Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAKOSA YA WANAWAKE, WANAUME KATIKA KURIDHISHANA

WAZEE wenzangu mwajionaje na hali? Hii ni  safu iliyoboreshwa ya Sindano ya Mahaba! Kazi yake kubwa ni kuelimisha jamii, hasa ya watu wanaozidi miaka kumi na nane, katika masuala ya  mapenzi na uhusiano. Kwa mara nyingine kona hii imekuja kutatua matatizo ya wengi katika uhusiano. Nitakuwa nikiongea na wasomaji akina baba, akina mama na wale wasiofikia hapo kupitia safu hii.Kwa kuanza tu, najipa ujasiri wa kusema kuwa,...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MAAMBUKIZI KATIKA NJIA YA MKOJO KWA WANAWAKE/WANAUME

LEO tuangalie tatizo la maambukizi katika njia ya mkojo (Urinary disorders) kwa wanawake na wanaume. Maambukizi haya yakiathiri sehemu za chini za kibofu cha mkojo kitaalamu huitwa simple cystitis au Bladder infection na maambukizi hayo yakitokea sehemu za juu za mfumo wa mkojo huitwa pylonephritis au kidney infection. Ugonjwa huu husababishwa na bakteria anayeitwa Escherichia coli. Tatizo hili husababishwa kwa kiasi kikubwa na...

 

10 years ago

Mwananchi

Wanaume ni vizingiti kwa wanawake katika uzazi wa mpango

Baadhi ya wanawake wanaamini kwamba wakitumia njia za kisasa wanaweza kuharibu maumbile yao ya mwili ya asilia pamoja na kupata ulemavu.

 

10 years ago

Vijimambo

Story ya wanawake wa Rombo kukodi wanaume Kenya kuwaridhisha kimapenzi yatinga bungeni, wanaume wataka waombwe radhi


Habari iliyoandikwa kwenye gazeti la Mwananchi juzi yenye kichwa cha habari ‘Wanawake wa Rombo wakodi wanaume kutoka Kenya’ imeibukia bungeni leo.Habari hiyo iliandikwa kutokana na kauli aliyoitoa mkuu wa wilaya ya Rombo, Lembris Kipuyo, aliyedai kuwa kutokana na wanaume wa wilaya hiyo kuwa walevi wa kutupa, wake zao wamekuwa wakikodi wanaume kutoka Kenya ili kuwaridhisha kimapenzi.
“Tatizo la ulevi wilayani Rombo na matumizi ya pombe zisizokuwa na viwango ni kubwa sana na linahitaji nguvu...

 

10 years ago

BBCSwahili

Ni makosa kuwatengeza nyusi wanaume Iran

Wasusi nchini Iran wameonywa kutowatengeza wanaume nyusi zao.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wanawake, wanaume wanufaika mikopo ya Benki ya Wanawake

WIZARA ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, imesema hadi sasa Benki ya Wanawake Tanzania imewezesha kutoa mikopo kwa asilimia 77 ya wanawake nchini huku wanaume walionufaika na mikopo hiyo...

 

10 years ago

Habarileo

Pengo la wanawake, wanaume lapaa

Mkurugenzi wa TGNP, Lilian Liundi KATIKA kuelekea Siku ya Wanawake Duniani, pengo la jinsia kati ya wanawake na wanaume linazidi kuongezeka mwaka hadi mwaka huku ikielezwa kuwa ni asilimia 10 tu ya maprofesa wanawake waliopo nchini.

 

10 years ago

BBCSwahili

Wanawake na wanaume walumbana Saudia

Wasaudi wamekuwa wakilumbana kwenye mtandao baada ya wengi wao kujitokeza kuchangia ujumbe huu na nukuu " Don't marry a Saudi man", yaani ole wako uolewe na Msaudi.

 

11 years ago

BBCSwahili

Wanawake 20 wanaume 3 watekwa Nigeria

Wanawake 20 na wanaume watatu wametekwa nyara Kaskazini Mashariki mwa Nigeria na watu wanaoshukiwa kuwa wanachama wa Boko Haram.

 

11 years ago

Habarileo

'Wanaume waungeni mkono wanawake'

KATIKA kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani, wanaume wametakiwa kuwaunga mkono wanawake katika shughuli zao kwani kwa kufanya hivyo ni chachu ya kukuza uchumi na kuongeza maendeleo ya familia na hata ya taifa kwa ujumla.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani