Wanaume wa Kihaya Tunachunguzwa Sana Katika Mapenzi, Mademu Wengi Wanatuogopa ..Why?
![](http://2.bp.blogspot.com/-ds-GbtZL5Ew/VONyCC3NRJI/AAAAAAAAoh8/-SwiyS1n_bc/s72-c/sad-black-man%2B(2).jpg)
Nauliza tu Jamani kwanini mimi kama muhaya, nitakapo kuwa na uhusiano wa mapenzi na Mtanzania wa kabila tofauti na mimi, scrutiny kubwa dhidi yangu has to take place, kwani sisi male wa kihaya tunatatizo? Akina dada wengi wapo tayari kutoka na kabila lolote lakini sio muhaya, is it that our malehood una walakini? I understand kuna certain stigmas attached to wahaya, lakini hello, for God's sake, hii ni karne mpya, and on top sisi ni generation mpya.Sifurahi kusikia akina dada wakisema...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo27 Dec
AINA 10 ZA WANAWAKE WANAOPENDWA NA SANA NA WANAUME
![](http://raha.mipasho.com/wp-content/uploads/sites/4/2014/10/Didi-ekanem-0.jpg)
11 years ago
BBCSwahili29 Apr
Kenya:Wanaume huru kuoa wake wengi
11 years ago
Mwananchi04 Jan
Wivu wa mapenzi ulivyoua wengi 2013
10 years ago
Tanzania Daima25 Nov
Tafiti: Wanaume wengi wanaugua tezi dume nchini
TAFITI Nchini zimeonyesha kuwa kila mwaka kumekuwa na ongezeko la kesi mpya za wagonjwa kansa ya tezi dume. Utafiti uliofanywa na Taasisi ya Saratani ya Ocean Road (ORIC) umeonysha kuwa...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/dM6a4AYRwJMuRjuPI0tcjVAY1Gg26QZ7UInh2nyUEW2RvIwMSKHwa0ITF8tK0I3otSx7JLOj0y*Ol4mItQVJP*KE*Rv8AHHc/jokate.jpg)
JOKATE ATAJA SABABU ZA KUWA KARIBU NA WANAUME WENGI
10 years ago
Dewji Blog30 Aug
Wanaume wengi waoga kusindikiza wake zao Kliniki — TMEP
Meneja mawasiliano wa mradi wa ushiriki sawa wa wanaume katika masuala ya afya ya uzazi na ujinsia unaofadhiliwana shirika lisilo la kiserikali la nchini Sweden (Sweden association for sexual education-RFSU), Eugenia Msasanun akifuatilia uendeshaji wa mafunzo kwa waandishi wa habari 35 wa mikoa ya Singida na Rukwa yaliyomalizika jana mjini Iringa.
Na Nathaniel Limu, Iringa
WANAUME nchini wameshauriwa kuondokana na mawazo potofu kwamba kliniki ni kwa ajili ya wanawake pekee, badala yake...
11 years ago
Bongo522 Jul
Ripoti: Wanaume wa Afrika Kusini waongoza duniani kwa kufanya mapenzi mara chache zaidi