MAPOKEZI YA RAIS NYUSI WA MSUMBIJI YALIVYOFANA
 Msanii wa kikundi cha ngoma ya Mganda akitumbuiza  wakati wa mapokezi ya Rais wa Msumbiji Mhe Filipe Nyusi katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere…
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi10 years ago
MichuziRAIS WA MSUMBIJI FILIPE JACINTO NYUSI APATA MAPOKEZI MAKUBWA JIJINI DAR ES SALAAM
10 years ago
Dewji Blog19 May
Rais Nyusi awa Rais wa kwanza wa Msumbiji kulihutubia Bunge la Tanzania
Rais wa Msumbiji Filipe Nyusi akiingia ndani ya ukumbi wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akiongozana na wenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Spika wa Bunge la Muungano wa Tanzania Mhe.Anne Makinda.
Rais wa Msumbiji Filipe Nyusi akilihutubia Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mjini Dodoma.
Na Immaculate Makilika na Lydia Churi – MAELEZO, DODOMA.
Rais wa Jamhuri ya Msumbiji Mheshimiwa Felipe Nyusi amelihutubia Bunge la Jamhuri ya Muungano wa...
9 years ago
MichuziRais Kikwete apokea Ujumbe kutoka kwa Rais wa Msumbiji Filipe Nyusi
10 years ago
Vijimambo14 Jan
Rais Kikwete awasili nchini Msumbiji kuhudhuria Sherehe za kuapishwa Rais Nyusi
10 years ago
MichuziRais Wa Msumbiji Felipe Jacinto Nyusi alihutubia Bunge Dodoma
10 years ago
Dewji Blog18 May
Rais Nyusi wa Msumbiji apokelewa nchini kwa nderemo na vifijo
9 years ago
MichuziRAIS NYUSI WA MSUMBIJI AMWANDALIA JK DHIFA MAALUM YA KUMUAGA, JIJI LA MAPUTO LAMTUNUKU UKAZI WA KUDUMU
10 years ago
Dewji Blog16 May
Rais wa Msumbiji Mhe. Filipe Nyusi kutua nchini Jumapili Mei 17 kwa ziara ya siku 3
Rais Filipe Nyusi wa Msumbiji
Rais wa Msumbiji Mhe.Filipe Jacinto Nyusi anatarajia kuwasili nchini Tanzania Mei 17 mwaka huu kwa ziara ya kikazi ya siku tatu ambapo pamoja na mambo mengine anatarajia kulihutubia Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania linaloendelea na vikao vyake mjini Dodoma.
Akitoa taarifa ya ziara hiyo leo jijini Dar es salaam Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Said Mecki Sadiki amesema kuwa Rais Filipe Nyusi atawasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius...