Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Bongo wengi waoga kupiga picha kwenye zuria jekundu katika ‘Event’

ASIA IDAROUS kwenye red carpet

Mama wa Mitindo Tanzania na Mkurugenzi Mkuu wa Fabak fashions ya Mikocheni kwa Mwalimu Nyerer, Asia Idarous Khamsin  akipita kwa madaha kwenye zuria jekundu.

Mama wa Mitindo, Asia Idarous anaeleza kuwa, desturi ya kupita kwenye zuria inampa muhusika kujiamini hasa akiwa kwenye muonekano wa aina yoyote ile. Hali hiyo imepelekea ‘event’ nyingi zinazofanyika hapa Nchini na nchi zingine kuwa  na utaratibu maalum ikiwemo kupamba eneo la kuingilia ili wanaohudhulia tafrija ama tukio maalum kupita...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

Ole Sendeka awaeleza wapinzani kupiga picha zamwisho na Zuria la Bunge



Ole Sendeka awaeleza wapinzani kupiga picha za mwisho na Zuria la Bunge

Na Amiri Kilagalila,Njombe

Ikiwa zimebaki siku 9 ili kuvunjwa Bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania,tayari kuelekea katika shughuli za uchaguzi wa awamu ya 6 hapo Octoba 2020.

Mkuu wa mkoa wa Njombe Cristopher Ole Sendeka amewataka wabunge wa vyama vya upinzani kutumia siku chache zilizobaki kupiga picha na zuria la Bunge pamoja na bendera ya Bunge kwa ajili ya kumbu kumbu kwa kuwa itakuwa ni vigumu kwao kuingia...

 

10 years ago

Vijimambo

9 years ago

Global Publishers

Harusi ya Karne Bongo, Kupiga Picha Kenya, Honeymoon Ugiriki

harusi dar (4)Maharusi, James Katagila na Prugensiana Kahandukahao (waliopo katikati) wakipendeza katika pozi na wapambe wao.

HARUSI ya karne Bongo ndilo neno linalopendeza kutamkwa kuelezea bonge la sherehe ya ndoa inayoendelea kuwa gumzo kubwa kwenye vinywa vya wakazi wengi wa Jiji la Dar es Salaam.

Harusi hiyo ilifanyika Jumamosi iliyopita kwenye Ukumbi wa Mlimani City, Dar baada ya ndoa kufungwa kwenye Kanisa la Kristo Mfalme, Tabata kati ya bwana harusi, James Katagila na bibi harusi, Prugensiana...

 

10 years ago

Dewji Blog

Wanaume wengi waoga kusindikiza wake zao Kliniki — TMEP

DSC00592

Meneja mawasiliano wa mradi wa ushiriki sawa wa wanaume katika masuala ya afya ya uzazi na ujinsia unaofadhiliwana shirika lisilo la kiserikali la nchini Sweden (Sweden association for sexual education-RFSU), Eugenia Msasanun akifuatilia uendeshaji wa mafunzo kwa waandishi wa habari 35 wa mikoa ya Singida na Rukwa yaliyomalizika jana mjini Iringa.

Na Nathaniel Limu, Iringa

WANAUME nchini wameshauriwa kuondokana na mawazo potofu kwamba kliniki ni kwa ajili ya wanawake pekee, badala yake...

 

11 years ago

GPL

WANANCHI WENGI WAJITOKEZA KUPIGA KURA KATIKA UCHAGUZI JIMBO LA KIEMBESAMAKI

Wananchi Jimbo la Kiembesamaki, Zanzibar wakiangalia majina yao kujua vituo vyao walivyopangiwa kupiga kura leo asubuhi. Na Mwandishi Wetu, Zanzibar
HABARI kutoka Zanzibar zinasema uchaguzi mdogo wa uwakilishi Jimbo la Kiembesamaki kisiwani humo unaendelea vizuri na wapiga  kura wengi wamejitokeza kwenda kutimiza haki yao ya kimsingi. Ulinzi umeimarishwa katika vituo vya kupigia kura. Mwandishi wetu wa huko anasema jana...

 

9 years ago

Bongo5

Picha: MC Pilipili afanya kile wachekeshaji wengi wa Bongo wanaogopa kufanya mikoani

1168441_1679872298952611_404278398_n

Sio Alikiba na Diamond Platnumz tu waliojaza nyomi kwa show zao za sikukuu ya Christmas.

1168441_1679872298952611_404278398_n

Wakati wakali hao na wasanii wengine wa muziki wakiingiza mamilioni ya shilingi jijini Dar es Salaam, mchekeshaji maarufu, MC Pilipili alikuwa na show ya kwanza ya komedi mjini Dodoma na kuvuta nyomi la kufanya mtu.

12338967_163352447358949_92522992_n

Sio kitu cha kawaida kwa mchekeshaji wa Tanzania kuvutia umati mkubwa wa watu mkoani, tena kwenye ukumbi maarufu kwaajili ya show ya komedi tu.

Kwenye wikiendi iliyopita, mchekeshaji...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani