Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JK azindua M-pawa, ni kuweka akiba na kukopa kupitia simu

Rais Jakaya Kikwete jana alizindua huduma mpya ya M-Pawa itakayosaidia wateja kuhifadhi na kukopa fedha kupitia simu za mkononi itakayoendeshwa kwa pamoja na kampuni ya huduma za simu za mkononi ya Vodacom na Benki ya Biashara Afrika, CBA.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

WAKULIMA WAHAMASISHWA KUWEKA AKIBA

Wakulima wa Vyama vya Ushirika nchini wamepewa wito wa kuboresha maisha yao kwa kuweka akiba baada ya msimu wa mavuno ya mazao yao ili akiba hizo ziwasaidie hususan wanapopata changamoto mbalimbali za kimaisha.

Wito huo umetolewa na Mrajis wa Vyama vya Ushirika na Mtendaji Mkuu wa Tume ya Maendeleo ya Ushirika (TCDC) Dkt. Benson Ndiege wakati alipotembelea Chama cha Ushirika wa Wakulima wadogo wadogo wa Kilimo cha umwagiliaji Mpunga Dakawa (UWAWAKUDA LTD) kwenye ziara ya Kikazi, Mkoani...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wanawake wahimizwa kuweka akiba

WANAWAKE nchini wameaswa kujenga tabia ya kutunza akiba ili kufikia malengo wanayojiwekea kwa maendeleo ya familia zao. Wito huo ulitolewa na mke wa Makamu wa Rais, Mama Asha Bilali, wakati...

 

10 years ago

BBCSwahili

Watoto wafundishwa kuweka akiba UK

Watoto wametakiwa kujiunga kwenye makundi wakiwa shuleni ili kujiwekea akiba kuepuka madeni hapo baadae

 

5 years ago

CCM Blog

BENKI YA NMB NA SatF ZAZINDUA UTOAJI WA HUDUMA ZA KIDIJITALI KWA VIKUNDI VYA KUWEKA NA KUKOPA



Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NMB – Ruth Zaipuna (kushoto) na Afisa Mkuu wa Wateja Binafsi na Biashara Ndogo na za Kati wa NMB - Filbert Mponzi (Kulia) wakiwa wameshika alama ya uzinduzi rasmi wa akaunti ya NMB Pamoja. Katikati ni Mteja wa NMB Bi. Zaina Mikidadi, kutoka kushoto ni Kaimu Afisa Mkuu wa Fedha wa NMB - Benedicto Baragomwa, Afisa Mkuu wa Wateja Wakubwa wa Serikali wa NMB Alfred Shao na Kaimu Afisa Mkuu Rasilimali watu- Emmanuel Akonaay.



Benki ya NMB na kampuni ya Savings...

 

9 years ago

Michuzi

FNB YATANGAZA MSHINDI KAMPENI YA KUWEKA AKIBA

Baada ya kuzindua kampeni inayohamasisha uwekaji akiba mwezi Oktoba, First National Bank Tanzania imemtangaza mshindi wa kwanza wa kampeni hiyo.
Kampeni hiyo inayohimiza utamaduni wa kujiweke akiba benki inawezesha mteja mmoja kati ya wanaoshiriki kujipatia zawadi nono ya shilingi milioni tano kila mwezi ambapo mshindi wa mwezi Oktoba ni Imelda Lutebinga ambaye amekabidhiwa zawadi hiyo jana na Francois Botha, Mkuu wa Huduma za Rejareja wa First National Bank Tanzania.

Akizungumza baada ya...

 

9 years ago

StarTV

Waziri Mkuu awahimiza Watanzania kuweka akiba

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Mheshimiwa Kassim Majaliwa amewataka wakazi wa mkoa wa Ruvuma kuacha matumizi mabaya hya Fedha badala yake wawe na tabia ya kuweka akiba  ya fedha zao benki.

Waziri Mkuu Majaliwa wakati akizindua Benki ya Posta Mkoani Ruvuma amesema endapo mtu hataweka akiba atashindwa kufanya Mambo ya Maendeleo.

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Majaliwa .Kasimu Majaliwa amesema kuweka Fedha Benki kuna kusaidia kuepukana na wezi, pia kunapunguza...

 

11 years ago

Michuzi

Rais Kikwete azindua Humuma ya M-PAWA ya Vodacom jijini Dar leo

Mkurugenzi Mkuu wa VODACOM Tanzania Bwana Rene Meza akimkaribisha Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam ambapo alizindua Huduma ya M-PAWA leo. Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akitoa hotuba yake wakati wa uzinduzi wa Huduma ya kampuni ya simu ya VODACOM iitwayo M-PAWA itakayowawezesha watumiaji kutuma na kupokea pesa kwa urahisi zaidi na pia kupata mikopo ya pesa kwa matumizi mbalimbali.Hafla hiyo ya uzinduzi ilifanyika katika ukumbi wa Mlimani...

 

10 years ago

Michuzi

FNB TANZANIA YAHIMIZA WATANZANIA KUWEKA AKIBA ZAIDI

Meneja wa Wateja Binafsi wa First National Bank, Francois Botha na Meneja wa Usambazaji na Matawi wa benki hiyo wakizindua mpango maalum unaohamasisha Watanzania kujiwekea akiba na kujiwekea mustakabali salama kifedha. Uzinduzi huo ulifanyika jijini Dar es salaam leo Oktoba 1, 2015.
BENKI ya FNB Tanzania imetoa wito kwa Watanzania kujijengea mustakabali salama kifedha kwa kuendelea kuweka akiba zaidi benki kupitia fursa ya mpango mpya wa benki hiyo wa “Weka akiba na ushinde”.

Wito huo...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kukopa simu inasikika, kulipa ‘network’ mbovu!

HALI ya maisha yetu ya kawaida kwa Watanzania tulio wengi, hakuna ambaye hajawahi kukopa hata siku moja katika historia ya maisha yake yote tangu alipoanza kuwa na akili zake timamu,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani