Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tafiti: Wanaume wengi wanaugua tezi dume nchini

TAFITI Nchini zimeonyesha kuwa kila mwaka kumekuwa na ongezeko la kesi mpya za wagonjwa kansa ya tezi dume. Utafiti uliofanywa na Taasisi ya Saratani ya Ocean Road (ORIC) umeonysha kuwa...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Watanzania wengi wanaugua maradhi ya bawasiri

Bawasiri ni tatizo linalosababishwa na kuvimba, kutuna na kutokeza nje kwa mishipa ya damu iliyoko katika njia ya haja kubwa.

 

10 years ago

Michuzi

mwandani wa saratani ya tezi dume

Saratani ya tezi dume inashika nafasi ya tatu kwa kusababisha vifo vinavyotokana na kansa kwa wanaume duniani. Pia ni chanzo kikuu cha vifo vinavyosababishwa na saratani kwa wanaume wenye umri wa miaka 70 na kuendelea. Hata hivyo, satarani ya tezi dume kwa sasa inawapata sana wanaume kuanzia miaka 25. Lakini kabla ya kuendelea mbele hebu kwanza tujue tezi dume ni zipi.

SARATANI NI NINI?Saratani ni jina la gonjwa ambao hutokea wakati chembe chembe za uhai au seli katika sehemu fulani ya mwili...

 

10 years ago

Mwananchi

Nilikuwa na saratani ya tezi dume-JK

Rais Jakaya Kikwete amerejea nchini kutoka kwenye matibabu na kuwaeleza Watanzania kuwa alikuwa akiiumwa saratani ya tezi dume.

 

10 years ago

Vijimambo

JK AFANYIWA UPASUAJI WA TEZI DUME

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mheshimiwa Dkt. JakayaMrisho Kikwete akizungumza na Dkt.Edward Shaeffer wa hospitali ya Johns Hopkins na Daktari wa Rais Profesa Mohamed Janabi(kulia) baada ya kuwasili katika Hospitali ya Johns Hopkins iliyopo Baltimore, Maryland, Marekani kwa upasuaji Jumamosi asubuhi. Upasuaji huo uliochukua muda wa saa moja na nusu ulifanyika salama.Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na daktari Bingwa Mpasuaji Edward Shaeffer muda mfupi kabla ya kuingia...

 

10 years ago

Mwananchi

Saratani ya tezi dume ni hatari

 Pamoja na maelezo ya Rais Jakaya Kikwete aliyotoa juzi juu ya ugonjwa wa saratani ya tezi dume mara baada ya kurejea nchini kutoka Marekani alikotibiwa, maswali kuhusu ugonjwa huo bado ni mengi na hivyo kuhitaji ufafanuzi.

 

10 years ago

Mwananchi

Saratani ya tezi dume ni muuaji wa kimyakimya

Watu wengi wamekuwa na shauku ya kutaka kujua ugonjwa wa saratani ya tezi dume, huku wakidhani ni mpya. Lakini ukweli ni kuwa umekuwapo miaka mingi na wengi wameugua.

 

10 years ago

BBCSwahili

Kikwete afanyiwa upasuaji wa tezi dume

Rais wa Tanzania Jakaya Kikwete amefanyiwa upasuaji wa tezi dume (prostrate) katika Hospitali ya Johns Hopkins iliyoko Marekani.

 

11 years ago

GPL

FAHAMU SARATANI YA TEZI DUME (PROSTATE CANCER)

Saratani ya tezi dume inashika nafasi ya tatu kwa kusababisha vifo vinavyotokana na kansa kwa wanaume duniani. Ugonjwa huu ni chanzo kikuu cha vifo vinavyosababishwa na saratani kwa wanaume wenye umri wa miaka 70 na kuendelea, hata hivyo, satarani ya tezi dume kwa sasa inawapata sana wanaume kuanzia miaka 25. Kwa ufahamisho tu ni kwamba  neno saratani ni jina la ugonjwa ambalo hutokea wakati chembechembe za uhai au seli...

 

10 years ago

GPL

ASKOFU DESMOND TUTU ANASUMBULIWA NA TEZI DUME

Askofu Mkuu Mstaafu wa Cape Town, Desmond Tutu. ASKOFU Mkuu Mstaafu wa Cape Town, Desmond Tutu, ameahirisha mipango ya ziara zake kwa mwaka mzima ujao kutokana na sababu za kiafya. Taarifa iliyotolewa na taasisi yake imeeleza kuwa Askofu huyo ataanza matibabu hivi karibuni ili kukabiliana na tezi dume ambayo amedumu nayo miaka 15 iliyopita. Binti wa Askofu huyo amemuelezea baba yake mwenye umri wa miaka 82, kwamba hatahudhuria...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani