Wivu wa mapenzi ulivyoua wengi 2013
>Tumefunga mwaka 2013, milio mingi ya risasi ilisikika, watu walipigwa mapanga, wengine kunywa sumu kutokana na kukithiri kwa matukio mbalimbali yanayoambatana na visa na visasi vya wivu wa mapenzi yaliyojeruhi hata kupoteza maisha ya watu.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi27 May
Ni wivu wa mapenzi au mfumodume?
10 years ago
Habarileo23 Dec
Aua kwa wivu wa mapenzi
MTU mmoja, Juma Zengo Ulata (28) anashikiliwa na Jeshi la Polisi baada kumpiga nondo ya kichwa na kumsababishia kifo Issa Mihayo Shilia (40), mkazi wa Shinyanga Tanzania Bara baada ya kumtuhumu kuwa na mahusiano ya kimapenzi na mkewe huko Bambia wilaya ya Kati Unguja.
10 years ago
Tanzania Daima18 Sep
Auawa kwa wivu wa mapenzi
MWANAKIJIJI cha Itenka Tarafa ya Nsimbo wilayani Mlele Katavi, Mary Magese (39) ameuwawa na mwili wake kutupwa katika kisima cha maji. Mauaji hayo yalifanyika Septemba 14 mwaka huu saa mbili...
11 years ago
Mwananchi20 May
Ajinyonga kwa wivu wa mapenzi
10 years ago
Uhuru Newspaper13 Nov
Ajinyonga kisa? Wivu wa mapenzi
NA CHIBURA MAKORONGO,KAHAMA
MFANYAKAZI wa kampuni ya uchambuaji pamba ya Kahama Oil Mills Ltd, Yusuph Abdallah (55) amekutwa amekufa bafuni baada ya kujinyonga kutokana na wivu wa mapenzi.
Mwenyekiti wa Mtaa wa Mhongolo, Elias Chuma, alisema tukio hilo lilitokea juzi saa tano asubuhi, baada ya mfanyakazi wa usafi wa nyumba ya kampuni aliyokuwa anakaa Abdallah, Pili Makoye, kumkuta Abdallah akiwa amejinyonga.
Kiongozi huyo alisema baada ya kuona hivyo, Pili alipiga owe ambapo watu...
11 years ago
Habarileo11 Aug
Amwagiwa uji wa moto wivu wa mapenzi
MTUMISHI wa ndani, Jacquiline Lasway (22), mkazi wa Minga mjini hapa amelazwa katika Hospitali ya Mkoa wa Singida baada ya kumwagiwa uji wa moto na mke wa mwajiri wake kwa kile kinachodaiwa ni wivu wa mapenzi.
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/v4Ts6wAJqDr0YFJ3By0yJXc-odPmcItVp3J0RkmKTn5pUpI98gWlUWaE6sDjOBExCZpcvKCaJ6UmORultrqvH5J7Xu8uo14M/wivu.jpg)
AMCHOMA MUMEWE KISA WIVU WA MAPENZI
10 years ago
Habarileo15 Aug
Ajiunguza mwili mzima wivu wa mapenzi
MKAZI wa Igombe katika Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela, jijini hapa, Tausi Juma (22) amelazwa katika Hospitali ya Rufaa ya Bugando baada ya kujimwagia mafuta ya taa na kujiunguza mwili mzima kutokana na wivu wa kimapenzi.
11 years ago
Mwananchi01 Jun
Amuua mkewe kwa wivu wa mapenzi