Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JK ashuhudia Nyusi akikabidhiwa Msumbiji

Rais Filipe Nyusi wa Msumbiji akiapaRAIS Jakaya Kikwete jana alikuwa miongoni mwa marais walioshuhudia Felipe Nyusi akiapishwa kuwa Rais wa Tano wa Msumbiji.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MAPOKEZI YA RAIS NYUSI WA MSUMBIJI YALIVYOFANA

 Msanii wa kikundi cha ngoma ya Mganda akitumbuiza  wakati wa mapokezi ya Rais wa Msumbiji Mhe Filipe Nyusi katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere…

 

10 years ago

Dewji Blog

Rais Nyusi wa Msumbiji apokelewa nchini kwa nderemo na vifijo

 Msanii wa kikundi cha ngoma ya Mganda akitumbuiza  wakati wa mapokezi ya Rais wa Msumbiji Mhe Filipe Nyusi katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere.  Ngoma ya mganda   Sindimba   Kinamama wa kikundi cha Mount Usambara hawako nyuma  Rais Kikwete akisogea sehemu ya kumpokea mgeni  Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe Bernad Membe akisalimiana na balozi wa Tanzania nchini Msumbiji Mhe  Shamim Nyanduga. Katikati ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu...

 

10 years ago

Michuzi

Rais Wa Msumbiji Felipe Jacinto Nyusi alihutubia Bunge Dodoma

 Rais Wa Msumbiji Felipe Jacinto Nyusi akilihutubia Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo mjini Dodoma huku Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na Spika wa Bunge hilo Mh.Anna Makinda wakisikiliza.Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mgeni wake Rais wa Msumbiji Felipe Jacinto Nyusi,Waziri Mkuu Mizengo Pinda,Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na viongozi waandamizi katika serikali ya Msumbiji wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya Rais wa Msumbiji kulihutubia Bunge lao mjini...

 

10 years ago

Michuzi

RAIS WA MSUMBIJI FILIPE JACINTO NYUSI APATA MAPOKEZI MAKUBWA JIJINI DAR ES SALAAM

Rais Kikwete akimpokea Rais Filipe Jacinto Nyusi uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam . Rais huyo anayefanya ziara yake ya kwanza nje ya nchi kama rais wa Msumbiji yuko katika ziara rasmi ya siku tatu.Rais Filipe Jacinto Nyusi akipokea shada la maua baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam . Rais huyo anayefanya ziara yake ya kwanza nje ya nchi kama rais wa Msumbiji yuko katika ziara rasmi ya siku tatu.Rais...

 

10 years ago

Dewji Blog

Rais wa Msumbiji Mhe. Filipe Nyusi kutua nchini Jumapili Mei 17 kwa ziara ya siku 3

filipe_nyusiRais Filipe Nyusi wa Msumbiji

Rais wa Msumbiji Mhe.Filipe Jacinto Nyusi anatarajia kuwasili nchini Tanzania Mei 17 mwaka huu kwa ziara ya kikazi ya siku tatu ambapo pamoja na mambo mengine anatarajia kulihutubia Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania linaloendelea na vikao vyake mjini Dodoma.

Akitoa taarifa ya ziara hiyo leo jijini Dar es salaam Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Said Mecki Sadiki amesema kuwa Rais Filipe Nyusi atawasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius...

 

9 years ago

Michuzi

RAIS NYUSI WA MSUMBIJI AMWANDALIA JK DHIFA MAALUM YA KUMUAGA, JIJI LA MAPUTO LAMTUNUKU UKAZI WA KUDUMU

 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mwenyeji wake Rais Felipe Jacinto Nyusi  wa Msumbiji wakigonga glasi ya kutakiana heri wakati wa dhifa ya kitaifa iliyoandaliwa kwa heshima ya Rais Kikwete na ujumbe wake katika ikulu ya nchi hiyo jijini Maputo maarufu kama Ponta Vermelha usiku wa kuamkia leo.Rais Kikwete alitumia fursa hiyo kuwaaga wananchi wa Msumbiji akisisitiza kuwa uhusiano wa kidugu na kipekee kati ya nchi hizo mbili utaendelea kudumu na kukuaRais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mwenyeji...

 

10 years ago

Michuzi

Rais wa Msumbiji, Mhe. Filipe Jacinto Nyusi kufanya ziara ya siku tatu nchini kuanzia kesho

Rais wa Msumbiji, Mhe. Filipe Nyusi Rais wa Msumbiji, Mhe. Filipe Jacinto Nyusi anatarajiwa kuwasili nchini kesho tarehe 17 Mei, 2015 kwa ziara ya Kitaifa ya siku tatu nchini kwa mwaliko wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete.Mhe. Rais Nyussi atapokelewa na mwenyeji wake Mhe. Rais Kikwete mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere. Mhe. Rais Nyusi atakagua Gwaride la Heshima na kupigiwa mizinga 21.

Baada ya mapokezi hayo, Mhe....

 

10 years ago

Michuzi

JK awasili maputo usiku huu kuhudhuria sherehe za kuapishwa Rais Mpya wa Msumbiji Mhe.Filipe Nyusi kesho

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakiwasili katika uwanja wa ndege wa Maputo usiku huu kuhudhuria sherehe za kuapishwa Rais Mpya wa Msumbiji Mhe.Filipe Nyusi kesho mjini Maputo. Mhe. Nyusi anachukua hatamu za uongozi kutoka kwa Rais Armando Emilio Jacinto  Guebuza anayemaliza muda wake. Picha na Freddy Maro

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani