Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


AL-SHABAAB NI NANI: MAREKANI YATANGAZA KUUA KIONGOZI WA AL-SHABAAB

ILIPOISHIA WIKI ILIYOPITA: Wiki iliyopita nilieleza juu ya kundi haramu la kigaidi la Al-Shabaab lilivyotuma vitisho vya kutaka kuvamia Majiji ya Dar na Mwanza nchini Tanzania kupitia mkanda wa video ulioonesha mwakilishi wa Kundi la Kigaidi la Dola ya Kiislam la Iraq na Lavent (ISIL), akimtaka Kiongozi wa Al-Shabaab kujiimarisha na kufanya mashambulizi kwenye majiji hayo. SASA ENDELEA… Katika kipindi hicho, polisi wa Tanzania...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

AL-SHABAAB NI NANI? -4

WAUA 39, WAJERUHI 150 KWENYE MADUKA YA WESTGATE! Mwaka 2013, ukiacha mashambulio madogomadogo, wanajeshi wa Kenya walijikuta wakipata kibarua kizito cha kupambana na Al-Shabaab walipovamia Maduka ya Westgate jijini Nairobi ambapo kundi hilo la kigaidi liliua watu wapatao 39 na kujeruhi 150 katika tukio ambalo liliwaacha Wakenya na hofu kubwa. Kwa mujibu wa polisi wa Kenya, kulikuwa na operesheni kubwa za polisi na wanajeshi wa...

 

10 years ago

GPL

AL-SHABAAB NI NANI? -5

RIPOTI YA VIFO WESTGATE YATOKA, WAANGUSHA PATI Makala: Sifael Paul Mpenzi msomaji wiki iliyopita niliishia pale nilipokuwa nikielezea namna kundi korofi la Al-Shabaab lenye mizizi yake nchini Somalia lilivyoshambulia Maduka ya Westgate jijini Nairobi, Kenya na kusababisha vifo vya watu wengi. SASA ENDELEA… Lilikuwa ni shambulio lililodumu kwa takriban siku nne, baadaye ripoti ya mauaji hayo ilitoka ikionesha kuwa zaidi ya...

 

11 years ago

BBCSwahili

Kiongozi wa Al Shabaab ashambuliwa

Jeshi la Marekani limefanya shambulizi la makombora dhidi ya mtu anayeshukiwa kuwa mmoja wa viongozi wa al-Shabaab nchini Somalia.

 

10 years ago

BBCSwahili

Kiongozi wa Al-Shabaab akamatwa

Kiongozi mkuu wa kundi la wapiganaji wa Alshabaab amekamatwa karibu na mji mmoja karibu na mpaka wa Kenya na Somali.

 

10 years ago

GPL

SOMALIA: AL SHABAAB YASHAMBULIA NA KUUA WATU 9 MOGADISHU

Maofisa wa Polisi nchini Somalia wakiingia ndani ya jengo lililovamiwa na Al Shabaab ili kukabiliana nao. Watu 9 wameripotiwa kuuawa katika jengo ya Wizara ya Elimu mjini Mogadishu, Somalia. Vyombo vya habari mjini Mogadishu vimeripoti kuwa wavamizi hao walilipua bomu lililotegwa ndani ya gari kwenye ukuta wa jengo la waizara ya elimu nchini humo. Kabla ya wavamizi kadhaa kuingia ndani ya jengo walianza kwa  kupiga risasi za...

 

9 years ago

BBCSwahili

Kiongozi wa Al Shabaab auawa Somalia

Kongozi mmoja wa kundi la Al Shabaab Abdirahman Sandhere ameuawa katika shambulizi la ndege ya Marekani.

 

11 years ago

BBCSwahili

Jeshi la Marekani lashambulia Al Shabaab

Wizara ya ulinzi ya Marekani inasema jeshi lake limefanya mashambulizi dhidi ya kundi la, Al Shabaab nchini Somalia.

 

10 years ago

GPL

MAREKANI YATHIBITISHA KUMUUA KWA KOMBORA MOJAWAPO YA VIONGOZI AL SHABAAB

Kikundi cha wapiganaji wa Somalia cha Al Shaabab. Kikosi cha ulinzi nchini Marekani. Wizara ya ulinzi nchini Marekani imethibitisha kwamba imemuua mojawapo ya viongozi wa kundi la wapiganaji wa Somalia Al Shabaab kupitia kombora. Adan Garaar alituhumiwa kupanga shambulio katika jumba la kibiashara la West Gate nchini Kenya miaka miwili iliyopita. Maafisa nchini Marekani… ...

 

11 years ago

BBCSwahili

Mimi ni Al Shabaab

Kijana mmoja mkenya ambaye alisilimu na kupewa jina la Mohammed, anaelezea sababu zinazowafanya vijana wa Kenya kujiunga na Al-Shabaab

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani