Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


AINA 10 ZA WANAWAKE WANAOPENDWA NA SANA NA WANAUME

WAPENDA USAWAAina ya pili inayohitajika katika katika ulimwengu wa kimapenzi niwanawake wanaoheshimu usawa wa jinsia, walio tayari kubeba majukumu yakifamilia kwa ulinganifu sawa na wanaume, wenye uwezo wa kuongoza jamiikwa asilimia 50 kwa 50WANAOJUA MAPENZIWanawake wajuzi wa mambo ya faragha wanapendwa sana. Sifa yao kubwa niuwezo wa kuwatosheleza wenzi wao katika tendo la ndoa. Tafiti zinaonesha kuwa wanaume hupenda sana wanawake watundu katika mchezo wa sita kwasita. Mara nyingi wanatajwa...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

Story ya wanawake wa Rombo kukodi wanaume Kenya kuwaridhisha kimapenzi yatinga bungeni, wanaume wataka waombwe radhi


Habari iliyoandikwa kwenye gazeti la Mwananchi juzi yenye kichwa cha habari ‘Wanawake wa Rombo wakodi wanaume kutoka Kenya’ imeibukia bungeni leo.Habari hiyo iliandikwa kutokana na kauli aliyoitoa mkuu wa wilaya ya Rombo, Lembris Kipuyo, aliyedai kuwa kutokana na wanaume wa wilaya hiyo kuwa walevi wa kutupa, wake zao wamekuwa wakikodi wanaume kutoka Kenya ili kuwaridhisha kimapenzi.
“Tatizo la ulevi wilayani Rombo na matumizi ya pombe zisizokuwa na viwango ni kubwa sana na linahitaji nguvu...

 

10 years ago

Dewji Blog

Wanawake wa MSD washerehekea siku ya wanawake duniani kwa aina yake

Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa (MSD), Bw. Cosmas Mwaifani akifungua sherehe za Siku ya Akina Mama Duniani zilizofanyika.

Bw. Mwaifani akimkaribisha mgeni rasmi wa sherehe hizo, Bi.Helen Mwakipunda ambaye ni Mhasibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii.

Bi. Mwakipunda akizungumza na wafanyakazi wa (MSD) wakati wa sherehe hizo.

Daktari Bingwa wa Magonjwa ya akina mama kutoka Hospitali ya Taifa Muhimbili, Matlida Ngarina aliyealikwa kwa ajili ya kutoa mada kuhusiana na magonjwa ya...

 

10 years ago

GPL

WANAWAKE WA MCD WASHEREHEKEA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI KWA AINA YAKE

Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa (MSD), Bw. Cosmas Mwaifani akifungua sherehe za Siku ya wanawake Duniani.…

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wanawake, wanaume wanufaika mikopo ya Benki ya Wanawake

WIZARA ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, imesema hadi sasa Benki ya Wanawake Tanzania imewezesha kutoa mikopo kwa asilimia 77 ya wanawake nchini huku wanaume walionufaika na mikopo hiyo...

 

10 years ago

Vijimambo

Wanaume wa Kihaya Tunachunguzwa Sana Katika Mapenzi, Mademu Wengi Wanatuogopa ..Why?

Nauliza tu Jamani kwanini mimi kama muhaya, nitakapo kuwa na uhusiano wa mapenzi na Mtanzania wa kabila tofauti na mimi, scrutiny kubwa dhidi yangu has to take place, kwani sisi male wa kihaya tunatatizo? Akina dada wengi wapo tayari kutoka na kabila lolote lakini sio muhaya, is it that our malehood una walakini? I understand kuna certain stigmas attached to wahaya, lakini hello, for God's sake, hii ni karne mpya, and on top sisi ni generation mpya.Sifurahi kusikia akina dada wakisema...

 

10 years ago

Vijimambo

PICHA ZINAZOSEMA AINA YA KIONGOZI TUNAYEMUHITAJI,PICHA HIZI ZINAZUNGUMZA MENGI SANA.

Mwigulu akisikiliza kwa makini maombi ya Bibi huyu(Hakufahamika jina) katika kijiji cha Kibaya Jimboni Iramba.Mh.Mwigulu Nchemba akimsikiliza kwa makini mmoja ya wazee katika kijiji cha Mtekente Jimboni Iramba.Mh:Mwigulu Nchemba akisikiliza kwa makini hitaji la kijana huyu mlemavu wa miguu kijiji cha Songa-Iramba.Mapenzi kwa Watoto.Mwigulu akimsikiliza Mwananchi wake Mwenye Ulemavu wa Miguu."NIsaidie Mbunge wangu,Baiskel imechoka"MBunge akimsikiliza Mwananchi wake.Mwananchi wa kijiji cha...

 

11 years ago

BBCSwahili

Wanawake 20 wanaume 3 watekwa Nigeria

Wanawake 20 na wanaume watatu wametekwa nyara Kaskazini Mashariki mwa Nigeria na watu wanaoshukiwa kuwa wanachama wa Boko Haram.

 

10 years ago

Habarileo

Pengo la wanawake, wanaume lapaa

Mkurugenzi wa TGNP, Lilian Liundi KATIKA kuelekea Siku ya Wanawake Duniani, pengo la jinsia kati ya wanawake na wanaume linazidi kuongezeka mwaka hadi mwaka huku ikielezwa kuwa ni asilimia 10 tu ya maprofesa wanawake waliopo nchini.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani