Rais Kikwete azindua Humuma ya M-PAWA ya Vodacom jijini Dar leo

Mkurugenzi Mkuu wa VODACOM Tanzania Bwana Rene Meza akimkaribisha Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam ambapo alizindua Huduma ya M-PAWA leo.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akitoa hotuba yake wakati wa uzinduzi wa Huduma ya kampuni ya simu ya VODACOM iitwayo M-PAWA itakayowawezesha watumiaji kutuma na kupokea pesa kwa urahisi zaidi na pia kupata mikopo ya pesa kwa matumizi mbalimbali.Hafla hiyo ya uzinduzi ilifanyika katika ukumbi wa Mlimani...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi
RAIS KIKWETE AZINDUA RASMI STUDIO MPYA ZA AZAM TV JIJINI DAR ES SALAAM LEO


10 years ago
Michuzi
RAIS KIKWETE AZINDUA HATI ZA AHADI YA UADILIFU KWA VIONGOZI, WATUMISHI WA UMMA NA SEKTA BINAFSI IKULU JIJINI DAR ES ES SALAAM LEO



10 years ago
Vijimambo28 Apr
RAIS KIKWETE AZINDUA MELI VITA MBILI ZA KIKOSI CHA WANAMAJI CHA JWTZ JIJINI DAR ES SALAAM LEO

Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitoa amri kuzindua rasmi meli vita mbili za doria bahari kuu TNS Msoga na TNS Mwitongo kwenye sherehe zilizofanyika Kamandi ya Jeshi la Maji Kigamboni jijini Dar es salaam leo April 28, 2015

Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikagua mara baada ya kuzindua rasmi meli vita mbili za doria bahari kuu TNS Msoga na TNS Mwitongo kwenye sherehe zilizofanyika Kamandi ya Jeshi la Maji Kigamboni jijini Dar es salaam leo April 28, 2015


Amiri Jeshi...
10 years ago
GPL
RAIS KIKWETE AZINDUA MELI VITA MBILI ZA KIKOSI CHA WANAMAJI CHA JWTZ JIJINI DAR ES SALAAM LEO
10 years ago
GPL
RAIS KIKWETE AZINDUA JENGO LA KISASA JIJINI DAR
10 years ago
Vijimambo
RAIS KIKWETE AZINDUA JENGO LA KUHIFADHI MADAWA LA HOSPITALI CCBRT JIJINI DAR ES SALAAM


10 years ago
Dewji Blog17 Sep
Rais Kikwete azindua majengo pacha ya ghorofa 35 ya PSPF Towers mtaa wa Sokoine Jijini Dar



10 years ago
Vijimambo
RAIS KIKWETE AZINDUA MAJENGO PACHA YA GHOROFA 35 YA PSPF TOWERS MTAA WA SOKOINE JIJINI DAR ES SALAAM



10 years ago
Dewji Blog04 Oct
Rais Kikwete Azindua Jengo la Kuhifadhia Madawa la Hospitali ya CCBRT jijini Dar Ijumaa Oktoba 3, 2015

