Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ajiunguza mwili mzima wivu wa mapenzi

MKAZI wa Igombe katika Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela, jijini hapa, Tausi Juma (22) amelazwa katika Hospitali ya Rufaa ya Bugando baada ya kujimwagia mafuta ya taa na kujiunguza mwili mzima kutokana na wivu wa kimapenzi.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Ni wivu wa mapenzi au mfumodume?

Kama kuna matukio ambayo hayatasahaulika kirahisi miongoni mwa Watanzania wengi, ni matukio mawili yaliyohusishwa na wivu wa kimapenzi yaliyotokea Dar es Salaam mwaka 2013.

 

10 years ago

Habarileo

Aua kwa wivu wa mapenzi

MTU mmoja, Juma Zengo Ulata (28) anashikiliwa na Jeshi la Polisi baada kumpiga nondo ya kichwa na kumsababishia kifo Issa Mihayo Shilia (40), mkazi wa Shinyanga Tanzania Bara baada ya kumtuhumu kuwa na mahusiano ya kimapenzi na mkewe huko Bambia wilaya ya Kati Unguja.

 

11 years ago

Mwananchi

Ajinyonga kwa wivu wa mapenzi

Mkazi wa Kijiji cha Shilabela, mkoani Geita, ambaye amefahamika kwa jina moja la Daud (35) amekufa kwa kujinyonga chooni kutokana na kinachodaiwa ni wivu wa mapenzi.

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

Ajinyonga kisa? Wivu wa mapenzi


NA CHIBURA MAKORONGO,KAHAMA 
MFANYAKAZI wa kampuni ya uchambuaji pamba ya Kahama Oil Mills Ltd, Yusuph Abdallah (55) amekutwa amekufa bafuni baada ya kujinyonga kutokana na wivu wa mapenzi. 
Mwenyekiti wa Mtaa wa Mhongolo, Elias Chuma,  alisema tukio hilo lilitokea juzi  saa tano asubuhi, baada ya mfanyakazi wa usafi wa nyumba ya kampuni aliyokuwa anakaa Abdallah, Pili Makoye, kumkuta Abdallah akiwa amejinyonga.  
Kiongozi huyo alisema baada ya kuona hivyo, Pili alipiga owe ambapo watu...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Auawa kwa wivu wa mapenzi

MWANAKIJIJI cha Itenka Tarafa ya Nsimbo wilayani Mlele Katavi, Mary Magese (39) ameuwawa na mwili wake kutupwa katika kisima cha maji. Mauaji hayo yalifanyika Septemba 14 mwaka huu saa mbili...

 

11 years ago

Mwananchi

Wivu wa mapenzi ulivyoua wengi 2013

>Tumefunga mwaka 2013, milio mingi ya risasi ilisikika, watu walipigwa mapanga,  wengine kunywa sumu kutokana na kukithiri kwa matukio mbalimbali yanayoambatana na visa na visasi vya wivu wa mapenzi yaliyojeruhi hata kupoteza maisha ya watu.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Aua jirani kwa wivu wa mapenzi

WANANCHI wa Kata ya Gisambalang’, Wilaya ya Hanang’, mkoani Manyara bado wanaendelea kugubikwa na wimbi la simanzi na majonzi kutokana na matukio ya mauaji mfululizo yanayotokea katika kata hiyo. Katika...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Aunguzwa na uji kisa wivu wa mapenzi

MSICHANA Jackline Lasway maarufu kwa jina la Pendo, mkazi wa eneo la Minga Manispaa ya Singida, amenusurika kifo baada ya kumwagiwa uji wa moto na mke wa tajiri wake wa...

 

11 years ago

Habarileo

Amwagiwa uji wa moto wivu wa mapenzi

MTUMISHI wa ndani, Jacquiline Lasway (22), mkazi wa Minga mjini hapa amelazwa katika Hospitali ya Mkoa wa Singida baada ya kumwagiwa uji wa moto na mke wa mwajiri wake kwa kile kinachodaiwa ni wivu wa mapenzi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani