Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Nyusi akutana na Nyalandu!

uh5

Mgombea wa Urais wa Msumbiji kwa kupitia chama cha Frelimo, Filipe Nyussi akizungumza na Waziri wa Mali Asili na Utalii, Mh. Lazaro Nyalandu kwenye hoteli ya Hyatt Regency-The Kilimanjaro (katikati) ni Komredi Oscar Monteiro Waziri wa zamani katika serikali ya marehemu Samora Machel ambaye hivi  sasa anafundisha katika Chuo Kikuu kimoja Msumbiji.

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

NYUSI AKUTANA NA WANAMSUMBIJI WA ZANZIBAR

 Mgombea wa Urais wa Msumbiji kupitia chama cha FRELIMO Mh.Filipe Nyusi akipokea zawadi kutoka kwa Jumuiya ya watu wa Msumbiji wanaoishi Zanzibar.Mgombea wa Urais wa Msumbiji kupitia chama cha FRELIMO Mh.Filipe Nyusi akizungumza na Wananchi wa Msumbiji wanaoishi Tanzania ambapo alitumia fursa hiyo kuwaomba wampigie kura kwani amekuja na mikakati mizuri ya kuboresha uchumi ambapo amedhamiria kuiondoa Msumbiji kwenye orodha ya nchi masikini,pia aliahidi kuwawezesha wakina Mama wa...

 

10 years ago

Dewji Blog

MO akutana na Rais Filipe Nyusi wa Mozambique jijini Dar

IMG-20150518-WA0054

CEO wa Makampuni ya MeTL Group na Mbunge wa Jimbo la Singida mjini, Mh. Mohammed Dewji (kulia) katika picha ya pamoja na Rais wa Mozambique, Mh. Filipe Nyusi walipokutana jijini Dar es Salaam. Rais huyo anayefanya ziara yake ya kwanza nje ya nchi kama Rais wa Msumbiji yuko katika ziara rasmi ya siku tatu nchini Tanzania.

 

11 years ago

Uhuru Newspaper

NYALANDU AKUTANA VIONGOZI WA UHIFADHI WANYAMAPORI


Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi Waandamizi wa Taasisi ya Vulcan ya nchini Marekani  Bw. Dave Stewart (kushoto) na Bi. Lauren Ryder, inayojihusisha na masuala ya kuidadi tembo katika nchi 18 barani Afrika ikiwemo Tanzania, baada ya kufanya mazungumzo maalum ya ushirikiano yaliyofanyika katika jiji la New York nchini Marekani jana.

 

10 years ago

Dewji Blog

Nyalandu akutana na kamati ya bunge la Norway Jijini Dar

FPE_DIT 041

Waziri wa Maliasili na Utalii Lazaro Nyalandu, akizungumza na Mwenyekiti wa kamati ya Maliasili na Utalii ya Bunge la Norway,Ola Eluestuen (kushoto) na Balozi wa nchi hiyo hapa Tanzania Hanne-Mariekaarstad, walipofika ofisini kwake muda mfupi kabla ya kuzungumza na kamati nzima ya bunge hilo.

FPE_DIT 095

Waziri Nyalandu akizungumza na wajumbe wa kamati hiyo ya Maliasili na Mazingira mara baada ya kuzanza kwa mkutano huo jijini Dar es Salaam jana.

FPE_DIT 087

FPE_DIT 114

Waziri Nyalandu akisalimiana na mwenyekiti wa kamati...

 

10 years ago

Michuzi

MHE. LAZARO NYALANDU AKUTANA NA WADAU WA UTALII NCHINI MAREKANI

 Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Lazaro Nyalandu akisalimiana na Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Marekani mara tu alipowasili Ubalozini hapo kukutana na Taasisi mbalimbali za Kimarekani zinazo Tangaza Utalii wa Tanzania nchini Marekani kwenye Working Lunch iliyokua na maswali na majibu iliyochukua takribani saa 2 na nusu. Mhe. Lazaro Nyalandu akisalimiana na mkuu wa Utawala wa Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani Mama Lily Munanka.Afisa Utalii Ubalozi wa Tanzania nchini...

 

10 years ago

GPL

MHE. LAZARO NYALANDU AKUTANA NA WADAU WA UTALII NCHINI MAREKANI‏

Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Lazaro Nyalandu akisalimiana na Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Marekani mara tu alipowasili Ubalozini hapo kukutana na Taasisi mbalimbali za Kimarekani zinazo Tangaza Utalii wa Tanzania nchini Marekani kwenye Working Lunch iliyokua na maswali na majibu iliyochukua takribani saa 2 na nusu. Mhe. Lazaro Nyalandu akisalimiana na mkuu wa Utawala wa Ubalozi wa Tanzania nchini...

 

11 years ago

Michuzi

WAZIRI LAZARO NYALANDU AKUTANA NA TAASISI ZA UHIFADHI WANYAMAPORI JIJINI NEW YORK

 Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Lazaro Nyalandu akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi Waandamizi wa Taasisi ya Vulcan ya nchini Marekani  Bw. Dave Stewart (kushoto) na Bi. Lauren Ryder, inayojihusisha na masuala ya kuidadi tembo katika nchi 18 barani Afrika ikiwemo Tanzania, baada ya kufanya mazungumzo maalum ya ushirikiano yaliyofanyika katika jiji la New York nchini Marekani jana. Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Lazaro Nyalandu  akiagana na Bw....

 

11 years ago

Michuzi

NYALANDU AKUTANA NA BALOZI WA HESHIMA MHE AHMED ISSA, BEVERLY HILLS CALIFORNIA

 Balozi wa heshima Mhe. Ahmed Issa akifanya mazungumuzo na Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Lazaro Nyalandu Beverly Hills California mapama leo mazungumuzo yaliyohusu kutangaza Utalii wa Tanzana nchini Marekani pia Waziri Nyalandu alimpongeza Balozi wa Heshima kwa kuendelea kutangaza utalii wa Tanzania kwenye magari yake ya mizigo.

 

11 years ago

Michuzi

WAZIRI LAZARO NYALANDU AKUTANA NA BALOZI WA HESHIMA WA UTALII BEVERLEY, LOS ANGELES MAREKANI

Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Lazaro Nyalandu (kulia) akizungumza na Balozi wa Heshima wa Utalii wa Tanzania nchini Marekani Bw. Ahmed Issa juu ya mikakati mbalimbali ya kuvutia watalii wa kimarekani kutembelea Tanzania jana Beverly, Los Angeles. Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Lazaro Nyalandu (kati) akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Heshima wa Utalii wa Tanzania nchini Marekani Bw. Ahmed Issa (kushoto) na Bw. Abdul Majid baada ya kupokea taarifa ya mikakati wanayoitumia...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani