Wanaume wengi waoga kusindikiza wake zao Kliniki — TMEP
Meneja mawasiliano wa mradi wa ushiriki sawa wa wanaume katika masuala ya afya ya uzazi na ujinsia unaofadhiliwana shirika lisilo la kiserikali la nchini Sweden (Sweden association for sexual education-RFSU), Eugenia Msasanun akifuatilia uendeshaji wa mafunzo kwa waandishi wa habari 35 wa mikoa ya Singida na Rukwa yaliyomalizika jana mjini Iringa.
Na Nathaniel Limu, Iringa
WANAUME nchini wameshauriwa kuondokana na mawazo potofu kwamba kliniki ni kwa ajili ya wanawake pekee, badala yake...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
11 years ago
Dewji Blog25 Jun
Wanaume washiriki afya ya uzazi, jinsia kwa kusindikiza wake zao kliniki
Kaimu mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya wilaya ya Singida, Joseph Sabore (anayeangalia kamera) akizungumza na maafisa wa shirika lisilo la kiserikali la Health Actions Promotion Association (HAPA), YMC na WaterAid Tanzania, ambao wako katika halmashauri hiyo kufanya tathimini ya mradi wa ushiriki sawa wa wanaume katika afya ya uzazi na ujinsia. Mradi huo unaotarajiwa kugharimu zaidi ya shilingi 1.6 bilioni, unatekelezwa kwa kipindi cha miaka mitatu na unatarajiwa kufikia ukingoni...
11 years ago
Habarileo14 Jun
Wanaume waaswa kusindikiza wenza wao kliniki
WANAUME wamehimizwa kuwasindikiza wenza wao ambao ni wajawazito kliniki wakati wa kupima afya zao na kuwa nao karibu wakati wote wa malezi ya watoto wao.
11 years ago
Tanzania Daima09 Jan
‘Wanaume waoga kupima ukimwi’
IMEELEZWA wanaume wanaongoza kwa kutopima virusi vya ukimwi (VVU) kutokana na kutawaliwa na hofu inayosababishwa na kumiliki ‘nyumba ndogo’ nyingi huku wakiwa wahamasishaji wazuri kwa wake na wapenzi wao kutambua...
10 years ago
Habarileo23 Oct
'Wanaume washuhudie wake zao wakijifungua'
DHANA ya kutaka wanaume kushuhudia wake zao wakijifungua hospitalini, imeonekana kutokubalika kirahisi miongoni mwa jamii kutokana na kile kinachodaiwa kuwa mila na desturi nyingi hazitoi baraka juu ya hilo.
11 years ago
BBCSwahili29 Apr
Kenya:Wanaume huru kuoa wake wengi
11 years ago
Tanzania Daima14 Jun
‘Wanaume wanaonyanyaswa na wake zao watoe taarifa’
SERIKALI imewataka wanaume kutoona haya na kufika kwenye madawati ya kijinsia yaliyopo katika vituo vya polisi nchini kutoa taarifa wanapofanyiwa vitendo vya kikatili na wake zao. Kauli hiyo ilitolewa mjini...
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/JgWHSTt60euZkcdX1iehPlEX6KKFjNdVjq5c9FOn1zYZX5GHd7kQDCYk0bkiiBBVh1KD8dD77CuKZP*isJjWJuPn5xPDMZoc/31393__MAPENZI1111.jpg)
MAMBO 12 WASIYOPENDA WANAUME KWA WAPENZI/ WAKE ZAO!
11 years ago
Dewji Blog08 Jul
Mradi wa TMEP wafanikiwa kuwabadilisha tabia Wanaume Manyoni
Mganga mkuu wilaya ya Manyoni mkoa wa Singida, Dk.Rahim Hagai, akifafanua jambo kwa timu iliyokuwa inafanya tathimini juu ya utekelezaji wa mradi wa ushiriki sawa wa wanaume katika afya ya uzazi na ujinsia.
Na Nathaniel Limu, Manyoni
WANAUME mkoani Singida, endapo watashiriki kikamilifu usawa wa afya ya uzazi na ujinsia, hatua hiyo itasaidia kupunguza vifo vya akina mama wajawazito na watoto wachanga kwa asilimia 80, imeelezwa.
Utabiri huo umetolewa na mganga mkuu wa wilaya ya Manyoni...
10 years ago
Dewji Blog20 Apr
Bongo wengi waoga kupiga picha kwenye zuria jekundu katika ‘Event’
Mama wa Mitindo Tanzania na Mkurugenzi Mkuu wa Fabak fashions ya Mikocheni kwa Mwalimu Nyerer, Asia Idarous Khamsin akipita kwa madaha kwenye zuria jekundu.
Mama wa Mitindo, Asia Idarous anaeleza kuwa, desturi ya kupita kwenye zuria inampa muhusika kujiamini hasa akiwa kwenye muonekano wa aina yoyote ile. Hali hiyo imepelekea ‘event’ nyingi zinazofanyika hapa Nchini na nchi zingine kuwa na utaratibu maalum ikiwemo kupamba eneo la kuingilia ili wanaohudhulia tafrija ama tukio maalum kupita...