Nitaifanya Zanzibar Singapore - Maalim Seif
Mgombea urais kwa tiketi cha Chama cha Wananchi (CUF) Maalim Seif Sharif Hamad, amerejea ahadi zake za mwaka 1995 kwa kuwahakikishia Wazanzibari kuwa iwapo watampa ridhaa ya kuingia madarakani, ataibadilisha Zanzibar na kuwa Singapore.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mzalendo Zanzibar18 Oct
Maalim Seif azindua ajenda ya kuifanya Zanzibar kuwa Singapore ya Afrika Mashariki
Mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CUF, Maalim Seif Sharif Hamad akijibu maswali ya wanafunzi wa vyuo vikuu baada ya kuzindua ajenda ya chama chake ya kuifanya Zanzibar, kuwa kama Singapore. Na Hassan Hamad, OMKR […]
The post Maalim Seif azindua ajenda ya kuifanya Zanzibar kuwa Singapore ya Afrika Mashariki appeared first on Mzalendo.net.
9 years ago
Mzalendo Zanzibar15 Oct
Maalim Seif kuzindua mpango wa kuifanya Zanzibar kuwa Singapore ya Afrika Mashariki
Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia CUF, Maalim Seif Sharif Hamad akiwahutubia wananchi na wafuasi wa chama hicho katika mkutano wa hadhara wa kampeni za uchaguzi mkuu uliyofanyika Jimbo la Mkwanjuni, Kaskazini Unguja. Na Hassan Hamad, OMKR […]
The post Maalim Seif kuzindua mpango wa kuifanya Zanzibar kuwa Singapore ya Afrika Mashariki appeared first on Mzalendo.net.
9 years ago
MichuziMAKAMU WA KWANZA WA RAIS WA ZANZIBAR MAALIM SEIF ATEMBELEA KIWANJA CHA NDEGE ZANZIBAR
9 years ago
VijimamboMAKAMU WA KWANZA WA RAIS ZANZIBAR, MAALIM SEIF AKAGUA UWANJA WA NDEGE NA BANDARI YA MALINDI ZANZIBAR
9 years ago
Mtanzania07 Oct
Maalim Seif acharuka Zanzibar
NA MWANDISHI WETU, PEMBA
MGOMBEA urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad amesema ana matumaini makubwa uchaguzi utafanyika kwa amani na utulivu licha ya kauli za baadhi ya viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuashiria kuvurugwa amani na umoja wa kitaifa kwa wananchi wa Zanzibar.
Maalim Seif alitoa tamko hilo alipokuwa akihutubia mkutano wa hadhara wa kampeni katika majimbo ya Chakechake na Wawi uliofanyika katika uwanja wa Ditia Wawi, kisiwani Pemba...
11 years ago
Uhuru Newspaper17 Jul
CCM Zanzibar yamshukia Maalim Seif
NA ANTAR SANGALI, ZANZIBAR
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimesema hakina ubia wa sera na CUF katika uendeshaji wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar inayoongozwa na Dk. Ali Mohamed Sheni.
Msimamo huo wa CCM, imetokana na kauli ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Shariff Hamad, kudai hivyo, wakati akihojiwa na kituo kimoja cha luninga, hivi karibuni.
Msimamo huo ulitolewa jana na Katibu wa Kamati Maalum ya NEC, Itikadi na Uenezi (Zanzibar), Waride Bakari Jabu, wakati akizungumza na...
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-n2LSIpTJcaY/VjZxJwz5eSI/AAAAAAAID34/0mJNL9KvDAY/s72-c/unnamed%2B%25285%2529.jpg)
MAALIM SEIF NA MKWAMO WA KISIASA ZANZIBAR
![](http://4.bp.blogspot.com/-n2LSIpTJcaY/VjZxJwz5eSI/AAAAAAAID34/0mJNL9KvDAY/s640/unnamed%2B%25285%2529.jpg)
Na Hassan Hamad (OMKR)Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, amesema jitihada za kuutafutia ufumbuzi mkwamo wa kisiasa Zanzibar uliotokana na tamko la Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar Bw. Jecha Salim Jecha baada ya kutangaza kufuta uchaguzi...
11 years ago
Tanzania Daima22 Apr
Sitta amwangukia Maalim Seif Zanzibar
WAKATI zikiwa zimesalia siku nne kabla ya Bunge Maalumu la Katiba kuahirishwa, Mwenyekiti wa Bunge la Katiba yuko visiwani Zanzibar kwa lengo la kuteta na viongozi wakuu visiwani humo. Ziara...
9 years ago
BBCSwahili10 Nov
Zanzibar:Shein akutana na Maalim Seif