Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Hospitali zashindwa kukopa mabilioni NHIF

Waziri wa Afya, Dk Seif Rashid.WAKATI vituo vya utoaji huduma katika sekta ya afya nchini, vikikabiliwa na hali duni ya miundombinu katika utoaji huduma, vituo vingi vimeshindwa kukopa mabilioni ya Shilingi kwa ajili ya kuboresha huduma, yanayotolewa na Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF).

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

NHIF yakabidhi mashuka hospitali ya wilaya

Na Editha Karlo,wa bog ya jamii KigomaMFUKO wa Taifa wa bima ya afya umetoa jumla ya mashuka 100 kwa hospitali ya wilaya ya Kibondo mkoani kigoma ili kukabiliana na upungufu wa mashuka unaoikabili hospitali hiyo.
Akikabidhi mashuka hayo kwa uongozi wa hospitali ya wilaya ya Kibondo, meneja wa NHIF mkoa kigoma,Elius Odhiambo alisema kuwa kutolewa kwa mashuka hayo ni sehemu ya mpango wa mfuko huo katika kuboresha utoaji huduma katika sekta ya afya.
Odhiambo alisema kuwa mashuka hayo yaliyotolewa...

 

10 years ago

Michuzi

NHIF yatoa msaada wa mashuka Hospitali ya Vijibweni

 Mkurugenzi wa Huduma za Matibabu Dk. Frank Lekey akikabidhi mashuka kwa Muuguzi wa Hospitali ya Vijibweni Maimuna Mwaya. Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya umekabidhi jumla ya mashuka 150 katika Hospitali hiyo ambayo iilikuwa na uhaba mkubwa wa mashuka. Mganga Mfawidhi Emanuel Bwana akitandika kitanda kwa shula la NHIF ambalo ni moja ya mashuka yaliyokabidhiwa hospitalini hapo.  Mganga Mfawidhi Emanuel Bwana akielezea huduma zinazotolewa hospitalini hapo na kuushukuru Mfuko kwa msaada wa...

 

10 years ago

Habarileo

NHIF yapunguza uhaba wa mashuka hospitali ya Singida

HOSPITALI ya Mkoa wa Singida inakabiliwa na uhaba mkubwa wa mashuka hali inayosababisha baadhi ya wagonjwa kutumia mashuka yao binafsi wakati wote wanapokuwa wamelazwa hospitalini hapo.

 

10 years ago

Michuzi

NHIF WATOA MSAADA WA MASHUKA 120 HOSPITALI YA MANISPAA YA TEMEKE

 Meneja wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya wa mkoa wa Temeke (NHIF),Constantine Makala akieleza jambo wakati wa kukabidhi mashuka 120 katika hospitali ya Temeke leo jijini Dar es Salaam, Kulia ni Kaimu Mganga Mkuu wa Hospitali hiyo, Dk.Edwin Muhondezi. Meneja wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya wa mkoa waTemeke (NHIF), Constantine Makala akimuwakilisha kaimu  Mkurungenzi Mkuu wa (NHIF) wa mkoa wa Temeke kumkabidhi msaada wa mashuka 120 Kaimu Mganga Mkuu wa Hospitali ya Temeke Edwin Muhondezi...

 

9 years ago

Michuzi

NHIF YATOA MSAADA WA MASHUKA 100 HOSPITALI YA MJI WA BABATI

Mkuu wa Wilaya ya Babati Mkoani Manyara, Crispin Meela (kulia) akipokea moja kati ya msaada wa mashuka 100 yaliyotolewa na Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) kwa ajili ya kutumiwa na wagonjwa wa hospitali ya mji wa Babati (Mrara), anayemkabidhi mashuka hayo ni Meneja wa NHIF Mkoani humo, Isaya Shekifu. Meneja wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) Mkoa wa Manyara, Isaya Shekifu akizungumza mara baada ya kumkabidhi Mkuu wa Wilaya ya Babati Crispin Meela mashuka 100 waliyotoa msaada...

 

10 years ago

Michuzi

NHIF YATOA MSAADA VIFAA TIBA HOSPITALI YA RUFAA BABATI

 Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Dk Joel Bendera (kushoto) akipokea msaada wa mashuka 150 yatakayotumika jana mjini Babati kwenye hospitali ya rufaa ya mkoa huo kutoka kwa Kaimu Mkurugenzi mkuu wa mfuko wa Taifa wa bima ya afya (NHIF) Michael Mhando. Mkurugenzi mkuu wa mfuko wa Taifa wa bima ya afya (NHIF) Michael Mhando (kulia) akimkabidhi Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Dk Joel Bendera kifaa tiba cha mama mjamzito jana mjini Babati ili kitumiwe na wanawake watakaopata huduma ya matibabu kwenye hospitali...

 

9 years ago

Michuzi

NHIF YARIDHISHWA NA MATUMIZI YA MKOPO WALIOIPATIA HOSPITALI YA MKOANI WA SINGIDA

Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), Michael Mhando ameelezea kuridhishwa na matumizi ya mkopo uliotolewa na Mfuko huo kwa Hospitali ya mkao wa Singida.
Hospitali hiyo ilichukua mkopo wa Shilingi Milioni Mia Tano kutoka NHIF kwa ajili ya Ununuzi wa vifaa Tiba vya hospitali hiyo.
Akizungumza baada ya kukagua vifaa hivyo, Mhando amesema ameridhiswa na matumizi ya mkopo huo kwani umefanya kazi iliyokusudiwa.
Amesema NHIF itaendelea kushirikiana na uongozi wa mkoa...

 

10 years ago

Michuzi

NHIF yasaidia ujenzi wa wodi ya watoto ya hospitali teule ya Dr. Artiman,Sumbawanga

Afisa wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), Ramadhani Mhina (kushoto) akikabidhi kwa Mkuu wa Mkoa wa Rukwa,Injinia Stella Manyanya hundi ya sh. mil. 1 kwa ajili ya kusaidia maendeleo ya ujenzi wa wodi ya watoto ya hospitali teule ya Dr. Artiman memorial hospital (Kristo mfalme) iliyopo Sumbawanga,Mkoani Rukwa.Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Injinia Stella Manyanya (Mb) akizungumza na baadhi ya watendaji wa mkoa wa wakati wa kikao cha kikazi cha kujadili maendeleo ya kisekta mkoani Rukwa.Afisa wa...

 

10 years ago

Dewji Blog

NHIF yakabidhi msaada wa mashuka 200 kwa hospitali ya mkoa mjini Singida

DSC00136

Meneja wa NHIF mkoa wa Singida, Agnes Chaki (kushoto) akimkabidhi Mkuu wa wilaya ya Singida, Alli Amanzi msaada wa mashuka 200 kwa ajili ya hospital ya mkoa mjini hapa.(Picha na Nathaniel Limu).

DSC00132

Mkuu wa wilaya ya Singida,Alli Amanzi (kulia) akibadilishana mawazo na Meneja Mfuko wa taifa wa bima ya afya (NHIF) mkoa wa Singida, Agnes Chaki (katikati) muda mfupi kabla Meneja NHIF hajakabidhi mashuka 200 kwa hospitali ya mkoa mjini hapa.Kushoto ni Afisa uthibiti ubora wa huduma NHIF mkoani...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani