai ,Lowasa.

Mwenyekii wa Chadema mkoa wa Kilimanjaro akisalimiana na James Lembeli walipokutana uwanja wa Ndege wa KIA.
Mbunge wa jimbo la Rombo ,Joseph Selasni akizungumza jambo na aliyekuwa mbunge...

 

10 years ago

Vijimambo

MGOMBE URAIS KUPITIA CHADEMA NA UKAWA EDWARD LOWASSA KUCHUKUA FOMU TAREHE 10/08/2015

Umoja wa Katiba ya Wananchi UKAWA unapenda kuwatangazia watanzania wote kuwa Tarehe 10/8/2015 Mgombe urais kupitia CHADEMA na UKAWA Edward Lowassa na mgombea mwenza Juma Haji Duni watachukua fomu ya kugombea urais kwenye ofisi ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi,Makutano yataanza Makao makuu ya CUF Ilala saa 3 asubuhi kuelekea Tume ya Taifa ya Uchaguzi na kumalizia Makao Makuu ya CHADEMA kinondoni.Akiongea na waandishi wa habari kwa kuwawakilisha makatibu wakuu wa vyama vinavyounda UKAWA (katikati)...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani