JOKATE ATAJA SABABU ZA KUWA KARIBU NA WANAUME WENGI
![](http://api.ning.com:80/files/dM6a4AYRwJMuRjuPI0tcjVAY1Gg26QZ7UInh2nyUEW2RvIwMSKHwa0ITF8tK0I3otSx7JLOj0y*Ol4mItQVJP*KE*Rv8AHHc/jokate.jpg)
Stori: Imelda Mtema MWANAMITINDO na mtangazaji kiwango Bongo, Jokate Mwegelo amefunguka kuwa sababu kubwa inayomfanya awe karibu zaidi na wanaume ni marafiki zake wa kike kuwa nje ya nchi. Mwanamitindo na mtangazaji kiwango Bongo, Jokate Mwegelo. Akizungumza na mwanahabari wetu, Jokate alisema amekuwa akipata malalamiko kutoka kwa watu wengi kuwa kampani yake kubwa ni wanaume hadi wengine kumuona ni malaya wakati si kweli....
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Ug6ORo4NSNRCKONfeGZMx-gVPHZFkOU4WHz-yQPpAqBO3VSXFuSc--rpXymEROJxPUYISd6M4zEtYhyJGXbVBIn8-d--lc*E/mwaki.jpg)
MWAKIFWAMBA ATAJA SABABU YA MASTAA KUWA OMBAOMBA
9 years ago
Bongo Movies15 Nov
Bozi Namchukia Jokate kwa Sababu ya Kuwa na Ali Kiba!
KAMA kawaida ya kolamu hii kuwaletea wasanii mbalimbali na kuwabananisha na maswali kedekede ambayo yamekuwa yakiwaumiza vichwa wasomaji wa gazeti hili kwa kushindwa kuelewa undani wake.
Alhamisi ya leo tunaye msanii wa filamu Bongo, Fatuma Ayubu ‘Bozi’ ambaye amefungukia mswali mbalimbali kama ifuatavyo:
Msomaji: Nakukubali sana hauna makuu, ila nilisikia umetembea na mastaa wengi, ni kweli na huwa unatumia kinga?
Bozi: Kama ulivyosikia ndivyo ilivyo, kinga ni muhimu huwa nazingatia sana...
11 years ago
Dewji Blog06 Jun
Wananchi wengi wanaamini kuwa gesi imeleta neema nchini Tanzania, lakini wengi wana wasiwasi kuwa Serikali na matajiri watafaidika zaidi
Mabomba ya kusafirisha gesi kutoka Mtwara kwenda Dar es Salaam.
Wananchi wanne kati ya watano wanaamini kuwa mafuta na gesi yatawanufaisha wao, watoto wao na nchi yao kwa ujumla. Wakati huo huo, wananchi wanne kati ya kumi (37%) wanaamini kuwa viongozi wa Serikali na matajiri ndio wataofaidika zaidi. Pia, zaidi ya nusu (55%) wangependa baadhi ya mapato ya mafuta na gesi wapewe wananchi moja kwa moja kama fedha taslimu.
Matokeo haya yametolewa na Twaweza katika muhtasari wa utafiti wenye...
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/faf8*WCrWjV-hBH7hwjtBwXlmYujizQjvTAjpn3u4lZU2ZBNpWYl-LrcBgPMEr5LonDMsh-SM5rbkA*CV-krkS2Bo5KsiKdv/davina.jpg)
DAVINA ATAJA SABABU KUANIKA UPAJA!
9 years ago
Bongo Movies09 Nov
Davina Ataja Sababu Kuanika Upaja!
MWIGIZAJI ambaye inaaminika kwa muda mrefu hajawahi kuvaa nguo yenye mpasuo kiasi cha mapaja yake kuonekana, Halima Yahya ‘Davina’, amefunguka kuwa kwa mara ya kwanza Jumapili iliyopita alilazimika kuvaa nguo iliyoonesha sehemu ya paja lake kutokana na mazingira ya pati ya mwigizaji mwenzake, Wema Sepetu ‘Madam’.
Akielezea vazi hilo alilolitinga katika sherehe ya kuzaliwa ya Madam, Davina alisema kwa mazingira ya pati hiyo yenye hadhi ya aina yake, alilazimika kuvaa nguo hiyo ili kuendana...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/f*E8U3rGFXr9W-FOwJRZRHtpHPJ9Prp5Ktiy8YBdSBGM-0NFpUY0Wz5nh2**BZRYq4t-ZOyqZKTaGJA-ydeeEzbG8AIp2pRp/WASTARA2G.jpg?width=650)
WASTARA ATAJA SABABU ZA KUGOMBEA UBUNGE
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/S5oOR1dkyInDkGOojtfuMVIJ-5A9tvVavOyh91LqA-jk6rAj6uKall9DWsOcghGRTt27qYrG618GaHHF07U5mH-ImfUWqLRL/SHILOLE.jpg)
SHILOLE ATAJA SABABU ZA KURUDIANA NA MZIWANDA
11 years ago
Bongo531 Jul
Diamond na Wema wanaongoza kwa kuwa na followers wengi Instagram, wafahamu wengi 9
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/*SUYvb1OXSudmALqcIjlC85cbFPwqH0g9iV5yaHjP6aE0E5ZKUKuBuswdpypg3qI874loPMeav*rjrqunjn8o3tlVf-TiTfL/aishabui.jpg?width=650)
AISHA BUI ATAJA SABABU YA KUFANYA FUJO