4 wanaotuhumiwa kuua kiongozi CCM waachiwa
MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dodoma imeachia huru washitakiwa wanne kati ya tisa, wanaoshitakiwa kumuua kiongozi wa CCM. Wameachiwa baada ya Mkurugenzi wa Mashitaka nchini (DPP) kuwaondolea mashitaka. Watu hao ni Frank Stanley, Philipo Edward, Tito Kishangara na Paulo Nashokigwa.
habarileo
Habari Zinazoendana
9 years ago
GPLAL-SHABAAB NI NANI: MAREKANI YATANGAZA KUUA KIONGOZI WA AL-SHABAAB
11 years ago
Tanzania Daima29 Jan
CCM imedhamiria kuua elimu nchini?
UAMUZI wa Rais Jakaya Kikwete kumwacha Dk. Shukuru Kawambwa kuendelea kuwa Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, ni tafsiri tosha kwamba serikali hii chini ya Chama Cha Mapinduzi (CCM)...
11 years ago
Tanzania Daima08 Jun
CCM haina ubavu wa kuua upinzani
KILA nikisikiliza hotuba anazozitoa Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana, katika mikutano yake anayoifanya mikoani, ninapata shaka na mwelekeo wa chama chao. Inawezekana amedhamiria kukifufua chama kilichoanza...
9 years ago
Mtanzania27 Oct
Kiongozi CCM atibuana na mgombea Chadema
NA DEBORA SANJA, DODOMA
KATIBU wa Uchumi na Fedha wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mkoa wa Dodoma, Rashid Morama, juzi alizua hali ya kutoelewana kati yake na Mgombea Ubunge wa Jimbo la Dodoma Mjini, kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Benson Kigaila.
Tukio hilo lilitokea juzi katika kituo cha kupigia kura mjini Dodoma, baada ya Morama kuingia kituoni hapo akiwa na waangalizi wawili wa uchaguzi kutoka nje ya nchi.
Kabla ya hali hiyo kutokea, Kigaila aliingia kituoni hapo...
11 years ago
GPLKIONGOZI CCM AUAWA KWA SHOKA!
10 years ago
Tanzania Daima24 Oct
CHADEMA: Hakuna kiongozi msafi CCM
CHAMA cha Demorasia na Maendeleo, (CHADEMA), kimesema wabunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), waliondoa kipengele cha uadilifu kwenye tunu za taifa kwa sababu walijua watakosa viongozi kwani hakuna aliye msafi....
11 years ago
Habarileo21 Jan
Mawaziri wanaotuhumiwa watetewa
BAADHI ya wasomi wamepongeza uamuzi wa Rais Jakaya Kikwete, kuendelea kufanya kazi na mawaziri waliokuwa wakituhumiwa kwa upungufu wa kiutendaji serikalini. Mmoja wa wasomi hao, Dk Kitila Mkumbo, alimpongeza Rais kuendelea na mawaziri hao kwani Serikali haiendeshwi kwa kauli za wanasiasa.
11 years ago
Habarileo31 Jan
Wanaotuhumiwa kumuua Dk Mvungi wabanwa
WASHITAKIWA wa kesi ya mauaji ya Mjumbe wa Tume ya Taifa ya Mabadiliko ya Katiba, Dk Edmund Mvungi wamesomewa mashitaka yao upya na baadhi yao kudai hawana imani na Mkuu wa Gereza la Segerea.