Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MWAKIFWAMBA ATAJA SABABU YA MASTAA KUWA OMBAOMBA

Stori: Chande Abdallah MWENYEKITI wa Shirikisho la Filamu Tanzania (TAFF), Simon Mwakifwamba amefunguka kuwa kinachowaponza wasanii wa filamu Bongo kiasi cha kuwa ombaomba ni kupenda starehe. Mwenyekiti wa Shirikisho la Filamu Tanzania (TAFF), Simon Mwakifwamba. Akichonga mbilitatu na paparazi wetu, Rais huyo alisema wasanii wamekuwa watu wa kupenda sana kupiga mitungi na kufanya starehe nyingine kwa kutumia fedha nyingi kitu...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo Movies

Kingwendu Ataja Mastaa Anaowakubali Hapa Bongo, Atoa Sababu

Mkali wa kitambo kwenye sanaa ya vichekesho Kingwendu amepata nafasi ya kuongea na millardayo.com na kukubali kushare nasi mambo kadhaa ikiwemo mastaa wa Tanzania anaowakubali na sababu za kuwakubali.

List ya wakali wake kaanza nayo kwenye muziki  wa Bongo Fleva ambapo amesema ‘Kwa muziki kwanza namtaka Diamond namkubali pia Alikiba namkubali pia Rich Mavoko halafu kuna huyu dogo amedrop sasa hivi Tid nilikuwa naye Burundi miezi 3 tunapiga nae kazi namkubali sana wa tano ni huyu dogo...

 

10 years ago

GPL

JOKATE ATAJA SABABU ZA KUWA KARIBU NA WANAUME WENGI

Stori: Imelda Mtema
MWANAMITINDO na mtangazaji kiwango Bongo, Jokate Mwegelo amefunguka kuwa sababu kubwa inayomfanya awe karibu zaidi na wanaume ni marafiki zake wa kike kuwa nje ya nchi. Mwanamitindo na mtangazaji kiwango Bongo, Jokate Mwegelo. Akizungumza na mwanahabari wetu, Jokate alisema amekuwa akipata malalamiko kutoka kwa watu wengi kuwa kampani yake kubwa ni wanaume hadi wengine kumuona ni malaya wakati si kweli....

 

9 years ago

Habarileo

Mpango akataa kuwa Waziri ombaomba

WAZIRI wa Fedha na Mipango, Dk Philip Mpango amesema kamwe hatapenda kuwa waziri ombaomba wa fedha, bali atahakikisha anaelekeza nguvu katika kukusanya kodi ili nchi iweze kujitosheleza kwa mapato ya ndani.

 

10 years ago

Mwananchi

‘Nikipata viungo bandia naacha kuwa ombaomba’

>Si kila ombaomba aliye katika mitaa ya jijini Dar es Salaam au majiji na miji mingine nchini anatoka mkoani Dodoma.

 

9 years ago

GPL

DAVINA ATAJA SABABU KUANIKA UPAJA!

Gladness mallya MWIGIZAJI ambaye inaaminika kwa muda mrefu hajawahi kuvaa nguo yenye mpasuo kiasi cha mapaja yake kuonekana, Halima Yahya ‘Davina’, amefunguka kuwa kwa mara ya kwanza Jumapili iliyopita alilazimika kuvaa nguo iliyoonesha sehemu ya paja lake kutokana na mazingira ya pati ya mwigizaji mwenzake, Wema Sepetu ‘Madam’. Akielezea vazi hilo alilolitinga katika sherehe ya kuzaliwa ya Madam,...

 

10 years ago

GPL

SHILOLE ATAJA SABABU ZA KURUDIANA NA MZIWANDA

Na Erick Evarist
STAA wa wimbo wa Nakomaa na Jiji, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ amesema sababu kubwa ya yeye kurudiana na mpenzi wake waliyegombana, Nuhu Mziwanda ni kuombwa msamaha. Staa wa wimbo wa Nakomaa na Jiji, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ akiwa na mpenzi wake Nuhu Mziwanda. Shilole alisema mpenzi wake huyo aligundua kwamba aliteswa na wivu na kusababisha wagombane hivyo alipotambua kosa lake, aliomba...

 

10 years ago

GPL

WASTARA ATAJA SABABU ZA KUGOMBEA UBUNGE

Wtaa wa sinema za Kibongo, Wastara Juma. Na Gladness Mallya
BAADA ya hivi karibuni kutangaza nia ya kugombea ubunge wa Viti Maalum kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) huko Morogoro Vijijini alikozaliwa, staa wa sinema za Kibongo, Wastara Juma ameibuka na kueleza kwamba ameamua kufanya hivyo ili kuwatetea walemavu na watoto wa kike. Akipiga stori na Ijumaa, Wastara alisema wananchi ambao ni walemavu wamekuwa hawatendewi haki...

 

9 years ago

Bongo Movies

Davina Ataja Sababu Kuanika Upaja!

MWIGIZAJI ambaye inaaminika kwa muda mrefu hajawahi kuvaa nguo yenye mpasuo kiasi cha mapaja yake kuonekana, Halima Yahya ‘Davina’, amefunguka kuwa kwa mara ya kwanza Jumapili iliyopita alilazimika kuvaa nguo iliyoonesha sehemu ya paja lake kutokana na mazingira ya pati ya mwigizaji mwenzake, Wema Sepetu ‘Madam’.

Akielezea vazi hilo alilolitinga katika sherehe ya kuzaliwa ya Madam, Davina alisema kwa mazingira ya pati hiyo yenye hadhi ya aina yake, alilazimika kuvaa nguo hiyo ili kuendana...

 

10 years ago

GPL

AISHA BUI ATAJA SABABU YA KUFANYA FUJO

Stori: Imelda Mtema STAA wa sinema za Kibongo, Aisha Bui amefunguka kuwa hivi karibuni aliangusha timbwili la kufa mtu kudai fedha zake za filamu aliyocheza kwa sababu fedha aliyotumia kuandaa filamu hiyo hakuhongwa na mwanaume. Staa wa sinema za Kibongo, Aisha Bui akiwa katika ofisi za kusambazia filamu za Yuneda, Mbagala jijini Dar.
Akizungumza na mwanahabari wetu, Aisha  ambaye alianzisha timbwili katika ofisi za...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani