Ni makosa kuwatengeza nyusi wanaume Iran
Wasusi nchini Iran wameonywa kutowatengeza wanaume nyusi zao.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLMAKOSA YA WANAWAKE, WANAUME KATIKA KURIDHISHANA
5 years ago
BBCSwahili25 Jun
Wanaume 3 wakamatwa kwa kuwauza watoto wachanga Instagram Iran
5 years ago
BBCSwahili25 Jun
Wanaume watatu wakamatwa kwa kuwauza watoto wachanga Instagram Iran
10 years ago
VijimamboStory ya wanawake wa Rombo kukodi wanaume Kenya kuwaridhisha kimapenzi yatinga bungeni, wanaume wataka waombwe radhi
Habari iliyoandikwa kwenye gazeti la Mwananchi juzi yenye kichwa cha habari ‘Wanawake wa Rombo wakodi wanaume kutoka Kenya’ imeibukia bungeni leo.Habari hiyo iliandikwa kutokana na kauli aliyoitoa mkuu wa wilaya ya Rombo, Lembris Kipuyo, aliyedai kuwa kutokana na wanaume wa wilaya hiyo kuwa walevi wa kutupa, wake zao wamekuwa wakikodi wanaume kutoka Kenya ili kuwaridhisha kimapenzi.
“Tatizo la ulevi wilayani Rombo na matumizi ya pombe zisizokuwa na viwango ni kubwa sana na linahitaji nguvu...
11 years ago
Dewji Blog12 Jul
Nyusi akutana na Nyalandu!
Mgombea wa Urais wa Msumbiji kwa kupitia chama cha Frelimo, Filipe Nyussi akizungumza na Waziri wa Mali Asili na Utalii, Mh. Lazaro Nyalandu kwenye hoteli ya Hyatt Regency-The Kilimanjaro (katikati) ni Komredi Oscar Monteiro Waziri wa zamani katika serikali ya marehemu Samora Machel ambaye hivi sasa anafundisha katika Chuo Kikuu kimoja Msumbiji.
10 years ago
Habarileo16 Jan
JK ashuhudia Nyusi akikabidhiwa Msumbiji
RAIS Jakaya Kikwete jana alikuwa miongoni mwa marais walioshuhudia Felipe Nyusi akiapishwa kuwa Rais wa Tano wa Msumbiji.
11 years ago
MichuziKinana azungumza na Filipe nyusi
Katibu wa NEC Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Dk.Asha-Rose Migiro ambaye pia ni Waziri wa Katiba na Sheria akisalimiana na Mgombea wa Urais wa Msumbiji kwa tiketi ya Frelimo Mheshimiwa Filipe Jacinto Nyusi, kabla ya kuanza mazungumzo kwenye hoteli ya Golden Tulip.
Mgombea wa Urais wa Msumbiji kwa tiketi...
10 years ago
Zambia Daily Mail25 Feb
Kikwete, Nyusi, Mutharika coming
Zambia Daily Mail
Kikwete, Nyusi, Mutharika coming
Zambia Daily Mail
PRESIDENT Jakaya Kikwete of Tanzania arrives in Zambia today for a State visit during which he will hold talks with President Lungu, and is expected to return to his country tomorrow. Minister of Foreign Affairs Harry Kalaba said on Monday that apart from Mr ...
Kikwete ComingAllAfrica.com
all 3
10 years ago
MichuziNYUSI AKUTANA NA WANAMSUMBIJI WA ZANZIBAR