Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Serikali itaendelea kuimarisha Maisha ya Wananchi - Ellen Maduhu

Afisa wa Ubalozi wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa, Bibi Ellen Maduhu akisoma hotuba katika Kamati ya Tatu ya Umoja wa Mataifa jijini New York, Marekani.
Na. Ally Kondo, New York


Serikali imetahadharisha kuwa endapo mchakato wa kuandaa Agenda ya Maendeleo baada ya Mwaka 2015 unaoendelea hivi sasa katika Umoja wa Mataifa, hautazingatia mahitaji ya watu wenye ulemavu, dhamira ya kufikia maendeleo endelevu itakuwa ni ndoto kwa kuwa katika kila idadi ya watu watano duniani, mmoja wao ana...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

Serikali itaendelea kuimarisha Maisha ya Wananchi, Ellen

Afisa wa Ubalozi wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa, Bibi Ellen Maduhu akisoma hotuba katika Kamati ya Tatu ya Umoja wa Mataifa jijini New York, Marekani.
Na. Ally Kondo, New York

Serikali imetahadharisha kuwa endapo mchakato wa kuandaa Agenda ya Maendeleo baada ya Mwaka 2015 unaoendelea hivi sasa katika Umoja wa Mataifa, hautazingatia mahitaji ya watu wenye ulemavu, dhamira ya kufikia maendeleo endelevu itakuwa ni ndoto kwa kuwa katika kila idadi ya watu watano duniani, mmoja wao ana...

 

10 years ago

Dewji Blog

Serikali ya Tanzania imesema itaendelea kuimarisha mfumo wa utoaji taarifa za Uchumi na fedha kwa wananchi

5

Naibu Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT) Bw. Juma Reli akisisitiza jambo kwa waandishi wa habari za Fedha na Uchumi (hawapo pichani)  wakati wa ufunguzi wa semina hiyo jana mjini Bagamoyo, Mkoani Pwani, Kulia ni Mwenyekiti wa washiriki hao Bw. Thomas Chilala na Kushoto ni Meneja Uhusiano na Itifaki wa Benki Hiyo Bi Zalia Mbeo.

Frank Mvungi- Maelezo, Bagamoyo

Serikali ya Tanzania imesema itaendelea kuimarisha mfumo wa utoaji taarifa za Uchumi na fedha kwa wananchi ili kuongeza wigo wa...

 

5 years ago

Michuzi

RAIS MAGUFULI: SERIKALI ITAENDELEA KUIMARISHA NA KUBORESHA MIFUMO NA MIUNDOMBINU YA UTOAJI HUDUMA YA AFYA NCHINI


RAIS Dkt. John Magufuli amesema katika kipindi cha miaka minne ya utawala wake, Serikali imeweza kuajiri watumishi wapya 13479 wa sekta ya afya sambamba na kuimarisha na kuboresha miundombinu ya huduma za afya za ikiwemo ujenzi na ukarabati wa zahanati, vituo vya afya na hospitali za wilaya katika maeneo mbalimbali nchini.

Akizungumza leo Alhamisi (Februari 20, 2020) Jijini Dar es Salaam katika maadhimisho ya siku ya Madaktari Tanzania, Rais Magufuli alisema Serikali ya Awamu ya Tano...

 

10 years ago

Dewji Blog

Serikali ya awamu ya nne yafanikiwa kuimarisha umoja, amani na utulivu miongoni mwa wananchi

1

Naibu Katibu Mkuu,Ofisi ya Makamu wa Rais Mhandisi Angelina Madete akiwaeleza waandishi wa Habari (hawapo pichani) kuhusu mafanikio ya serikali ya nne ikiwamo kujenga umoja, amani na utulivu miongoni mwa wananchi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, wakati wa mkutano uliofanyika katika ukumbi wa Idara ya Habari (MAELEZO) leo Jijini Dar es Salaam.Kushoto ni Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Mazingira, Ofisi ya Makamu wa Rais Bw. Richard Muyungi.

2

Mkurugenzi wa Muungano, Ofisi ya Makamu wa Rais Bw....

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mkuya: Serikali itaendelea kukopa

WAZIRI wa Fedha na Uchumi, Saada Mkuya Salum, amesema serikali  itaendelea kukopa  licha ya deni la taifa kuongezeka, lengo lilikwa ni kufungua fursa za kiuchumi zaidi. Pia ameelezea sababu  za...

 

11 years ago

Mwananchi

Chenge: Serikali itaendelea kukopa

Zikiwa zimebaki siku tano kabla ya kusomwa Bajeti Kuu ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2014/15, mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Bajeti, Andrew Chenge amesema Serikali haina fedha na ni lazima itegemee misaada kutoka nchi wahisani na kukopa ili kutekeleza bajeti hiyo.

 

10 years ago

Habarileo

JK: Serikali itaendelea kuboresha hospitali

Rais Jakaya KikweteSERIKALI imesema itaendelea kuboresha sekta ya afya nchini kwa kuboresha zahanati, vituo vya afya, hospitali za wilaya, rufaa na vyuo vinavyotoa taaluma ya uuguzi na udaktari.

 

10 years ago

Habarileo

Bilal: Serikali itaendelea kuboresha elimu nchini

Makamu wa Rais, Dk Ghalib BilalSERIKALI imesema kwa kushirikiana na wadau mbalimbali wa sekta ya elimu, itaendelea kuboresha mazingira ya kufundishia na kujifunzia ili kutoa elimu bora na inayowatayarisha watanzania kujiajiri na kuajiriwa katika sekta ya umma na sekta binafsi.

 

10 years ago

Mwananchi

Serikali ya CCM itaendelea kulinda maovu hadi lini?

Mwalimu Julius Nyerere alisema: “Mficha ugonjwa, kifo humuumbua.” Usemi huu una maana kubwa sana katika maisha yetu. Mimi naufananisha usemi na ule wa Yesu aliposema: “Ukweli utawaweka huru.”

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani