PICHA ZINAZOSEMA AINA YA KIONGOZI TUNAYEMUHITAJI,PICHA HIZI ZINAZUNGUMZA MENGI SANA.
Mwigulu akisikiliza kwa makini maombi ya Bibi huyu(Hakufahamika jina) katika kijiji cha Kibaya Jimboni Iramba.
Mh.Mwigulu Nchemba akimsikiliza kwa makini mmoja ya wazee katika kijiji cha Mtekente Jimboni Iramba.
Mh:Mwigulu Nchemba akisikiliza kwa makini hitaji la kijana huyu mlemavu wa miguu kijiji cha Songa-Iramba.
Mapenzi kwa Watoto.
Mwigulu akimsikiliza Mwananchi wake Mwenye Ulemavu wa Miguu.
"NIsaidie Mbunge wangu,Baiskel imechoka"
MBunge akimsikiliza Mwananchi wake.
Mwananchi wa kijiji cha...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies26 May
Picha: Hizi za Lulu Zimependwa Sana Leo Huko INSTA
Baada ya kuifunga akaunti yake kwenye mtandao picha wa Instagram iliyokuwa na followers zaidi ya laki nne, na kuamua kufungua tena akaunti kwenye mtandao huo, staa mrembo wa Bongo Movies, Elizaberth Michael ‘Lulu’ ametupia picha hizi mpya kwenye ukarara wake huo mpya unaopatikana kwa anuani ya @ elizabethmichaelofficia kitendo ambacho kimewavutia mashabiki wengi waliommiss mrembo huyo ambaye ni mpenzi wa fasheni.
Mashabiki wengi wamemsifia kwa kutokeleza bomba na kuonyesha furaha zao kwa...
10 years ago
Bongo Movies11 Feb
PICHA: Mh!! Wema Ana Mimba?!!! Hebu Jionee Picha Hizi Zinazosambaa Mtandaoni!!!
Hizi ni picha za mwigizaji Wema Sepetu ambazo zinasamabaa kwa kasi huko Instagram zikionyesha watu wakiwa wamemshika tumbo kwa nyataki tofauti huku wote sura zao zikiwa hazionekani.
Moja kati ya akaunti kwenye mtandao huo inayoendeshwa na shabiki mkubwa wa Wema, inayokwenda kwa jina la WEMADAILY, ilizitupia picha hizi na kuandika mameno “NITOBOEEE” kuachilia kuwa anataka aseme jambo nakum “tag”Wema.
Baada ya muda kidogo akaibuka tena na kutupia picha nyingine nakusema ameambiwa...
11 years ago
Bongo Movies17 Jun
PICHA: Tazama picha tano (5) kali sana za mwanadada Elizabeth Michael a.k.a LULU. Utazipenda.
Picha kwa hisani ya blog ya http://www.domozege.blogspot.com
10 years ago
Bongo Movies26 Dec
Picha: Una Zungumziaje Picha Hizi za Wema na Aunty Ezekiel Wakiwa na Rafiki Yao Nice Chande
Boxing Day Moments: Baada ya hapo jana kuwa kwenye pilikapilika za siku kuu leo wengi wetu tumepumzika na kupiga stori za hapa na pale na jamaa zetu.Turudi kwenye mada.
Leo nilipoziona picha hizi za wadada hawa, Wema Sepetu, Aunty Ezekiel na rafiki yao Nice Chande wakiwa wamejilaza kitandani namna hii kwa haraka haraka nikahisi huu utakuwa ni uchovu wa siku kukuu kwani wanaonekana kama wapo “Cool” sana.Ila nilipotulia kidogo nikaona kitu ambacho ndicho kilichonifanya hizilete hapa picha...
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-QVFvxB3vifE/VW1Gbdk868I/AAAAAAAAu9g/Yxkr0FKnjy4/s72-c/007d2d.jpg)
Bifu la Emelda Mwamanga wa Bang magazine na Reginald Mengi Kwa Kuvujisha Picha za Mengi na Familia yake
![](http://2.bp.blogspot.com/-QVFvxB3vifE/VW1Gbdk868I/AAAAAAAAu9g/Yxkr0FKnjy4/s640/007d2d.jpg)
Mwanamama mjasiriamali, na managing director wa jarida maarufu nchini , Bang magazine , aitwaye Emelda Mwamanga amefunguka kuhusu bifu lake na mfanyabiashara maarufu nchini, Reginald Mengi, kupitia kwenye moja ya mahojiano ya kwenye kipindi maarufu cha Tv Hapa nchini .Mbali na kuelezea experience yake kwenye biashara yake, pia alizungumzia changamoto mbali mbali anazokabiliana nazo kwenye biashara zake, moja ya changamoto alizozielezea ni ile ya kushtakiwa na mfanyabiashara maarufu nchini,...
10 years ago
Bongo Movies11 May
Picha: Wolper Awakuna Wengi kwa ‘Style’ Hii ya Aina Yake
Staa wa Bongo Movies ambaye anasifika kwa urembo na kazi zake, Jacqueline Wolper hivi juzi kati kwenye ukurasa wake mtandaoni alibandika picha hizo hapo juu akiwa amevalia style ambayo iliwafanya mashabiki wengi bonyeze kitufe cha LIKE na kushusha comment nyingi huku kila mtu akielezea ni jinsi gani ameguswa na mtindo huo aliotupia.
Kwa maneno ya lugha yta malkia, Wolper aliandika “Fashion is just another accessory for someone with great style...” na kuweka picha hizo.
Japo wengi...
10 years ago
Bongo Movies13 May
Mashabiki Wachukizwa na Picha Hizi za Aunt Ezekiel
Staa wa bongo movies, Aunt Ezekiel amepondwa na baadhi ya mashabiki wake kwa kupiga picha hizi akionyesha tumbo lake ukigingatia yeye ni mjamzito.
Picha hizi zimekuwa zikisambaa kwa kwenye mitandao ya kijamii na wengi wameonyesha kuchukizwa na tabia iliyozuka ya mastaa wa Bongo kufanya hivi kwa kuwaiga mastaa wa nchi za ughaibuni.
Wewe je, unamaoni gani juu ya hizi
10 years ago
Bongo Movies24 Dec
Picha: Mmh!! Hizi Tatu za Wolper Kiboko..
Hakuna anaebisha kuwa mwigizaji Jackline Massawe “Wolper”ni moja kati ya waigizaji warembo na wenye mvuto zaidi wa muonekano pengine sio kwa hapa bongo tu, bali hata Afrika nzima. Siku ya jana bila kuandika chochote alizibandika picha hizi mtandaoni hivyo kuwapa nafasi "followers" wake wafunguke kwa kile anachokiona kwenye picha hizi.
Kila mtu na jicho lake bwana!! Wapo walioona kitenge, miguu,macho,rangi, na nk ilimradi kila mtu alitililika....
Wewe je,umeona nini hapa?!!!