Kingwendu Ataja Mastaa Anaowakubali Hapa Bongo, Atoa Sababu
Mkali wa kitambo kwenye sanaa ya vichekesho Kingwendu amepata nafasi ya kuongea na millardayo.com na kukubali kushare nasi mambo kadhaa ikiwemo mastaa wa Tanzania anaowakubali na sababu za kuwakubali.
List ya wakali wake kaanza nayo kwenye muziki wa Bongo Fleva ambapo amesema ‘Kwa muziki kwanza namtaka Diamond namkubali pia Alikiba namkubali pia Rich Mavoko halafu kuna huyu dogo amedrop sasa hivi Tid nilikuwa naye Burundi miezi 3 tunapiga nae kazi namkubali sana wa tano ni huyu dogo...
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL
MWAKIFWAMBA ATAJA SABABU YA MASTAA KUWA OMBAOMBA
10 years ago
GPL
IMEFICHUKA ANAYEWAUZA MASTAA BONGO HUYU HAPA!
10 years ago
Bongo Movies30 Dec
Andiko Hili la Zamaradi Limewagusa Mastaa Wengi Hapa Bongo
JIFUNZE kutokumuona mtu WA AJABU kwasababu lake limeonekana tu WAZI.. jiulize una mangapi unayoyafanya KWA SIRI KUBWA ambayo yanaweza yakashangaza ulimwengu!??? Jibu unalo... mengi!! Ila unajiona msafi sababu tu halijawa dhahiri!! Hivyo usimuone yoyote wa ajabu kwa aliyoyafanya sababu hata wewe unayafanya katika style yako.. ila una uwezo wa KUJIKAUSHA kwenye kundi la watu na kumnyooshea mtu kidole sababu yake YAMEDHIHIRIKA WAZI!!! Jiulize vipi yako yakijulikana.. kwa uyafanyayo unahisi...
10 years ago
Bongo Movies16 Mar
Shamsa Ford: Hawa Ndio Mastaa Wangu wa Tano wa Kiume Hapa Bongo
“Kwa upande wangu mimi kuna wanaume wa 5 ambao huwa nasemaga ni mastaa kupitiliza, yaani naamanisha akipita mtaani ni shida na kila mtu lazima ajue msanii kapita.. (1)Mzee majuto (2)Mboto (3)Kingwendu(4)Joti(5)Jacob……Hawa watu kwanza wanaongoza sana kupendwa na watoto yaani wakipita mtaani ni shida.aisee Mungu awabariki....na wewe nitajie wako 5 unaona wakipita mtaani kwako inakuwaga ni hekaheka”-Shamsa aliandika mtandaoni.
Hebu na sisi tuwataje wetu.
10 years ago
Dewji Blog08 Apr
Exclusive: Mastaa Bongo wanaojiamini hadi ‘kujiachia’ miili yao hawa hapa!
Wasanii Ney wa Mitego (kushoto) na Diamond Platinumz (kulia
Na Andrew Chale wa Modewji Blog
Kwa muda mrefu sasa huenda nawe umepata kushuhudia baadhi ya mastaa wa Bongo pamoja na watu maalufu wakiwa kwenye kurasa mbalimbaali za magazeti na majarida, mitandao ya kijamii na mabagno ya matangazoa wakiwa katika muonekano tofauti hasa katika kuonesha miili yao kiuhalisia.
Mastaa hao pia tunawashuhudia kwenye video zao iwe filamu, muziki na matangazo, wakionyesha sehemu za maumbilie yao kama...
9 years ago
MillardAyo29 Dec
Magari 11 ya mastaa wa Bongo Fleva/Bongo Movie 2015 (+Picha)
Najua nina watu wangu mnaopenda kufahamu magari wanayomiliki mastaa mbalimbali wakiwemo Bongo Movie na Bongo Fleva, sasa hapa nimefanikiwa kupata picha 11 za mastaa wanaomiliki magari makali Dar es Salaam. Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK […]
The post Magari 11 ya mastaa wa Bongo Fleva/Bongo Movie 2015 (+Picha) appeared first on TZA_MillardAyo.
9 years ago
Bongo510 Dec
Kingwendu adai wasanii wa komedi wataiokoa tasnia ya filamu Bongo

Mchekeshaji, Rashidi Mwinshehe aka Kingwendu, amesema baada ya wasanii wa filamu za kawaida kushindwa kuendeleza mafanikio aliyoyaacha marehemu Steven Kanumba, wasanii wa wa kuchekesha wanajipanga kufanya mabadiliko ya filamu ndani ya mwaka 2016.
Mwigizaji huyo ambaye mwaka huu aligombea ubunge katika jimbo la Kisarawe, amekiambia kipindi cha Wasanii cha Pamoja Radio ya nchini Uholanzi kuwa, wasanii wa kuchekesha wamejipanga vizuri kuhakikisha bendera ya Tanzania inapepea zaidi kupitia...
11 years ago
GPL
SHILOLE ATAJA SABABU ZA KURUDIANA NA MZIWANDA
10 years ago
GPL
WASTARA ATAJA SABABU ZA KUGOMBEA UBUNGE