Zanzibar itaendelea kuthamini misaada ya Serikali ya Misri - Maalim seif
.jpg)
Na Hassan Hamad, OMKR. Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imesema itaendelea kuthamini misaada inayotolewa na Serikali ya Misri katika kuendeleza na kukuza uchumi wa Zanzibar. Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, ameeleza hayo ofisini kwake Migombani, wakati akizungumza na balozi mdogo wa Misri anayemaliza muda wake balozi Walid Ismail. Amesema Serikali ya Misri imekuwa mstari wa mbele kuisaidia Zanzibar katika nyanja mbali mbali za kiuchumi na ustawi wa jamii...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboMaalim Seif kuviunda upya vikosi vyua Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar endapo atapata ridhaa ya wananchi
10 years ago
MichuziMAKAMU WA KWANZA WA RAIS WA ZANZIBAR MAALIM SEIF ATEMBELEA KIWANJA CHA NDEGE ZANZIBAR
10 years ago
VijimamboMAKAMU WA KWANZA WA RAIS ZANZIBAR, MAALIM SEIF AKAGUA UWANJA WA NDEGE NA BANDARI YA MALINDI ZANZIBAR
10 years ago
Mtanzania07 Oct
Maalim Seif acharuka Zanzibar
NA MWANDISHI WETU, PEMBA
MGOMBEA urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad amesema ana matumaini makubwa uchaguzi utafanyika kwa amani na utulivu licha ya kauli za baadhi ya viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuashiria kuvurugwa amani na umoja wa kitaifa kwa wananchi wa Zanzibar.
Maalim Seif alitoa tamko hilo alipokuwa akihutubia mkutano wa hadhara wa kampeni katika majimbo ya Chakechake na Wawi uliofanyika katika uwanja wa Ditia Wawi, kisiwani Pemba...
11 years ago
Tanzania Daima22 Apr
Sitta amwangukia Maalim Seif Zanzibar
WAKATI zikiwa zimesalia siku nne kabla ya Bunge Maalumu la Katiba kuahirishwa, Mwenyekiti wa Bunge la Katiba yuko visiwani Zanzibar kwa lengo la kuteta na viongozi wakuu visiwani humo. Ziara...
11 years ago
Uhuru Newspaper17 Jul
CCM Zanzibar yamshukia Maalim Seif
NA ANTAR SANGALI, ZANZIBAR
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimesema hakina ubia wa sera na CUF katika uendeshaji wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar inayoongozwa na Dk. Ali Mohamed Sheni.
Msimamo huo wa CCM, imetokana na kauli ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Shariff Hamad, kudai hivyo, wakati akihojiwa na kituo kimoja cha luninga, hivi karibuni.
Msimamo huo ulitolewa jana na Katibu wa Kamati Maalum ya NEC, Itikadi na Uenezi (Zanzibar), Waride Bakari Jabu, wakati akizungumza na...
10 years ago
Mwananchi10 Sep
Nitaifanya Zanzibar Singapore - Maalim Seif
10 years ago
BBCSwahili04 Nov
Kikwete akutana na Maalim Seif wa Zanzibar
10 years ago
Michuzi
MAALIM SEIF NA MKWAMO WA KISIASA ZANZIBAR

Na Hassan Hamad (OMKR)Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, amesema jitihada za kuutafutia ufumbuzi mkwamo wa kisiasa Zanzibar uliotokana na tamko la Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar Bw. Jecha Salim Jecha baada ya kutangaza kufuta uchaguzi...