NYUSI AKUTANA NA WANAMSUMBIJI WA ZANZIBAR

Mgombea wa Urais wa Msumbiji kupitia chama cha FRELIMO Mh.Filipe Nyusi akipokea zawadi kutoka kwa Jumuiya ya watu wa Msumbiji wanaoishi Zanzibar.
Mgombea wa Urais wa Msumbiji kupitia chama cha FRELIMO Mh.Filipe Nyusi akizungumza na Wananchi wa Msumbiji wanaoishi Tanzania ambapo alitumia fursa hiyo kuwaomba wampigie kura kwani amekuja na mikakati mizuri ya kuboresha uchumi ambapo amedhamiria kuiondoa Msumbiji kwenye orodha ya nchi masikini,pia aliahidi kuwawezesha wakina Mama wa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL
NYUSI AJINADI KWA WANAMSUMBIJI WANAOISHI ZANZIBAR
11 years ago
Michuzi12 Jul
NYUSI AJINADI KWA WANAMSUMBIJI WANAISHI ZANZIBAR



11 years ago
Dewji Blog12 Jul
Nyusi akutana na Nyalandu!
Mgombea wa Urais wa Msumbiji kwa kupitia chama cha Frelimo, Filipe Nyussi akizungumza na Waziri wa Mali Asili na Utalii, Mh. Lazaro Nyalandu kwenye hoteli ya Hyatt Regency-The Kilimanjaro (katikati) ni Komredi Oscar Monteiro Waziri wa zamani katika serikali ya marehemu Samora Machel ambaye hivi sasa anafundisha katika Chuo Kikuu kimoja Msumbiji.
10 years ago
Dewji Blog18 May
MO akutana na Rais Filipe Nyusi wa Mozambique jijini Dar
CEO wa Makampuni ya MeTL Group na Mbunge wa Jimbo la Singida mjini, Mh. Mohammed Dewji (kulia) katika picha ya pamoja na Rais wa Mozambique, Mh. Filipe Nyusi walipokutana jijini Dar es Salaam. Rais huyo anayefanya ziara yake ya kwanza nje ya nchi kama Rais wa Msumbiji yuko katika ziara rasmi ya siku tatu nchini Tanzania.
10 years ago
Michuzi
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar akutana na Balozi Mdogo Mpya wa India Zanzibar




11 years ago
Michuzi.jpg)
Rais wa Zanzibar Dk.Shein akutana na Diaspora wa Zanzibar Ikulu
.jpg)
.jpg)
11 years ago
MichuziWAZIRI WA HABARI UTAMADUNI UTALII NA MICHEZO WA ZANZIBAR AKUTANA NA WANAFUNZI NA WALIMU WACHUO CHA UANDISHI WA HABARI ZANZIBAR
9 years ago
BBCSwahili22 Dec
Magufuli akutana na Seif kujadili Zanzibar
Magazeti ya Leo
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10