MWAKALEBELA AWATAKA WAJASILIAMALI IRINGA KUEPUKA MATAPELI KATIKA MIKOPO YA BENKI YA WANAWAKE TANZANIA
Wanawake wajasiliamali mjini Iringa wakipewa maelekezo kutoka mkurugenzi mtendaji wa kampuni ya ujasiliamali nchini ya VANNEDRICK (T) Ltd Fredrick Mwakalebela (kulia) wakati wa semina hiyo inayoendelea katika ukumbi wa maendeleo ya jamii mjini Iringa
Mwakalebela katikati akiwa na wakufunzi wa mafunzo ya ujasiliamali wanaopaswa kupewa mikopo ya benki ya wanawake Tanzania
Mwakalebela katikati akitoa maelekezo kwa wajasiliama mali wanaohitaji mikopo ya benki ya wanawake...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi14 Sep
Mwakalebela aahidi benki Iringa Mjini
11 years ago
Tanzania Daima18 Dec
Wanawake, wanaume wanufaika mikopo ya Benki ya Wanawake
WIZARA ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, imesema hadi sasa Benki ya Wanawake Tanzania imewezesha kutoa mikopo kwa asilimia 77 ya wanawake nchini huku wanaume walionufaika na mikopo hiyo...
9 years ago
StarTV18 Dec
Zaidi ya Wajasiriamali 17,000 wajikwamua kiuchumi kupitia Mikopo ya Benki Ya Wanawake
Zaidi ya wanawake wajasiriamali 17,000 wamejikwamua kiuchumi kutokana na kupata mitaji kwa njia ya mikopo kutoka Benki ya wanawake ambayo imekuwa ikitoa mikopo ya viwango vya aina mbalimbali kusaidia wajasiriamali.
Benki hiyo ya wanawake ambayo imetimiza miaka 6 tangu kuanzishwa kwake imeweza kutengeneza faida kubwa kutokana na kuboresha huduma zake katika matawi mbalimbali nchini.
Benki ya wanawake Tanzania imekuwa miiongoni mwa Benki ambayo imekuwa mstari wa mbele kusaidia wananchi wa...
9 years ago
Vijimambo07 Sep
MWIGULU NCHEMBA ASABABISHA MAFURIKO IRINGA MJINI,WANANCHI WAAHIDI KUMCHAGUA MWAKALEBELA KWA USTAWI WA IRINGA
![](https://scontent-fra3-1.xx.fbcdn.net/hphotos-xfp1/v/t1.0-9/11987063_424257781109789_1218270817209739675_n.jpg?oh=d3b25221b0ee98dc26e39703133fe598&oe=566C9D6B)
![](https://scontent-fra3-1.xx.fbcdn.net/hphotos-xat1/v/t1.0-9/10330376_424257834443117_2590905553608251965_n.jpg?oh=a3f7d44b65f6bae9791174720f3870fa&oe=566E5BB0)
![](https://fbcdn-sphotos-d-a.akamaihd.net/hphotos-ak-xlp1/v/t1.0-9/11954816_424257594443141_5282530544314119712_n.jpg?oh=13d73bee1c57e97dab5fabcceddde988&oe=567BA70F&__gda__=1454089245_9f13f1afb82220720964f12a406934f0)
11 years ago
MichuziSido yatoa mikopo kwa wajasiliamali wa mkoa wa Lindi
jinsi shirika lake linavyowezesha wajasilamali wa mkoa huo kwa kuwapa
mikopo na elimu ya wajasiliamali katika hafla Fupi ya kukabidhi hundi
za mikopo kwa wajasiliamali 21,kutoka kushoto ni Bw Dickson
Kindole,Mhandisi Sido,Bi Salma Ally,Afisa mikopo na Mkuu wa Wilaya ya
Lindi Dr Nassor Hamid
wakimsikiliza Mkuu wa wilaya( hayupo pichani)Katika Hafla hiyo
iliyofanyika jana mjini Lindi
11 years ago
Michuzi02 Jul
11 years ago
Habarileo04 Apr
Matapeli ya mikopo waliza watu 10
WATU zaidi ya 10 wametapeliwa fedha, walizotuma kwa mtandao baada ya kurubuniwa kuwa wangepata mikopo katika taasisi, iliyojitambulisha kwa jina la Savings Foundation Loans na kudai ofisi zake ziko katika Jengo la Utumishi.