Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Amwagiwa uji wa moto wivu wa mapenzi

MTUMISHI wa ndani, Jacquiline Lasway (22), mkazi wa Minga mjini hapa amelazwa katika Hospitali ya Mkoa wa Singida baada ya kumwagiwa uji wa moto na mke wa mwajiri wake kwa kile kinachodaiwa ni wivu wa mapenzi.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

SHETTA AMWAGIWA UJI WA MOTO

SHAKOOR JONGO NA MUSA MATEJA KHA! Staa wa Kerewa, Nurdin Bilal ‘Shetta’ juzikati alijikuta katika wakati mgumu baada ya kumwagiwa uji wa moto na Mbongo-Fleva mwenzake, Mwajuma Abdul ‘Queen  Darleen’. Staa wa Kerewa, Nurdin Bilal ‘Shetta’ akipewa dozi ya maji. Tukio hilo la aina yake lilijiri muda mchache baada ya tafrija iliyoandaliwa na uongozi wa No Fake Zone ‘NFZ’ kwa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Aunguzwa na uji kisa wivu wa mapenzi

MSICHANA Jackline Lasway maarufu kwa jina la Pendo, mkazi wa eneo la Minga Manispaa ya Singida, amenusurika kifo baada ya kumwagiwa uji wa moto na mke wa tajiri wake wa...

 

10 years ago

GPL

KISA WIVU, AMWAGIWA MAJI YA MOTO NA MPENZI WAKE

Juma Ally akionyesha jeraha alilolipata baada ya kumwagiwa maji ya moto na mpenzi wake. Na Haruni Sanchawa
MAPENZI kiboko! Juma Ally, mkazi wa Mongolandege Ilala jijini Dar es Salaam, amejikuta katika wakati mgumu baada ya kumwagiwa maji ya moto na mpenzi wake, Swaumu Shemsanga, kisa kikidaiwa kupishana kauli kwenye mazungumzo yao. Anayedaiwa kummwagia maji ya moto Juma Ally. Chanzo makini kimelieleza gazeti hili kuwa tukio...

 

11 years ago

Dewji Blog

Binti wa kazi ajeruhiwa vibaya kwa kumwagiwa uji wa moto na mke wa bosi wake, kisa wivu wa kimapenzi

jeraha

Msichana Jackline Lasway akiwa amelazwa katika wodi ya kina mama namba mbili katika hospitali ya Mkoa wa Singida baada ya kujeruhiwa kwa kumwagiwa uji wa moto wakati akiwa dukani kwa bosi wake eneo la soko kuu Manispaa ya Singida.

Na Mwandishi Wetu , Singida.

Msichana mmoja mkazi wa eneo la Minga Manispaa ya Singida amenusurika kifo baada ya kumwagiwa uji wa moto na mke wa tajiri wake wa dukani  kutokana na kile kinachosadikiwa kuwa ni wivu wa kimapenzi.

Msichana huyo Jackline Lasway...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Ajichoma moto hadi kufa kwa wivu wa mapenzi

MWANAKIJIJI wa Malolwa wilayani Sumbawanga Mkoa wa Rukwa, Ndekile Sunguli (38) amejiua kwa kujichoma moto ndani ya nyumba yake kwa wivu wa mapenzi. Kifo hicho kilitokea Septemba 29 mwaka huu...

 

11 years ago

Mwananchi

Ni wivu wa mapenzi au mfumodume?

Kama kuna matukio ambayo hayatasahaulika kirahisi miongoni mwa Watanzania wengi, ni matukio mawili yaliyohusishwa na wivu wa kimapenzi yaliyotokea Dar es Salaam mwaka 2013.

 

10 years ago

Habarileo

Aua kwa wivu wa mapenzi

MTU mmoja, Juma Zengo Ulata (28) anashikiliwa na Jeshi la Polisi baada kumpiga nondo ya kichwa na kumsababishia kifo Issa Mihayo Shilia (40), mkazi wa Shinyanga Tanzania Bara baada ya kumtuhumu kuwa na mahusiano ya kimapenzi na mkewe huko Bambia wilaya ya Kati Unguja.

 

11 years ago

Mwananchi

Ajinyonga kwa wivu wa mapenzi

Mkazi wa Kijiji cha Shilabela, mkoani Geita, ambaye amefahamika kwa jina moja la Daud (35) amekufa kwa kujinyonga chooni kutokana na kinachodaiwa ni wivu wa mapenzi.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Auawa kwa wivu wa mapenzi

MWANAKIJIJI cha Itenka Tarafa ya Nsimbo wilayani Mlele Katavi, Mary Magese (39) ameuwawa na mwili wake kutupwa katika kisima cha maji. Mauaji hayo yalifanyika Septemba 14 mwaka huu saa mbili...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani