Wanaume washiriki afya ya uzazi, jinsia kwa kusindikiza wake zao kliniki
Kaimu mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya wilaya ya Singida, Joseph Sabore (anayeangalia kamera) akizungumza na maafisa wa shirika lisilo la kiserikali la Health Actions Promotion Association (HAPA), YMC na WaterAid Tanzania, ambao wako katika halmashauri hiyo kufanya tathimini ya mradi wa ushiriki sawa wa wanaume katika afya ya uzazi na ujinsia. Mradi huo unaotarajiwa kugharimu zaidi ya shilingi 1.6 bilioni, unatekelezwa kwa kipindi cha miaka mitatu na unatarajiwa kufikia ukingoni...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog30 Aug
Wanaume wengi waoga kusindikiza wake zao Kliniki — TMEP
Meneja mawasiliano wa mradi wa ushiriki sawa wa wanaume katika masuala ya afya ya uzazi na ujinsia unaofadhiliwana shirika lisilo la kiserikali la nchini Sweden (Sweden association for sexual education-RFSU), Eugenia Msasanun akifuatilia uendeshaji wa mafunzo kwa waandishi wa habari 35 wa mikoa ya Singida na Rukwa yaliyomalizika jana mjini Iringa.
Na Nathaniel Limu, Iringa
WANAUME nchini wameshauriwa kuondokana na mawazo potofu kwamba kliniki ni kwa ajili ya wanawake pekee, badala yake...
11 years ago
Habarileo14 Jun
Wanaume waaswa kusindikiza wenza wao kliniki
WANAUME wamehimizwa kuwasindikiza wenza wao ambao ni wajawazito kliniki wakati wa kupima afya zao na kuwa nao karibu wakati wote wa malezi ya watoto wao.
9 years ago
GPLMAMBO 12 WASIYOPENDA WANAUME KWA WAPENZI/ WAKE ZAO!
10 years ago
Dewji Blog13 Aug
Waandishi waaswa kuhimiza Afya ya Uzazi na Jinsia
Mratibu wa TACAIDS mkoa wa Singida, Fedes Mdala, akizindua uhamasishaji wa masula ya ushiriki sawa wa
masuala ya Afya ya Uzazi na Ujinsia kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika kata ya Mandewa mjini Singida.
Na Nathaniel Limu
WAANDISHI wa habari mkoa wa Singida,wamehimizwa kutumia kalamu zao vema kuwaelimisha wanaume juu ya umuhimu wa kushiriki kikamilifu katika masuala ya usawa wa afya ya uzazi na ujinsia,ili kuharakisha upatikanaji wa mabadiliko kwa upande wa wanaume waweze...
10 years ago
Mwananchi30 Dec
Mwamko wa wanaume kushiriki katika afya ya uzazi
9 years ago
MichuziMTANDAO WA WAANDISHI WA MASUALA YA HAKI YA AFYA YA UZAZI NA JINSIA WAZINDULIWA JIJINI DAR
Mratibu wa Uzazi Salama Kitaifa, Dk. Koheleth Winani akizungumza na waandishi wa habari za masuala ya haki jinsia na uzazi katika mkutano uliofanyika leo katika hoteli ya Land Mark jijini Dar es Salaam.
Kaimu Mwenyekiti wa Mtandao wa waandishi wa habari wa Haki na Afya ya Jinsia na Uzazi TAMENET–SRHR nchini,Siyovelwa Hussein akizungumza na waandishi wa habari wa wa Haki na Afya ya Jinsia na Uzazi TAMENET–SRHR leo jijini Dar es Salaam.Mratibu wa Uzazi Salama Kitaifa, Dk. Koheleth Winani...
10 years ago
MichuziWabunge washiriki zoezi la kupima afya zao mjini Dodoma
10 years ago
Habarileo23 Oct
'Wanaume washuhudie wake zao wakijifungua'
DHANA ya kutaka wanaume kushuhudia wake zao wakijifungua hospitalini, imeonekana kutokubalika kirahisi miongoni mwa jamii kutokana na kile kinachodaiwa kuwa mila na desturi nyingi hazitoi baraka juu ya hilo.
11 years ago
Tanzania Daima14 Jun
‘Wanaume wanaonyanyaswa na wake zao watoe taarifa’
SERIKALI imewataka wanaume kutoona haya na kufika kwenye madawati ya kijinsia yaliyopo katika vituo vya polisi nchini kutoa taarifa wanapofanyiwa vitendo vya kikatili na wake zao. Kauli hiyo ilitolewa mjini...