Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Jeshi la Marekani lashambulia Al Shabaab

Wizara ya ulinzi ya Marekani inasema jeshi lake limefanya mashambulizi dhidi ya kundi la, Al Shabaab nchini Somalia.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Hezbollah lashambulia jeshi la Israel

Kundi la wapiganaji wa Washia wa Lebanon walio chini ya vugu vugu la Hezbollah, linasema kuwa limetekeleza shambulio dhidi ya msafara wa wanajeshi wa Israeli katika mpaka wa mataifa hayo mawili.

 

10 years ago

BBCSwahili

Jeshi la Saudia lashambulia waasi, Yemen

Saud Arabia imeanza operesheni zake za kijeshi nchini Yemen, ikiwa ni kujibu ombi la Rais wa nchi hiyo Abd Rabbuh Mansour Hadi.

 

11 years ago

BBCSwahili

Jeshi la Syria lashambulia soko Aleppo

Jeshi la serikali la Syria limetekeleza mashambulizi katika soko moja mjini Aleppo

 

9 years ago

GPL

AL-SHABAAB NI NANI: MAREKANI YATANGAZA KUUA KIONGOZI WA AL-SHABAAB

ILIPOISHIA WIKI ILIYOPITA: Wiki iliyopita nilieleza juu ya kundi haramu la kigaidi la Al-Shabaab lilivyotuma vitisho vya kutaka kuvamia Majiji ya Dar na Mwanza nchini Tanzania kupitia mkanda wa video ulioonesha mwakilishi wa Kundi la Kigaidi la Dola ya Kiislam la Iraq na Lavent (ISIL), akimtaka Kiongozi wa Al-Shabaab kujiimarisha na kufanya mashambulizi kwenye majiji hayo. SASA ENDELEA… Katika kipindi hicho, polisi wa Tanzania...

 

11 years ago

BBCSwahili

Al Shabaab washambulia hoteli ya jeshi

Wapiganaji hao wameshambulia hoteli moja muhimu katika eneo la Kati mwa Somalia ambalo wanamgambo hao walipoteza udhibiti wiki jana

 

10 years ago

Habarileo

Jeshi laua wapiganaji 100 wa al- Shabaab

WANAJESHI wa Kenya wamewashambulia na kuwaua zaidi ya wanamgambo 100 wa al Shabaab na kuharibu kambi yao nchini Somalia, ikiwa ni baada ya kuwaua abiria 28, Naibu Rais, William Ruto alibainisha juzi. Watu 28 waliuawa Jumamosi baada ya kushambuliwa basi walilokuwa wakisafiria, tukio ambalo kundi la al-Shabaab lilikiri kuhusika.

 

10 years ago

Mwananchi

Watu 10 wakamatwa msikitini wakiwa na milipuko, sare za jeshi, bendera ya Al Shabaab

Watu 10 wanashikiliwa na polisi mkoani Morogoro baada ya kukamatwa msikitini wakiwa na milipuko 30, sare za jeshi na bendera nyeusi inayotumiwa na kundi la wapiganaji wa Al Shabaab wa nchini Somalia.

 

10 years ago

GPL

MAREKANI YATHIBITISHA KUMUUA KWA KOMBORA MOJAWAPO YA VIONGOZI AL SHABAAB

Kikundi cha wapiganaji wa Somalia cha Al Shaabab. Kikosi cha ulinzi nchini Marekani. Wizara ya ulinzi nchini Marekani imethibitisha kwamba imemuua mojawapo ya viongozi wa kundi la wapiganaji wa Somalia Al Shabaab kupitia kombora. Adan Garaar alituhumiwa kupanga shambulio katika jumba la kibiashara la West Gate nchini Kenya miaka miwili iliyopita. Maafisa nchini Marekani… ...

 

10 years ago

BBCSwahili

Jeshi la Marekani kupambana na Ebola

Rais wa Marekani Barack Obama amethibitisha kulitumia jeshi la nchi hiyo na wale wa akiba kupambana na wa ugonjwa wa Ebola Afrika magharibi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani