Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Benki kuwakomboa wanawake nchini

>Benki ya Wanawake Tanzania (TWB) imeweka mpango wa kuwanufaisha wajasiriamali kwa kuwapatia viwanja vilivyopimwa kisheria ili kuwawezesha kukopesheka kirahisi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

ZANZIBALICIOUS KUWAKOMBOA WANAWAKE‏

Mgeni rasmi Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar, Bi. Mwanaidi Salehe akisaini kitabu cha wageni cha Umoja wa Wanawake wa Zanzibalicious kwenye sherehe za uzinduzi wa Umoja huo zilizofanyika mwishoni mwa juma kwenye Hoteli ya Ocean View Beach Resort mjini Unguja.(Picha zote na Zainul Mzige).
Makamu mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake wa Zanzibalicious Bi. Evelyne Wilson (wa pili kushoto) akitoa maelezo ya...

 

10 years ago

Michuzi

BENKI YA NBC NA ENVIROCARE KUWAKOMBOA VIJANA KUPITIA MRADI WA MAZINGIRA

Naibu Mkurugenzi wa Shirika lisilo la kiserikali la Envirocare, Catherine Jerome na Kaimu Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa Benki ya Taifa ya Biashara (NBC), Rukia Mtingwa (kulia) wakionyesha kipande cha mkaa uliotengenezwa na taka za karatasi jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki, wakati wakizungumzia kampeni ya kuhamasisha utunzaji mazingira katika mtaa wa ubungo kibangu na jinsi takataka zinavyoweza kuleta fursa za kiuchumi. Kampeni hiyo imefadhiliwa na benki ya NBC.Kaimu Mkuu wa Masoko...

 

11 years ago

GPL

WANAFUNZI WANAWAKE CHUO CHA CBE DAR WAWEKA HISTORIA, WAANZISHA MFUKO WA KUWAKOMBOA KIELIMU

Mkurugenzi wa Utawala na Utumishi wa Wizara ya Viwanda na Biashara Dkt. Mary Mwangisa (kulia) akizungumza jambo kabla ya kuanza kwa maandamano ya wanafunzi wa Kike wa chuo cha CBE kampasi ya Dar es salaam kuzindua  mchakato wa kuanzisha mfuko wa Jumuiya ya Wanafunzi wa kike chuoni hapo wenye lengo la kuwakomboa kielimu.Kushoto ni Mjumbe wa Bodi ya Taaluma ya Chuo hicho Dkt. Ellen Oturu Okoedion.
Waziri wa Wanawake wa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wanawake, wanaume wanufaika mikopo ya Benki ya Wanawake

WIZARA ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, imesema hadi sasa Benki ya Wanawake Tanzania imewezesha kutoa mikopo kwa asilimia 77 ya wanawake nchini huku wanaume walionufaika na mikopo hiyo...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Benki ya Wanawake yazidi kujitanua

BENKI ya Wanawake Tanzania (TWB), imeendelea kufungua matawi ya benki yake mikoani, ili  kuhakikisha huduma bora za fedha wananchi wengi. Akizungumza wakati wa ufunguzi wa tawi jipya Makambako, Mkoa wa Njombe...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mbunge ataka Benki ya Wanawake Pemba

MBUNGE wa Viti Maalumu, Mariam Msabaha (CHADEMA), ameihoji serikali na kutaka ieleze ni lini itapeleka Benki ya Wanawake katika mikoa ya Pemba, ili nao waweze kunufaika na benki hiyo. Msabaha...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani