Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ZANZIBALICIOUS KUWAKOMBOA WANAWAKE‏

Mgeni rasmi Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar, Bi. Mwanaidi Salehe akisaini kitabu cha wageni cha Umoja wa Wanawake wa Zanzibalicious kwenye sherehe za uzinduzi wa Umoja huo zilizofanyika mwishoni mwa juma kwenye Hoteli ya Ocean View Beach Resort mjini Unguja.(Picha zote na Zainul Mzige).
Makamu mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake wa Zanzibalicious Bi. Evelyne Wilson (wa pili kushoto) akitoa maelezo ya...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Benki kuwakomboa wanawake nchini

>Benki ya Wanawake Tanzania (TWB) imeweka mpango wa kuwanufaisha wajasiriamali kwa kuwapatia viwanja vilivyopimwa kisheria ili kuwawezesha kukopesheka kirahisi.

 

11 years ago

GPL

WANAFUNZI WANAWAKE CHUO CHA CBE DAR WAWEKA HISTORIA, WAANZISHA MFUKO WA KUWAKOMBOA KIELIMU

Mkurugenzi wa Utawala na Utumishi wa Wizara ya Viwanda na Biashara Dkt. Mary Mwangisa (kulia) akizungumza jambo kabla ya kuanza kwa maandamano ya wanafunzi wa Kike wa chuo cha CBE kampasi ya Dar es salaam kuzindua  mchakato wa kuanzisha mfuko wa Jumuiya ya Wanafunzi wa kike chuoni hapo wenye lengo la kuwakomboa kielimu.Kushoto ni Mjumbe wa Bodi ya Taaluma ya Chuo hicho Dkt. Ellen Oturu Okoedion.
Waziri wa Wanawake wa...

 

11 years ago

GPL

KAMPUNI YA VIJANA WA KITANZANIA YA (CHINA WORD BUZ) KUWAKOMBOA WAFANYABIASHARA WADOGO NA WA KATI‏

Meneja Mkuu wa kampuni hiyo nchini China Justin Luvanda akizungumza na waandishi wa habari kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere mara baada ya kwasili akitokea nchini China na ujumbe wa wafanya biashara wenzake, kushoto ni Ofisa mtendaji mkuu wa kampuni ya China Word Buz nchini China Bwana Cheng Wang Wu na kulia ni Mtendaji Mkuu wa kampuni hiyo hapa nchini Bw. Shafii Mwaijande.… ...

 

11 years ago

Michuzi

WALIONG'ARA KWENYE RED CARPET YA UZINDUZI WA ZANZIBALICIOUS WOMEN GROUP @ ZANZIBAR OCEAN VIEW

DSC_0243 Mgeni rasmi Katibu Mkuu Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Bi. Mwanaidi Salehe (kushoto) akiwa na Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Uwezeshaji, Bi. Fatma Gharib Bilal wakati wa sherehe za uzinduzi wa Umoja wa Wanawake wa Zanzibalicious uliofanyika mwishoni mwa juma ndani ya Zanzibar Ocean View.(Picha na Zainul Mzige). DSC_0058 Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake wa Zanzibalicious, Bi. Umul-kulthum Ansel (kulia) akipozi na MC wa shughuli Bi. Fauziat Abood (katikati) pamoja na mjumbe mmoja wa wajumbe Mariam...

 

11 years ago

GPL

WALIONG'ARA KWENYE RED CARPET YA UZINDUZI WA ZANZIBALICIOUS WOMEN GROUP @ ZANZIBAR OCEAN VIEW

Mgeni rasmi Katibu Mkuu Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Bi. Mwanaidi Salehe (kushoto) akiwa na Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Uwezeshaji, Bi. Fatma Gharib Bilal wakati wa sherehe za uzinduzi wa Umoja wa Wanawake wa Zanzibalicious uliofanyika mwishoni mwa juma ndani ya Zanzibar Ocean View.(Picha na Zainul Mzige). Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake wa Zanzibalicious, Bi. Umul-kulthum Ansel (kulia) akipozi na MC wa shughuli Bi....

 

10 years ago

GPL

EU, UN WAFAGILIA JUHUDI ZA KUBORESHA HALI ZA WANAWAKE TANZANIA‏

Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa shirika la Maendeleo (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez akitoa salamu za Umoja wa Mataifa kwenye maadhimisho ya siku ya kimataifa ya wanawake duniani ambapo kitaifa ilifanyika mkoani Morogoro miwshoni mwa juma. Balozi wa Jumuiya ya Ulaya nchini, Filiberto Ceriani…

 

11 years ago

GPL

MATUKIO KATIKA MAADHIMISHO SIKU YA WANAWAKE DUNIANI NA TGNP‏

Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP-Mtandao), Bi. Lilian Liundi akitoa hotuba ya kuwakaribisha wageni mbalimbali na kuzungumza na washiriki wa maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yaliyofanyika katika viwanja vya TGNP Mabibo jijini Dar es Salaam. Mkuu wa Chuo cha Mafunzo ya Jinsia (GTI), Bi. Zuki Njalai Mihyo (aliyesimama) akizungumza na washiriki wa maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani...

 

10 years ago

GPL

STARA THOMAS AACHIA WIMBO WA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI‏

Msanii Stara Thomas. Msanii Stara Thomas, ametoa wimbo mpya UWEZESHWAJI WA MWANAMKE ambao ni maalum kwa ajili ya siku ya kinamama dunia inayoadhimishwa Machi 8 ya kila mwaka.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani